Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?

Hii ndio asili na Mungu ndio aliumba hivyo. Mwanamke ni mwili katika mwili wa mwanaume kwa hiyo ile hali ya umiliki ipo ndani ya mwanaume siku zote.

Wanawake tusipolijua hili hawa watu wataendelea kutuumiza. Mwanaume mkosee kila kitu atasamehe lakini sio kumsaliti
 
Mbona we unacheat Mzee!! Unamwaga Mbegu Kwa wengine...
Ndo utofauti uliopo kuingiliwa kimwili na kumwagiwa mbegu ni kitendo cha kutendwa.

Mwanamke mwenye akili hawezi sema ka cheat kwa bahati mbaya, Hii ni tofauti na mwanaume yeye haingiliwi kimwili na mwanamke, kumfanya mwanaume kuwa mtendaji jambo ambalo ni zuri sana.
 
Hakuna bahati mbaya kwenye usaliti hata kwa wanaume, na pia unanidanganya sana tu, mwanamke anayempenda mwanaume wake atacheat sababu ya hela tofauti na hapo yupo na huyo mwanaume kwa sababu fulani either wengine hawakuwa waoaji so alihitaji tu ndoa lakin hakua anampenda au huyo mwanaume kwenye game yupo vibaya na hata hili huwa wanalivumilia sana tu kama anakupenda, yaani inshort mwamke atacheat kwa sababu fulani lakin kiukweli wanaume mara nyingi tuna cheat bila sababu yoyote
Mwanamke atacheat kwa sababu haridhshwi na mume kwenye jambo fulani, mfano kitandani. Pia wanawake wengi akikosana tu na mwanamume hata kwenye mambo ya kawaida atakwenda kutafuta faraja nje na hivyo kutoa mzigo kirahisi. Kwa nini?

Uzoefu wa mapenzi ndio sababu kubwa. Mwanamke aliyekuwa akiliwa na wanaume mbalimbali kabla ya kuolewa atakuwa na vionjo tofauti, kila mmoja atakuwa na namna aliuokuwa akimkuna. Sasa pale anapoolewa anaweza kumiss staili fulani ambayo haipati kwa mume. Na pia pale wanapogombana mwanamke hukimbilia kwa jamaa yake wa awali kutafuta liwazo, ndio maana kama ulikuwa na girlfriend halafu akaolewa, unaweza kushangaa bila kutegemea anakupogia simu na kukueleza ni jinsi gani amemiss vitu vyako. Kuolewa kwake ni kutimiza tu hitajio la kijamii ambapo kila mwanamke anatarajiwa awe na mume siku moja.

Ukitaka kupunguza uwezekano wa haya kutokea, tafuta mwanamke utakayemfundisha mapenzi wewe mwenyewe, sio aliyezibuliwa masikio na masela halafu ujidanganye utamtuliza, utaishia kupata ugonjwa wa moyo tu. Jamaa waliokuwa wakimla wana nafasi ya kuendeleza mchezo wakitaka kwani migogoro kwenye ndoa ni kawaida na pia huenda ukakosa baadhi staili ambazo zilikuwa zikimliza kweli kweli.
 
Ulishaona lolote la mnyama wa kufugwa au porini linachangia na Duke lingine mwanamke?
Simba anapomiliki kundi kama kiongozi huua madume wote kwwnye kundi lake, inabidi na sisi wanaume mtu akitaka kuoa awaue madume wote waliowahi kumla mke. Vinginevyo ataendwlea kutafunwa tu, hata iweje. Bikira ndio mpango mzima
 
Mwanaume Ni Ngumu Kusamehe Kwasababu Anawaza Mambo Mengi Aliyofanyiwa Mke Wake, Mchumba Wako.
Haya Ni Baazi Ya Maswali Anayo Jiuliza mwanaume Pinde Mke Anapo Chepuka.

▶Jamaa Alitumia Dhana Au Alikula Peku peku!

▶Kama Hawakutumia Kinga Inamaana Mbegu Za Jamaa Zimeingia Kwa Mwanamke Wake!.

▶Walitumia Style Gani!.

▶Jamaa Hakula Tigo!.

▶Kwanini Anisaliti Wakati Siku Zote Nahangaika Kwa Niaba Yake!.

Hayo Ni Machache Tu Kati Ya Maswali Mengi Anayojiuliza Mwanaume Anapo Salitiwa.

bila shaka ulishawahi kutendwa na kwa haya uliyo yaandika itokee mwanaume ambaye amesalitiwa akisoma hapa sidhani kama anaweza kuoa.Kwa kifupi mwanamke akichepuka analeta fikra kubwa kwenye vichwa vya wanaume,kutokana na wingi wa majengo ambayo yanaweza kumkuta.
 
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?
Yaani ule vya kwangu halafu unikimbie siku ya siku urudi na utake nikusamehe kiurahisi sio rahisi kama unavyodhani.
 
Kwa mwanaume ngono na upendo ni vitu viwili tofauti wakati kwa mwanamke hawezi enjoy ngono kama hampendi mhusika hiyo inamaanisha mwanaume anaweza kumsaliti mwanamke huku bado akiwa anampenda sana tu na hajapunguza hata chembe lakini mwanamke akikusaliti ujue moyoni mwake hauna chako otherwise amekusaliti kwa ajili ya hela hapo kidogo unaweza kumsamehe kama unamoyo huo,
Hata wanaujiuza
 
Ndivyo tulivyoumbwa....ktk ngono sisi tumeumbwa na ubinafsi....wanawake mtuelewe.....mwanaume anaweza kukuchiti kwa mademu hata kumi ila wew ukimchiti kwa mwanaume mmoja tu ni biashara nyingne....ndivyo tulivyo ...mtuvumilie tu
 
kitendo cha kum cheat baharia ni mwiko aisee! Fanya utoto wote ila ukicheat we are Done mazee!!!

God forgives....i don't! Retaliation is a must!
 
Back
Top Bottom