Kwanini wanaoshuhudia miujiza kwa Mwamposa wengi ni waislam tena wanawake?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
1643703257548.png

Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha.

Kweli yesu ni jibu.

USSR
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Wewe utakuwa ni mgeni mkuu.

Mimi mwenyewe ninafuatilia hapa. Ila nikuambie tu kuwa wengi wanaotendewa hususani sisi wakristu huwa tunakuwaga kama na aibu fulani hivi kwenye kushuhudia. Ukitaka kuliamini hilo, angalia ule mfano wa kwenye biblia. Walitendewa kumi lakini ni mmoja tu alierudi kwa Yesu kushukuru.

Mpaka Yesu akamuuliza wale wenzio wako wapi? Kama sijakosea. Sasa wenzetu waislam wana ujasiri sana aisee.

Tofauti sana na sisi wakristu
 
Wanawake wana emotional sana kuliko wanaume pia wanawake wengi ndio wanaongoza kwenda kwa waganga kuhusu waislam uemtumia kigezo kujua inamaana unataka kuniambia wale wote wanaokwenda waislam ni wengi kuliko wakristo pia huenda njia ya kuvuta watu ili watu wakubali huyu jamaa ana nguvu l
 
Nipo naangalia mahubiri kanisa la rise and shine naona wanawake wengi wa kiislam wengi ndio wanatoa ushuhuda wa kupitia magumu kwenye maisha

Kweli yesu ni jibu

USSR
Unajuaje kama ni Waislamu ?

Unajua kama Waislamu wengi wanatoka katika Uislamu bila kujijua ? Mpaka mtu anaenda huko ujue huyo si Muislamu tena sababu anakuwa amekiuka mafunzo ya Uislamu na kuona aliyo kuja nayo Mtume hayatoshelezi. Sasa kwa ushahidi gani utuambie hao ni Waislamu ?
 
Hata Yesu aliwaombea wote

USSR
 
Wewe utakuwa ni mgeni mkuu.Mimi mwenyewe ninafuatilia hapa.ila nikuambie tu kuwa wengi wanaotendewa hususani sisi wakristu huwa tunakuwaga kama na aibu fulani hivi kwenye kushuhudia.Ukitaka kuliamini hilo,angalia ule mfano wa kwenye biblia.Walitendewa kumi lakini ni mmoja tu alierudi kwa Yesu kushukuru.Mpaka Yesu akamuuliza wale wenzio wako wapi???Kama sijakosea.Sasa wenzetu waislam wana ujasiri sana aisee.Tofauti sana na sisi wakristu
Kwa hiyo mwamposa yesu like ama

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Hamna ukweli wowote wale wanapewa pesa kutoa ushuhuda na sio waislamu wale wengine wakristo wanatoka mikoani ile ni marketing level ambayo ni promotion kuwa makini wali serious na magonjwa wapo hospital aende

Kama una akili timamu unashindwa kutambua kitu kidogo kama icho
 
Wewe utakuwa ni mgeni mkuu.Mimi mwenyewe ninafuatilia hapa.ila nikuambie tu kuwa wengi wanaotendewa hususani sisi wakristu huwa tunakuwaga kama na aibu fulani hivi kwenye kushuhudia.Ukitaka kuliamini hilo,angalia ule mfano wa kwenye biblia.Walitendewa kumi lakini ni mmoja tu alierudi kwa Yesu kushukuru.Mpaka Yesu akamuuliza wale wenzio wako wapi???Kama sijakosea.Sasa wenzetu waislam wana ujasiri sana aisee.Tofauti sana na sisi wakristu
Mbona sasa havihusiani kabisa??.Unamfananisha Yesu na Mwamposa kweli??. Aiseee watu mnadharau sana.
 
Back
Top Bottom