my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,384
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.
Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.
Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?