Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

Kwa kosa kama hilo, kumsamehe mwanamke ni ujinga wa hali ya juu sana. Ni wanaume wajinga tu wanaowasamehe wanawake kwa kosa kama hilo. Mwanamke hasamehewi bali huadhibiwa kwa kuachwa.
 
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?

Dadaaa, tatizo lipo hapa, ni kwamba Mwanaume kwa asili ameumbwa awe mmiliki wa wake wengi hii ni tofauti na mwanamke ambaye kiasili/kimaumbile ameumbwa asiwe na Wanaume wengi na hii ni sababu ya kiafya na katika uzao.

Tabia hiyo pia ipo kwa Wanyama, (ukimchukua Mwanadamu kama mnyama anayejitambua) lakini katika mahitaji ya kiasili tunafanana na wanyama, Utakuta Beberu moja lina miliki majike kadhaa na akija Beberu mpya "zitapigwa" na hata kwa ng'ombe na kuku nk, hali ni hiyo hiyo, myama ambaye hana wivu kwa jike lake ni nguruwe tu, yeye huwa hapigani akija dume mwingine,🤣🤣, ni mnyama wa ajabu na labda hiyo ni moja sababu akaharamishwa.

Ninachotaka kusema ni kwamba Mwanamume katika akitendewa cheating anakuwa mkali kwa sababu "he is driven by instincts like he animals" ingawa inatakiwa atawale instincts zake kupitia morals teachings, kwa mwanamke yeye naye kupitia instincts zake hujiona ni mwenye hatia kubwa kuliko mwanamume katika kosa hilo hilo kwa sababu yeye kiasilia hakuumbwa awe na wanaume wengi na hivyo anapomfumania mwanaume akicheat huwa ni rahisi sana kusamehe na hiyo ndiyo asili ya uanauke.
 
Umewahi kujiuliza kwa nini mwanamume anaweza kuoa wake zaidi ya mmoja wakati mwwnamke hilo haliwezekani? Ukipata hilo jibu ndio utajua
Na akitokea mwanamke hadharani akatangaza kua ameolewa na wanaume wawili ataandikwa hata kwenye World Guinness book of records.
 
Unakuta jamaa kajitahidi kutulia na demu na hajawahi kucheat hata mara moja halafu inatokea demu anamcheat mshkaji, Ngumu kusamehe. Ntakusamehe yote ila kwa hilo bora tuachane.
Kama mwana alicheat kabla, na dem alimsamehe maisha yakaendelea halafu demu akajacheat bila mshkaji kumsamehe, hapo sasa ndo tulinganishe swala la msamaha kutokana na kucheat.
 
Mbona wapo wengi mkuu?? Ninyi mnaishi dunia ipi??
Na akitokea mwanamke hadharani akatangaza kua ameolewa na wanaume wawili ataandikwa hata kwenye World Guinness book of records.
 
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?
mimi naona ni kutokana kiroho ni najisi, kwa mwanamke kucheat. Labda nieleze hivi, mwanaume akipata mke ina maana yule mke ni ubavu wake...sasa mwanamke akicheat ina maana umemtoa yeye akaenda kulala na mwanaume mwenzie. Maelezo mengine, wanaume huwa wanasahau watu ambao huwa wamelala nao ila wanawake hawasahau hasa kama alifurahia ule mchezo haijalishi iwe kwa bahati mbaya au la! na hii ni kwasababu ya yale manii kuingia ndani ya mwili wa mwanamke,na wanaume hii ndio inawaumaga sana sana kuona daah jamaa kafaidi mke wangu na mke wangu hawezi kumsahau yule jamaa. Inauma sana na kibinadamu ni ngumu sana kusamehe hasa ukiwa mnyonge kisaikolojia. Ukitaka kupima hii kitu...mwadithie mmeo kuhusu siku ulipotolewa bikra(kama hajakutoa yeye) uone sura yake itakavojaa mishipa!!! Hizo ndio sababu kwanini mwanaume ni ngumu kusamehe japo kusamehe kunawezekana kabisa, hata Mungu anajua hili ndio maana alimwambia nabii mmoja hivi akaoe kahaba ili aone uchungu na wivu juu ya mke wake akimaanisha kuwa ndio uchungu sawasawa anaopata yeye kwa watu wake duniani.
 
Hapo ni kweli aisee
 
Mimi binafsi huwa navuta picha wakati unawavulia nguo mpaka chupi yote halafu unalala jamaa anakuja juu yako dah! Hapo sijafikiria alitumia style gani? Aaah wapi,Sitakuja samehe jamani,Ila nyie msijisifu eti mnasamahe mara nyingi mnaangalia uwezo wa mtu.
 
Hao wewe unaowavuaga nguo ni ng'ombe sio!?

Muosha......!??

Usichopenda kufanyiwa....!??

Mkuki......!???

Hahaahaa.. Mtachapiwa tuuh..
 
Back
Top Bottom