Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,950
- 32,343
Wanabodi,
Baada ya Rais wetu kipenzi Bi mkubwa Samia Suluhu, kafanya teuzi zake za Wakuu wa Wilaya, kila kona Watanzania wametoa pongezi kwa rais.
Kitu cha kushangaza Pro-Chadema JF karibia wote wamechukizwa sana na hizi teuzi nadhani huwenda hawa jamaa zao Dkt. Mashinji, Nassari, Lijuakali, kuwemo kwenye teuzi hiki ndiyo huenda kimewauma sana nadhani walitaka wateseke ndiyo wafurahi.
Rai yangu kwa Pro-Chadema JF toka lini mkafurahishwa na teuzi za rais na kichekesho kutaka kumpangia rais mnavyopenda nyie hawafanyie.
Hiki kipindi mpo huru kufanya mikutano yetu kila kona nchi ya nchi zungukeni mkatagaze chama chenu sasa kama mtakuwa mnashinda JF na kuponda mnajipunja vingi.
Mlikuwa na hoja ya katiba naona mmeitupa sasa hivi mmejikita kuponda teuzi za Wakuu wa Wilaya.