[emoji108] [emoji126][emoji108] [emoji108] [emoji126]
Subiri uje utongozwe na mungu.Nyota yangu imechoka, lakini si kwa mungu bado inang'ara
mh! Mkuu umemsema vibaya hivyo..ulimtongoza akakukataaEsther nakufaham unasoma chuo cha ushonaji hapa vingunguti,mnaishi Moshi Bar ukonga,Aina ya watu wanaokuzunguka ndo wanakutongoza.
Unatoka na fundi gereji,Kuruta,Bodaboda alafu wataka tajiri wa vits akutongoZe
Kwa asilimia 99 wanaume wanaonitokea wengi wao ni choka mbaya halafu ndo wenye mapenzi ya kweli sijui kwanini. Ila nikimpata mwenye nazo ni mbahili, hatari ela yake kupata utaambulia elfu 30 au 20.
Hii ni kwangu tu au? Matusi sitaki pls