Unaweza ukamwambia baba ako eti wewe baba umejamba?
Sijui kwa nn wanafanya hivi halafu usishangae kosa kafanya yeye atajitetea na kuligeuza uonekane wewe msichana ndo mkosaji
Umenisemea ambayo sikuyasema kupotezea fulani kha kumbeeeee.......................JF sante sana
Hapo ndipo nilipolenga yaani atakavyoipotezea utashangaa
Naunga mkono hoja, hata mimi sipendi tabia ya mwanamke kunuweka alert, nabakia kujiuliza kulikoni muda wote kabla ya kufika muda wa kuambiwa.
Aisee ile ishu yetu iko pale pale????Umeongea ukweli kabisa ha ha ha ha Uporoto bana
Ahaaaa ahaaaa Mjukuu nafanya home delivery ya Marunyagi leo kwako katoni mbili for this useful postNyie kina ndugu hebu msinichekeshe.............tangu lini viumbe hawa wakaonywa, semwa au lalamikiwa kwa staili hii na kuwasikiliza?
Bibi zetu walitufunza..mwanaume husikiliza upesi sana sauti za vilio vya mahaba na kubembeleza. Wanaume hupenda kuonyeshwa kuwa wao ndio wao bila wao hakuna kitu, wanaume hupenda kudhihirishiwa kuwa wameoa na si mmeoana............
Tumieni nafasi zenu, art zenu na sauti zenu kufikiza malalamiko yenu, kero zenu na si kuombea tu mshiko na magari au nguo mpya!!
Msiwachoshe bana ..ofisini we need to talk, kwa marafiki ...lets talk na nyumbani pia we need to talk jamani??
Nyie kina ndugu hebu msinichekeshe.............tangu lini viumbe hawa wakaonywa, semwa au lalamikiwa kwa staili hii na kuwasikiliza?

Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.
Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???
Naombeni ushauri wenu.....
DA
sred klosed. mia!Nyie kina ndugu hebu msinichekeshe.............tangu lini viumbe hawa wakaonywa, semwa au lalamikiwa kwa staili hii na kuwasikiliza?
Bibi zetu walitufunza..mwanaume husikiliza upesi sana sauti za vilio vya mahaba na kubembeleza. Wanaume hupenda kuonyeshwa kuwa wao ndio wao bila wao hakuna kitu, wanaume hupenda kudhihirishiwa kuwa wameoa na si mmeoana............
Tumieni nafasi zenu, art zenu na sauti zenu kufikiza malalamiko yenu, kero zenu na si kuombea tu mshiko na magari au nguo mpya!!
Msiwachoshe bana ..ofisini we need to talk, kwa marafiki ...lets talk na nyumbani pia we need to talk jamani??
Sijui kwa nn wanafanya hivi halafu usishangae kosa kafanya yeye atajitetea na kuligeuza uonekane wewe msichana ndo mkosaji
Umenisemea ambayo sikuyasema kupotezea fulani kha kumbeeeee.......................JF sante sana
Hapo ndipo nilipolenga yaani atakavyoipotezea utashangaa
MJ1 kwa hiyo wewe hata mumeo akikosea huongei naye kisa???? Acha mambo zako bana kha??!!! Kwanini nisimwambie yeye ni malaika hakosei?? "We need to talk"
Soma tu vizuri tena posti yake utamuelewa MJ1MJ1 kwa hiyo wewe hata mumeo akikosea huongei naye kisa???? Acha mambo zako bana kha??!!! Kwanini nisimwambie yeye ni malaika hakosei?? "We need to talk"
Nyie kina ndugu hebu msinichekeshe.............tangu lini viumbe hawa wakaonywa, semwa au lalamikiwa kwa staili hii na kuwasikiliza?
Bibi zetu walitufunza..mwanaume husikiliza upesi sana sauti za vilio vya mahaba na kubembeleza. Wanaume hupenda kuonyeshwa kuwa wao ndio wao bila wao hakuna kitu, wanaume hupenda kudhihirishiwa kuwa wameoa na si mmeoana............
Tumieni nafasi zenu, art zenu na sauti zenu kufikiza malalamiko yenu, kero zenu na si kuombea tu mshiko na magari au nguo mpya!!
Msiwachoshe bana ..ofisini we need to talk, kwa marafiki ...lets talk na nyumbani pia we need to talk jamani??
Ankal MJ1 amemaliza kila kitu ila hawa mabinti inabidi warudie kusoma posti yake vizuri ikibidi waprint kabisa wakabandike kwenye mlangosred klosed. mia!
We need to talk... kabla ya kufikia hiyo talk lazima mwanaume aji-screen kwanza kuona any weak portion aliyo-commit, na how to defend it... Baba ukiingia kichwa kichwa utagalagazwa ooohoo!