Embu punguza hasira bana....''WE NEED TO TALK'' haimvutii mtu kuyatamani maongezi!!!
( Embu bembeleza huyo mbaba bwana.....mkumbatie alafu mweleze makosa yake kama atakana hata moja...au kama ni likizo ya kwenda nyumbani atakupa na muda wa nyongeza!!!! )
Halafu wewe mbona hatuonani??? Njoo FWY basi kha
Twende PM
Ashageuka baba tena, baba aweza kuwa mwenza wako? kanywe kahawa bana uondoe hangover
Acha masihara kuna only one ....................remain
Halafu wewe mbona hatuonani??? Njoo FWY basi kha
:A S-key:Nakusubiria.......................
Yupo Abidjan huyo hawezi toka, amewekwa kati na baunsa
kwani mmeo anavyo kuita mama umesha kuwa mama mzazi?
Itabidi aelewe na kukubali kwa lazima!Kisa cha kumpa mwenzake presha na "we need to talk" ?Huyu dena we utamweza ana mambo huyu, akielewa analeta za april moja hapa mtu unabaki unashangaashangaa mpaka uje ustuke saa nne tayari.
Whaaat?Tunaweza kuahirisha mpaka mwakani?Usiende bwana... we need to talk!
Nimepata kuona, kusikia na kutendewa hiki kitu.
Nauliza hivi kwanini Wanaume hawapendi kuambiwa:
"Leo inabidi tuzungumze kuhusu jambo fulani" "Today We need to Talk"msisitizo.
Nimeona ukishamwambia hivyo kama mapenzi yanapungua au sijui ni kujiamini kunapungua sana, halafu atajizungusha mpaka usahau tena wakati mwingine unakuta kuna kosa hivi au kakwambia kitu ukaona ni vyema kuzungumza kwa kina lakini atayeyusha na kuipotezea kwa mbali.
Wenzangu mmewahi kuona au kukutana na kitu hii au ni mimi peke yangu???
Naombeni ushauri wenu.....
DA
Ulivyoweka msisitizo mamaa...kweli hupendi!Mi simaind na nakumbuka bibi yangu alikua anaitwa hivyo..mama nae..hata mimi nimewahi!INAKUA NI KWASABABU UMECHUKUA JUKUMU LA KUMWANGALIA!Watoto wakiniita MAMA nasikia raha ,fahari sana, natamani waite hata 24/7 ,
lakin mume/mpenzi nooo USINIITE MAMA KABISA,
USIDHURUMU HAKI YA WATOTO ,WAO PEKE YAO NDIYO WANA HAKI YA KUNIITA MIMI MAMA TU.
ni kweli kabisa wanaume hawapendi kuambiwa pale wanapokosea,mimi hiyo imenitokea hivi karibuni,alinikosea nikamweleza akabadilisha kosa lake kuwa langu,nilivyomwambia we need to talk akakwepa na visingizio kibao