Kwanini wanaume wanaonitongoza ni choka mbaya?

Mimi co choka mbaya
Na n'takupa kuanzia 30 kuendelea ila unipe kinachoendana na nachokupa
 
  • Thanks
Reactions: irk
Kwasababu na wewe ni Choka Mbaya ..... Mwanamke choka mbaya lazima afuatwe na wanaume choka mbaya.... Kwasababu ndio anaokutana nao kila siku ktk mzunguko wa Maisha.


!!!!!!!!!
 
Kama hawana kweli wakupe nini sasa... au unatabia ya kuonesha dharau na unachopewa...

Pole sana... nipo nayetoa nyingi nyingi tu...
 
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye30,000 enzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.

Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Kwa huu usawa wa JPM ulivyobana jamaa akikutoa mkapata drinks, dinner and nice hotel kumalizia yale mambo yetu, then asubuhi ukapata 30,000 bado unalalamika? Kumbuka jamaa atakuwa kwa uchache kutumia 100,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom