semenya.. ndo nin?
Kumbuka kwamba ni mchumba wangu na tumepanga anza maisha very soon.. Vp ntapoaa afu anionyesha utupu wake nikute si kwa kawaida.. nimuache?.. lazima nivione vyoote kabla ya ndoa...
u.Vipi ulishawahi kuoga nae(namaanisha kuoga kwa pamoja wote wawili) au labda kuenda nae beach? Huko hali inakuwaje?
Maisha ya ndoa hayaendi hivyo. kuona kila kitu sio kigezo chao ndoa nzuri. Upendo ndio muhimu. Ukimpenda mtu unatakiwa kumpenda vile alivyo. nahisi samahani kwa hisia zangu "huyo binti bado hajampenda ila unamtamani tu".
kama unashiriki nae kimwili na una furahi nafsi. akavua nguo akaona ana tatoo/ kovu au maumbile makubwa utamwacha? kama jibu ni ndio basi humpendi na achana nae.
kingine kwenye giza waweza kumpapasa na kama anatatizo lolote ambalo liko ukiacha tatoo utaliona tu.
kuhusu tatoo, jichole tatoo fake inayotoka halafu siku moja muoneshe na ukijifanya sio kiyu kibaya wala tatizo kama anayo atakuonesha.
usiwe na haraka ila hata kama atakuwa na tatoo ya jina la mtu usimwache mfanye mpango wa kuibadili iwe urembo wa aina nyingine.
u.
nilikuwa natafuta jibu.....kipipi umeshamjibu. haina haja ya kumfikiria sana mara jini, confidence....anza na kuoga, beach na sehemu ambazo no sex but mtu unabaki na chupi tu.
zingatia kijana
si we' umetoka kwa Babu juzi ni mambo gani unaleta hapa, au ndo Kikombe hakijaanza kufanya kazi,.................. ama kweli dunia gunia!!!!!!!!huna msaada kwangu.. klorokwin... styupidii
huna msaada kwangu.. klorokwin... styupidii
Uchunguzi unaonyesha wanawake wengi wanapendelea kufanya ngono gizani kuliko wanaume. Hilo pia nimelithibitisha mwenyewe kua wasichana wengi niliokutana nao wanapendelea kufanya ngono gizani kuliko taa ikiwa imewaka lakini pia washkaji wangu wengi nimewauliza wananiambia hivyo hovyo,,,,,mi naomba wanawake wanipe majibu pi na wanaume wanaojua hili,kwa nini wanawake wanapenda kufanya ngono gizani.....???????
Labda ni wajukuu wa 'Tola mla gizani'