Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

hiyo ni aibu tu,hauamini mwili wake,au ana boobs kubwa,hapendi wewe uone,au anahisi ukimchungulia kwa nanihii,maybe utahisi kumekaa vibaya.mpe elimu,mwambie unampenda the way she is.kabla ya mechi,anza kwa kumvua kitu kimoja tu,ongea naeeeeee,baadae vua kingine,mpe sifa nyingi tu,itasaidia{ziwe sifa za ukweli na sio za kitapeli}w.ke wengine huwaza mbali,kwa kuwa huyu sio mume wangu,bora apate kwa kuibia ibia.angekuwa mke wako,pengine isingekuwa hivyo

Kwahiyo nioe kabisa ..kisukari
 
kwanin asiniamini.. sijawahi muonyesha hata punje ya kutokua muaminifu.. ninatembea nae popote kwa uhuru..
cheki na kauli zako kijana pengine ndo zinazomfanya asiwe comfortable, manake kuna mwanaume mwingine utamkuta anasema, "mi sipendi mwanamke mwenye kovu labda sehemu flani, sipendi mwanamke mwenye tumbo/kitovu kikubwa na vitu vingine vinanyodiscourage " we unadhani atajifeel vipi? Hata kama hivyo vitu hana lazima atakosa amani, atakaa akijua ipo siku utamzodoa ama utamkimbia kabisa. Utastaajabu siku ukimu-encourage anaachia kila kitu.
 
Labda mpo ktk love kwa muda gani? Maana wakati mwingine labda bado anakuonea aibu mkuu.
 
Labda mpo ktk love kwa muda gani? Maana wakati mwingine labda bado anakuonea aibu mkuu.

miezi 8 sasa... siku moja niliwahi waza au labda kachorwa tatoo na mpenzi wake wa kwanza...sehemu nyeti na haifutiki... niliumia sana.. bado kidogo nimfosi kuona siku ile..
 
Labda mpo ktk love kwa muda gani? Maana wakati mwingine labda bado anakuonea aibu mkuu.
<br><br>

miezi 8 sasa... siku moja niliwahi waza au labda kachorwa tatoo na mpenzi wake wa kwanza...sehemu nyeti na haifutiki... niliumia sana.. bado kidogo nimfosi kuona siku ile..
 
Kumbuka kwamba ni mchumba wangu na tumepanga anza maisha very soon.. Vp ntapoaa afu anionyesha utupu wake nikute si kwa kawaida.. nimuache?.. lazima nivione vyoote kabla ya ndoa...

Mwanamke si sawa na kwenda nunua gari na kui test kwanza !! Uchumba wa siku izi ni kazi kweli kweli, Mpaka umchokonoe mwanamke vya kutosha ndipo mfunge nae ndoa..!!! Lakini Labda pia sijapata nafasi ya kuuliza kabila lako..!!! siku izi JF wapo hata Swazis.
 
cheki na kauli zako kijana pengine ndo zinazomfanya asiwe comfortable, manake kuna mwanaume mwingine utamkuta anasema, "mi sipendi mwanamke mwenye kovu labda sehemu flani, sipendi mwanamke mwenye tumbo/kitovu kikubwa na vitu vingine vinanyodiscourage " we unadhani atajifeel vipi? Hata kama hivyo vitu hana lazima atakosa amani, atakaa akijua ipo siku utamzodoa ama utamkimbia kabisa. Utastaajabu siku ukimu-encourage anaachia kila kitu.
Na anavyoropoka hapa jamvini haitakua ajabu kama ndivyo alivyo!!Lamba sukari kijana....
 
wana JF.. najua humu ndani kuna wataalamu wengi wa mahusiano..shida yangu ni hii..Mpenzi wangu hayupo comfortable kufanya mapenzi mchana au wakati taa inawaka.. kifupi tumbo lake sijawahi liona laiv na ikulu ndo sijawahi tia jicho.... anatatizo gani... niemuomba mara nyingi tuwashe taa hataki.. na nikifosi washa taa anavaa track za kulalia .... ndo hamna mechi hapo... anatatizo gani?? wapo wengine wako hivyoooo? mawazo yenu ni very helpfull kwangu. Ni binti...mie ni (Me) naomba niwe specific.
mchunguze vyema-usije kuta yupo kama "semenya"
 
acha kutumbua kitumbua mpaka ufikishwe unakotaka halafu tuone matunda ya huo mgomo.........................na usiache kutujuza vile................
 
