Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

Unataka raha au unataka kuona ? watu wengine bwana.... Subiri akipata mimba siku ya kujifungua uende nae Labour ward watakuonyesha vizuri..!

jig saw... nataka nifahamu kwanin yupo hiviii.... thats my problem... ndo maana nikahoji wapo wengine wako hivyoo...
 
ok,kwanza hujasema kama ndo mkeo au ni hawara tu,ila nini wasiwasi nae kuna kitu atakua anaficha hebu endelea kumchunguza.bye

wana JF.. najua humu ndani kuna wataalamu wengi wa mahusiano..shida yangu ni hii..Mpenzi wangu hayupo comfortable kufanya mapenzi mchana au wakati taa inawaka.. kifupi tumbo lake sijawahi liona laiv na ikulu ndo sijawahi tia jicho.... anatatizo gani... niemuomba mara nyingi tuwashe taa hataki.. na nikifosi washa taa anavaa track za kulalia .... ndo hamna mechi hapo... anatatizo gani?? wapo wengine wako hivyoooo? mawazo yenu ni very helpfull kwangu. Ni binti...mie ni (Me) naomba niwe specific.
 
sijawaza kuomba nioge nae.. sidhani kama atakubali
mwambie uone atasema nini. Pia jaribu kumnunulia nguo halaf mgee avae mbele yako(chumbani ama sehemu ya faragha). Akigoma na hapo basi ujue kuna kitu anaficha na si swala la ufanyaji mapenzi pekee, angekuwa anaona aibu basi hata mapenzi asingefanya. Kuna watu wanaprefer kufanya mapenzi gizani kwa madai kwamba wanakuwa huru zaidi kuliko wakiwa kwenye mwanga, vilevile kuna ambao hupendelea zaidi mwanga hafifu kwa ajili ya kuvuta hisia zaidi. Pamoja na hayo nijuavyo mie hata kwenye mwanga sometimes huwa wanafanya na mfano mzuri ni mchana au asubuhi inategemea na wahusika. All in all ye ndo mwenye majibu so nakushauri uongee nae na umuulize then utapima mwenyewe.
 
raha ya mapenz muonane viungo sasa hyo anaficha hapo kuna tatizo bila shaka chunguza
 
jig saw... nataka nifahamu kwanin yupo hiviii.... thats my problem... ndo maana nikahoji wapo wengine wako hivyoo...
swala si kuwa wapo wengine wa hivyo au la, issue ni kwamba unaridhika na hiyo situation? Ok tusubiri wachangiaji wengine watasemaje.
 
nahisi ana ngozi mbaya ya mwili ndio maana anaona aibu, au hana mazingira ya usafi
basi washa japo mishumaa yenye mwanga hafifu au weka zile taa zenye mwaga hafifu,kuna nyengine nyekundu, nyengine za bluu.

mi mambo ya kupapasana kutafuta kichwa kipo wapi hata sitaki, weka mwanga kidogo ili nikuone unavyoitoa hiyo mijicho
 
wana JF.. najua humu ndani kuna wataalamu wengi wa mahusiano..shida yangu ni hii..Mpenzi wangu hayupo comfortable kufanya mapenzi mchana au wakati taa inawaka.. kifupi tumbo lake sijawahi liona laiv na ikulu ndo sijawahi tia jicho.... anatatizo gani... niemuomba mara nyingi tuwashe taa hataki.. na nikifosi washa taa anavaa track za kulalia .... ndo hamna mechi hapo... anatatizo gani?? wapo wengine wako hivyoooo? mawazo yenu ni very helpfull kwangu. Ni binti...mie ni (Me) naomba niwe specific.

Pengine nawe pia wajitutika shemeji yangu.........jiweke huru naye atauwa huru huku ukimtupia visifa vya hapa na pale...ila nenda naye taratibu huenda kalelewa huyo akaleleka ati!!
 
