klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,648
- 5,140
hiyo post ya mjukuu mtiifu kama utaisoma na kuielewa basi unaweza, ukalikosoa dume lako na ukaliona linacheka cheka kama b w e g e tu na likawa kila siku linaomba mungu ulikosoe tena. nazani kina mama mnakosea approach. Wanaume tumeumbwa kwa testesteron bana nyie mmeumbwa kwa oestrogen na progesterone, approach lazima ziwe tofauti.MJ1 kwa hiyo wewe hata mumeo akikosea huongei naye kisa???? Acha mambo zako bana kha??!!! Kwanini nisimwambie yeye ni malaika hakosei?? "We need to talk"