wana JF.. najua humu ndani kuna wataalamu wengi wa mahusiano..shida yangu ni hii..Mpenzi wangu hayupo comfortable kufanya mapenzi mchana au wakati taa inawaka.. kifupi tumbo lake sijawahi liona laiv na ikulu ndo sijawahi tia jicho.... anatatizo gani... niemuomba mara nyingi tuwashe taa hataki.. na nikifosi washa taa anavaa track za kulalia .... ndo hamna mechi hapo... anatatizo gani?? wapo wengine wako hivyoooo? mawazo yenu ni very helpfull kwangu. Ni binti...mie ni (Me) naomba niwe specific.

Mpe muda labda atakuja kuelewa mbele ya safari..
 
Miezi 8 ni mingi sana, kaa naye mueleze kwa upole nini kinakukera atakuelewa tu.
miezi 8 sasa... siku moja niliwahi waza au labda kachorwa tatoo na mpenzi wake wa kwanza...sehemu nyeti na haifutiki... niliumia sana.. bado kidogo nimfosi kuona siku ile..
 
Data huyo ni mpenzi wako na si mke wako, mnatenda dhambi kwa kuibanjua amri ya sita. Na Mpenzi wako analijua hilo na ndo maana anapenda gizani sababu mnatenda DHAMBI hahahahahah
 
Kumbuka kwamba ni mchumba wangu na tumepanga anza maisha very soon.. Vp ntapoaa afu anionyesha utupu wake nikute si kwa kawaida.. nimuache?.. lazima nivione vyoote kabla ya ndoa...
Mhh ndo mana ukaambiwa huenda unatabia ya kuchezea mabinti za watu. Siku ya ndoa utaapa kuwa nae kwa kila hali, sasa inakuaje unakuwa na mawazo ya kuachana nae ka utaona tofauti na ulichokusudia? Ningemfahamu huyo dada ningemwambia hata hayo mapenzi ya gizani akunyime.
 
..............mhhhhhhhhhhhh, labda kuna kitu anaficha au ni kutojiamini. Inawezekana hajakuzoea vile vile, hebu jaribu kumtania matani yale ya kimapenzi labda atakubali kufanya mchezo kwenye taa.
 
Data take easy bro,kwanza umeomba ushauri hauna haja ya kumtusi mtu humu ndani chukulia kama challenge hayo majbu yao,pili kuna scenario mbili kuhusu mpenzi wako labda ana aibu wewe kumuona inawezekana ana tatizo au hana tatizo,malezi yake je yalikuwaje?kuna wasichana wamelelewa hivyo kwamba ni aibu kukaa utupu mbele ya mwanaume kiasi kwamba imewaathiri hadi ndani ya mapenzi,remember it takes two to tango hujawahi hata kumuomba muoge wote so how do u expect aibu zake zitamwisha awe comfortable mbele yako,chukua hatua kaka.
 
Kaka yangu "data" unaiona hiyo avatar yako, kama haujui maana yake waulize wamakonde au wachonga vinyago pale Mwenge (kama upo Dar). Pili huna "data" kule unakoweka data zako yaani ndani ya mashine kuna nini. Matokeo yake ni mabaya na moja wapo laweza kuwa kebebeshwa zigo zito kama mama wa avatar yako hapo juu. Kama si hilo ukajikuta unapelekwa msikule (kama vinyago vinavyoonekana)wakati wa giza ambapo unadhani unafanya maraha kumbe ni karaha.... Taahadhari....kama ni uchumba usingepunguza mwendo kwanza maana unaweza uka "DATA". Kila la heri kaka data
 
huna msaada kwangu.. klorokwin... styupidii

Kwenye JF huwa matusi ni mwiko...wewe umeomba msaada harafu mtu kakusaidia tena kisomi wewe unamtukana..... Mungu atakulaani na utajutia neno lako moja tu ulilolitoa kwa klokwin.
 
Back
Top Bottom