Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Udini huo😂😂😂
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Wajitambulisha kwamba wao ni waislam au wana majina wanayojinasibisha na uislam?Muislam hatambuliki kwa jina......usichanganye!Kuna akina Said wengi tu wapo ktk ukristo na elewa muislam hawezi kwenda kwa Mwamposa.
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Labda wakristo hawamwamini Yesu ndo maana waislam wengi ndo wanatendewa miujiza na kutoa ushuhuda.
 
Unamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Hakuna kitabu cha dini yoyote chenye kutaja mwafrika kuwa nabii, si Yesu wala Muhammad kuteuwa mwafrika kuwa nabii.
 
Unamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Kabila lake linahusiana vipi na ukweli wa Unabii wake au unabii wa uongo? Hujatutendea haki Wanyakyusa.
 
Unamwamin mtu anajiita nabii mwamposa we uliona wapi nabii akawa mnyakyusa subirin muda wa sadaka tu ufike hilo ndo lengo la yeye kupiga piga kelele
Mungu anakuona na ndo atatupa Majibu ya ukweli Nani Nabii wa ukweli Mana Saivi Kila mmoja utamsikia anajiita nabii
 
Mwamposa ndio Yesu? Wakati mwingine story kama hizi unamalizana huko huko kwenu na familia yako, watu watakutusi iwaone wakorofi,
 
Yani bro hata kama wewe ni mnyakyusa najua unacheka hapo kusikia Kuna nabii mnyakyusa
Wanyakyusa tunaongoza kwa idadi ya makanisa (kwa kulinganisha na idadi ya watu), tunaongoza kwa madhehebu mengi ya kikristo, tunaongoza kwa huduma hai makanisani (vilio, kwaya, vikundi....) nashangaaje kuwa na nabii Mnyakyusa☺☺
 
Sisi wa kristo wengi hatujakutana na uchawi so tuna mashaka pia na uwepo wa Mungh na uwepo wa uchawi ndio maana tunachukulia kawaida tu.Wenzetu waisilam wamepitia kwenye maagano mengi na wakateseka sana wakiambiwa majini ni wakwetu hawana shida wanapoteseka wanakuja kuona upande huu ndio msaada .
 
Yani tunavo visoma sisi wakrsto hatukuwahi kuambia moja kwamoja kuna majini kuna kafara kuna uganga sasa tunabaki kwa kuamini bila kuona ila wenzetu wao wanaezezwa vyote so wanajua yatokanayo.
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Usihemewe na usanii wa Mchungaji huyo.
Huyo yupo kwenye biashara ya kulaghai watu kuwa anaponya kumbe anawafanyia kiini macho, kwani hao wote 'wanaodai wanatoa ushuhuda' ni wa kupangwa kwa makubaliano maalum na mchungaji ili kuwazuga wajinga!.

Matapeli kama hao wamekuwa wakiumbuliwa kila uchao lakini kwa vile bado wanaotaka vitu kirahisi, bado wajinga wananaswa kwenye mtego huo wa kiraghai.
 
Back
Top Bottom