Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

my name is my name

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
2,017
2,384
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?
 
Yaani ukapewe limuhogo kama hili huko nje halafu nije kukusamehe?!
casss.jpeg
 
Kwa mwanaume ngono na upendo ni vitu viwili tofauti wakati kwa mwanamke hawezi enjoy ngono kama hampendi mhusika hiyo inamaanisha mwanaume anaweza kumsaliti mwanamke huku bado akiwa anampenda sana tu na hajapunguza hata chembe lakini mwanamke akikusaliti ujue moyoni mwake hauna chako otherwise amekusaliti kwa ajili ya hela hapo kidogo unaweza kumsamehe kama unamoyo huo,
 
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?
Katika makosa yote, kucheat ndio dhambi kubwa dhidi ya mwanamume. Jambo hilo ni kielelezo kikubwa cha tabia ya mwanamke, hivyo hata mwwnamume akikusamehe ujue tu hatokuamini tena. Mwanamke hatembei na mwanamume kwa bahati mbaya, ni lazima awe na mvuto wa kimapenzi kwa sababu maalum.

Sasa mwanamume atafikiri kwamba ana mapungufu fulani ama hamridhishi mwanamke kingono, hivyo hata uombe msamaha vipi moyoni atajua kuwa hakufai kwenye suala la mapenzi na kuwa unaomba tu msamaha lakini utatafuta mbinu zaidi ili asibaini tabia yako ya kucheat.

Mwanamke aliyetembea nje ni sawa na simba aliyeonja nyama ya binadamu. Atahamishia maskani yake karibu na kijiji ili aweze kuwinda kwa urahisi, ndio maana suluhisho lake ni kuuawa tu. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke aliyecheat, suluhisho lake ni kuachana, basi.
 
Kwa mwanaume ngono na upendo ni vitu viwili tofauti wakati kwa mwanamke hawezi enjoy ngono kama hampendi mhusika hiyo inamaanisha mwanaume anaweza kumsaliti mwanamke huku bado akiwa anampenda sana tu na hajapunguza hata chembe lakini mwanamke akikusaliti ujue moyoni mwake hauna chako otherwise amekusaliti kwa ajili ya hela hapo kidogo unaweza kumsamehe kama unamoyo huo,
Katika viumbe vyote,dume ndio anamiliki majike wengi,naweza kusema 'asili' ya uumbaji ndio iko hivyo
The Game is over .
 
Katika makosa yote, kucheat ndio dhambi kubwa dhidi ya mwanamume. Jambo hilo ni kielelezo kikubwa cha tabia ya mwanamke, hivyo hata mwwnamume akikusamehe ujue tu hatokuamini tena. Mwanamke hatembei na mwanamume kwa bahati mbaya, ni lazima awe na mvuto wa kimapenzi kwa sababu maalum.

Sasa mwanamume atafikiri kwamba ana mapungufu fulani ama hamridhishi mwanamke kingono, hivyo hata uombe msamaha vipi moyoni atajua kuwa hakufai kwenye suala la mapenzi na kuwa unaomba tu msamaha lakini utatafuta mbinu zaidi ili asibaini tabia yako ya kucheat.

Mwanamke aliyetembea nje ni sawa na simba aliyeonja nyama ya binadamu. Atahamishia maskani yake karibu na kijiji ili aweze kuwinda kwa urahisi, ndio maana suluhisho lake ni kuuawa tu. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke aliyecheat, suluhisho lake ni kuachana, basi.
Good
 
Mwanaume Ni Ngumu Kusamehe Kwasababu Anawaza Mambo Mengi Aliyofanyiwa Mke Wake, Mchumba Wake.
Haya Ni Baazi Ya Maswali Anayo Jiuliza mwanaume Pinde Mke Anapo Chepuka.

▶Jamaa Alitumia Dhana Au Alikula Peku peku!

▶Kama Hawakutumia Kinga Inamaana Mbegu Za Jamaa Zimeingia Kwa Mwanamke Wake!.

▶Walitumia Style Gani!.

▶Jamaa Hakula Tigo!.

▶Kwanini Anisaliti Wakati Siku Zote Nahangaika Kwa Niaba Yake!.

Hayo Ni Machache Tu Kati Ya Maswali Mengi Anayojiuliza Mwanaume Anapo Salitiwa.
 
Kwa mwanaume ngono na upendo ni vitu viwili tofauti wakati kwa mwanamke hawezi enjoy ngono kama hampendi mhusika hiyo inamaanisha mwanaume anaweza kumsaliti mwanamke huku bado akiwa anampenda sana tu na hajapunguza hata chembe lakini mwanamke akikusaliti ujue moyoni mwake hauna chako otherwise amekusaliti kwa ajili ya hela hapo kidogo unaweza kumsamehe kama unamoyo huo,
Hata wanawake ni hivyo sio kila anaecheat hampendi mwenzake wakati mwingine huwa inatokea tu kama bahati mbaya
 
Katika makosa yote, kucheat ndio dhambi kubwa dhidi ya mwanamume. Jambo hilo ni kielelezo kikubwa cha tabia ya mwanamke, hivyo hata mwwnamume akikusamehe ujue tu hatokuamini tena. Mwanamke hatembei na mwanamume kwa bahati mbaya, ni lazima awe na mvuto wa kimapenzi kwa sababu maalum.

Sasa mwanamume atafikiri kwamba ana mapungufu fulani ama hamridhishi mwanamke kingono, hivyo hata uombe msamaha vipi moyoni atajua kuwa hakufai kwenye suala la mapenzi na kuwa unaomba tu msamaha lakini utatafuta mbinu zaidi ili asibaini tabia yako ya kucheat.

Mwanamke aliyetembea nje ni sawa na simba aliyeonja nyama ya binadamu. Atahamishia maskani yake karibu na kijiji ili aweze kuwinda kwa urahisi, ndio maana suluhisho lake ni kuuawa tu. Ndivyo ilivyo kwa mwanamke aliyecheat, suluhisho lake ni kuachana, basi.
Hamna lolote ni ego tu inawasumbua. Kwahiyo mwanamke akicheat adhabu yake ni kuuliwa? Na mwanaume akicheat adhabu yake ni nini?
 
Mwanaume Ni Ngumu Kusamehe Kwasababu Anawaza Mambo Mengi Aliyofanyiwa Mke Wake, Mchumba Wako.
Haya Ni Baazi Ya Maswali Anayo Jiuliza mwanaume Pinde Mke Anapo Chepuka.

▶Jamaa Alitumia Dhana Au Alikula Peku peku!

▶Kama Hawakutumia Kinga Inamaana Mbegu Za Jamaa Zimeingia Kwa Mwanamke Wake!.

▶Walitumia Style Gani!.

▶Jamaa Hakula Tigo!.

▶Kwanini Anisaliti Wakati Siku Zote Nahangaika Kwa Niaba Yake!.

Hayo Ni Machache Tu Kati Ya Maswali Mengi Anayojiuliza Mwanaume Anapo Salitiwa.
Na mwanamke pia huwa anawaza hayo yote na bado anasamehe. Kama unajuwa huwezi kusamehe basi na wewe usiwe unaomba msamaha kwa kile unajuwa ungekuwa wewe usingesamehe.
 
Back
Top Bottom