Klorokwini psychological analysis.possibilitiesAna woga wa kizembe: So pengine wewe una sura mbovu na ukiwa katika ile shuhuli unang'aruza mimacho na mimeno unatoa nje, hii inamtisha na kumkata stimu, ameonelea bora gizani ili asikuone.Mambo ya kiswahili (ushirikina): pengine amefundwa hivyo kwa taratiib maalum za kifamiliaMchumi: ameamua kusave bill ya umeme ili mnunue kabajaji.Anafeki: Haumfikishi kileleni so anafake na anahisi utamshtukia akifake mchana kweupe (low self confidence)Aibu: amekuwa na kufunzwa kuwa ngono ni aibu.Extra sex abnormal activities (ambayo pia ni sub heading ya aibu) : ana mambo ya ajabu anafanya wakati wa kungonoka na hataki wewe uyaone na hayakubaliki kijamii na kimaadili.Post litakuwa refu acha niishie hapa.
ya kusave umeme inasound
 
ana kitambi? Au madoadoa? Au miguu kama fito? Kwa ufupi hajiamini
 
kuna kitu kimoja hujajua,huwezi zuia mvua,na kama yanyesha yanyesha tu.
Kama raha wapata wataka uone nini?

Mbna kwenye video mwaziona sana?

Lakini pole kwa takwimu ulizoweka hapo yamaanisha hata kuoga pa1 naye hujawai hahaha.
Wenzako 2naimbaga...

Funua... Tuone... Yaliyomo ndani mwa...
 
jig saw... nataka nifahamu kwanin yupo hiviii.... thats my problem... ndo maana nikahoji wapo wengine wako hivyoo...

Hizo ni sehemu zake za siri ..! Na huenda hakuamini wewe Macho juu juu mwenye kuchezea mabinti za watu kabla ya ndoa. Anakupa mapenzi gizani kwani hata wewe upo kigiza giza tu.. Funga nae ndoa ...100% atakuonyesha hata ambako hukupenda kuona..!! OA Data acha mapenzi kabla ya ndoa na utaona vingi kama sisi..!!
 
mwambie uone atasema nini. Pia jaribu kumnunulia nguo halaf mgee avae mbele yako(chumbani ama sehemu ya faragha). Akigoma na hapo basi ujue kuna kitu anaficha na si swala la ufanyaji mapenzi pekee, angekuwa anaona aibu basi hata mapenzi asingefanya. Kuna watu wanaprefer kufanya mapenzi gizani kwa madai kwamba wanakuwa huru zaidi kuliko wakiwa kwenye mwanga, vilevile kuna ambao hupendelea zaidi mwanga hafifu kwa ajili ya kuvuta hisia zaidi. Pamoja na hayo nijuavyo mie hata kwenye mwanga sometimes huwa wanafanya na mfano mzuri ni mchana au asubuhi inategemea na wahusika. All in all ye ndo mwenye majibu so nakushauri uongee nae na umuulize then utapima mwenyewe.

Asante sana... I will work on that..
 
Hizo ni sehemu zake za siri ..! Na huenda hakuamini wewe Macho juu juu mwenye kuchezea mabinti za watu kabla ya ndoa. Anakupa mapenzi gizani kwani hata wewe upo kigiza giza tu.. Funga nae ndoa ...100% atakuonyesha hata ambako hukupenda kuona..!! OA Data acha mapenzi kabla ya ndoa na utaona vingi kama sisi..!!

Kumbuka kwamba ni mchumba wangu na tumepanga anza maisha very soon.. Vp ntapoaa afu anionyesha utupu wake nikute si kwa kawaida.. nimuache?.. lazima nivione vyoote kabla ya ndoa...
 
Pengine nawe pia wajitutika shemeji yangu.........jiweke huru naye atauwa huru huku ukimtupia visifa vya hapa na pale...ila nenda naye taratibu huenda kalelewa huyo akaleleka ati!!

Anaweza kweli akawa na malezi bora.. asante mwanajamiione
 
hiyo ni aibu tu,hauamini mwili wake,au ana boobs kubwa,hapendi wewe uone,au anahisi ukimchungulia kwa nanihii,maybe utahisi kumekaa vibaya.mpe elimu,mwambie unampenda the way she is.kabla ya mechi,anza kwa kumvua kitu kimoja tu,ongea naeeeeee,baadae vua kingine,mpe sifa nyingi tu,itasaidia{ziwe sifa za ukweli na sio za kitapeli}w.ke wengine huwaza mbali,kwa kuwa huyu sio mume wangu,bora apate kwa kuibia ibia.angekuwa mke wako,pengine isingekuwa hivyo
 
Anaweza kweli akawa na malezi bora.. asante mwanajamiione
Hahahha..,eti malezi bora!!Kama angekua anaendeleza “malezi bora“ hata kupapasana gizani asingeruhusu!!
 
Hakuamini ndio maana!!

kwanin asiniamini.. sijawahi muonyesha hata punje ya kutokua muaminifu.. ninatembea nae popote kwa uhuru..
 
Back
Top Bottom