Kwanini Wanaume Hawapendi................................

Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,260
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.

Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:

"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.

Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.

Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???

Naombeni ushauri wenu.....

DA
 
Kwasababu mara nyingi hua inaishiria kuna jambo muhimu sana ambalo mtu ameshindwa kukwambia tu straight mpaka akupange.Yani inakua kama unaweka appointment kwamba tunahitaji kuongea kwahiyo tenga muda.Na kwa wengi maongezi hayo hua yanahusu kuachana..kupungua kwa mapenzi..kuelezana makosa and what not!Kama unataka kumwambia mtu kitu mwambie 'kuna kitu nataka kukwambia' hapo hataisha kukusumbua umwambie.
 
This sounds harsh to me.
 
Hapo ndipo nilipolenga yaani atakavyoipotezea utashangaa
 
DA akiwa na kosa lazima atakuzungusha na at the same time kama alikuwa anachelewa utamuona mapema karudi nyumbani ili tu asikuudhi asikumbane na kiti moto, wajanja haya watu acha tu
 
hiyo niliistukia muda
wanaogopa kuwekwa kitimoto
sasa hivi strategy ni kusema tu bila kumu alert afu unajifanya haijakuuma hata chembe
ushampa shua kiaina ajipange mwenyewe
 
unajuaa dada..mwanaume ukimwambia''to day we need to talk" lazimaa akuzungushe sababu kubwaa anajiuliza kuna kitu gani au nini nimefanya so anajipa mda wa kukifikiria...
 
well said dear................
 
unajuaa dada..mwanaume ukimwambia''to day we need to talk" lazimaa akuzungushe sababu kubwaa anajiuliza kuna kitu gani au nini nimefanya so anajipa mda wa kukifikiria...

Ha ha ha hiii kweli bana lakini wao wakitaka mbona tunawasiliza wajameni....................
 
Wanajua wana makosa kibao sasa unapomwambia hivyo inabidi aanze
kufikiri/kujipanga leo nakwenda ulizwa lipi kati ya hayo
 
QUOTE=Dena Amsi;1854256]Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.

Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:

"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.

Kuna agenda kuu ambayo humfanya mwanaume amfuate msichana. Kama agenda ni kufanya tendo la ndoa na kutimka inakuwa vigumu sana kumshawishi mwanaume huyo kuzungumzia mambo ambayo kwake sio kipaumbele. Wanawake wengi hasa wale ambao hawajaolewa huweka matumaini makubwa hasa ya kimaisha na wapenzi wao bila kujua nia na dhumuni la kutongozwa na mume huyu, wanawake wengi hudhani kuwa maadam ametembea na mpenzi wake huyo na kupewa ofa kibao, hudhani kuwa hivyo ni viashiria vya kupendwa na uhakika wa kuolewa. wanaume wengi wanapowafuata wasichana ni kwa ajili ya kutimiza tamaa ya kufanya mapenzi tu baada ya hapo hakuna nafasi ya kujadili agenda yeyote inayohoji nia ya uhusiano huo. Ndio maana ukitaka kufahamu nia ya mpenzi wako ibua mjadala uhusuo hatima ya uhusiano wenu, jibu utakalo ambiwa ni "mbona unaharaka, usiwe na wasiwasi kamwe hutasikia mwanaume akikuambia nia ni kutaka kukuoa na mara nyingi wanaume wa aina hii hawataki kabisa uhusiano wenu ujulikane, kitu ambacho ni tofauti na wanaume ambao wanania ya dhati kwani mipango ya mahusiano ina uwazi fulani.
 
hiyo niliistukia muda
wanaogopa kuwekwa kitimoto
sasa hivi strategy ni kusema tu bila kumu alert afu unajifanya haijakuuma hata chembe
ushampa shua kiaina ajipange mwenyewe

Naunga mkono hoja, hata mimi sipendi tabia ya mwanamke kunuweka alert, nabakia kujiuliza kulikoni muda wote kabla ya kufika muda wa kuambiwa.
 
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.

Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:

"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.

Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.

Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???

Naombeni ushauri wenu.....

DA

Hawapendi kuambiwa nini?
 
Hata sijui knn wanaogopa sana , lakin nahisi ksb,
wanakuwa wanahisi labda umejua mabaya anayoyafanya hukoooo,
wakati wala wewe labda hata haufahamu hayo wala hauyaongelei hayo ,
Siku hiyo utakayoipanga kuongea basi atajifanya yuko busy na mambo mengine au ana jambo lingine la maana analifuatilia,
kama ni mpenda mpira basi siku hiyo atakuwa busy ni supersport kupita kiasi ...lol

Eti wanaume kwann mnapenda kujihamihami?????....lol
 
Back
Top Bottom