Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

Kwanini wanaume ni wagumu kusamehe?

Hamna lolote ni ego tu inawasumbua. Kwahiyo mwanamke akicheat adhabu yake ni kuuliwa? Na mwanaume akicheat adhabu yake ni nini?
Jamaa katoa mfano wa Simba akionja nyama ya mtu dawa ni kumuua tu so mwanamke akicheat hakuna njia zaidi ya kumuacha tu sio hivyo ulivyoelewa yaani mwanamke akicheat auwawe si wangebaki vibibi vizee tu nchi nzima maana vijana wote tungewaua kiukweli!
 
Hata wanawake ni hivyo sio kila anaecheat hampendi mwenzake wakati mwingine huwa inatokea tu kama bahati mbaya
Hakuna bahati mbaya kwenye usaliti hata kwa wanaume, na pia unanidanganya sana tu, mwanamke anayempenda mwanaume wake atacheat sababu ya hela tofauti na hapo yupo na huyo mwanaume kwa sababu fulani either wengine hawakuwa waoaji so alihitaji tu ndoa lakin hakua anampenda au huyo mwanaume kwenye game yupo vibaya na hata hili huwa wanalivumilia sana tu kama anakupenda, yaani inshort mwamke atacheat kwa sababu fulani lakin kiukweli wanaume mara nyingi tuna cheat bila sababu yoyote
 
Ulishaona lolote la mnyama wa kufugwa au porini linachangia na Duke lingine mwanamke?
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?
 
Dawa yake acha kuchepuka, sawa?

Sasa kwanini na wewe ucheat?ukumbuke kuwa yeye ndie alieanza kuumbwa kabla ya mwanamke,halafu yeye ndiye aliekuoa,halafu pia yeye ndio kichwa ndani ya nyumba kwahiyo lazima aonyeshe ugumu kidogo ili usiweze kurudia tena kosa.Ila saa nyingine mjue kuwa huwa mnatukwaza sana...
 
Wanaume sisi tumeishika sana biblia na tunaiga mifano ya humo.kwanza tunamuiga mfalme Suleiman alioa wanawake100+ AF pia kuna make wa mfalme nmemsahau alifukuzwa kWa kosa LA kusingiziwa tu kusaliti.SAS kam watu kwenye biblia hawasamehe sisi ni nani tukiuke
 
Mkuki kwa nguruwe... Kwa maelezo ya wadau wengi Wanaume sisi Huongoza kwa USALITI... Ila mwanamke wako akifanya ufanyayo ww hakuna namna ni kuachwa tu...ili hali wao husalitiwa na kusamehe
 
Wanawake mara nyingi husamehe kama mwanaume amecheat halafu wanaweza kuendelea na mahusiano na huyo mwanaume aliyemcheat kama kawaida bila tatizo.

Husamehe kutoka moyoni. Lakini tofauti na wanaume. Wao inakuwa sio rahisi kusamehe hata uombe msamaha vipi. Na akikusamehe basi ujue atakuja kurevenge au atakuwa mtu wa visa kibao bila sababu.

Kwanini wanaume wagumu sana kusamehe kosa la kucheat? Tatizo ni nini?
Wewe ulicheat kwa sababu zipi za msingi??
 
Back
Top Bottom