Petro Oswald
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 2,391
- 1,911
Wanaangalia na wanaoendana nao[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Inaonekana nawe umekaa kichoka mbaya ebu jaribu kujiweka wa high class afu uone itakuajeKwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Ndo maana nawakubali sana wahenga waliosema wa mbili havai mojaKwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Nyota yangu imechoka, lakini si kwa mungu bado inang'araSababu nyota yako imechoka mbaya
hahahahahahahahahahahaha! Nilikuwa na streesss leo balaaa ila zimeyayuka zote! Wee jamaa umeuwa winga nasubiri aje akanushe aseme yupo UDSMEsther nakufaham unasoma chuo cha ushonaji hapa vingunguti,mnaishi Moshi Bar ukonga,Aina ya watu wanaokuzunguka ndo wanakutongoza.
Unatoka na fundi gereji,Kuruta,Bodaboda alafu wataka tajiri wa vits akutongoZe
Hao choka mbaya ndiyo type yako cha msingi kubaliana na hiyo hali.Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Endelea kukimbia wanaokupenda wafuate wanaokuchezea.Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls
Yeye lengo lake nikuwa high classic lakn anatafta wa kumuweka hapo na anaowapata ndo hao choka mbaya, labda tumshauri awaunganishe ka 10 hivi then baada ya miez 6 anawapiga chini wote anabaki anatafta mwenye adhi anayotaka.Inaonekana nawe umekaa kichoka mbaya ebu jaribu kujiweka wa high class afu uone itakuaje