Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Science inakuonyesha kuwa ukiangalia muda uliotumia ukiwa mdogo unaonekana ni mwingi kuliko ukiwa mtu mzima ndio maana unaona hawazeekei na aewe ukahisi ni muda mrefu umepita toka akufundishe.

Mfano, unaweza hisi miaka 20-30 ni inaenda slow kuliko 30-40
 
ukweli ni kuwa wakati huo ukiwa mdogo wao walikuwa wadogo pia ila kwa upeo wa wakati ule uliwaona wakubwa sana
Hii ni sababu yenye mashiko.

Kuhakikisha hili itabidi ujue umri wake kipindi we unasoma na amezaliwa mwaka gani ili kupata kupata jumla ya umri, utofauti wa miaka utaleta mrejesho je ni kweli muonekano wake na umri alionao haviendani kweli.

Alafu tutalinganisha na mtu kutoka taaluma nyingine mwenye umri sawa na walimu tuone kuna tofauti?
Tutumie watu mashuhuli tunaowajua wote.

NB: Ila walimu miaka yanyuma walikua wanaishi kama wafalme.

•Wanaheshimika.

•Hawafanyi kazi ngumu kazi zote kuanzia kuchota maji hadi kupika wanapikiwa na wanafunzi wale best wenye nidhamu ya juu.

•Wanazawadiwa kuku mayai na maziwa na wanakijiji.

•Kazi yau inahusisha social interaction (michezo kwa wingi mara umiseta hujakaa sawa umitashumta... hujabadilisha mkao inter school competition ).

•Wakikubwa na migogoro stress na hasira wanazimalizia kwa wanafunzi.😂😂😂.

Sasa apo stress na depression inatokea wapi eti jamani!!!?😂😂
 
huu uzi ni wa kitambo kweli 😁
 
Kwa Mtazamo wangu Wanamuziki ndiyo hawazeeki mapema kutokana na kuwa na furaha sana katika kazi yao ya muziki/burudani. Hawana stress

Juzi tu nimemwona mwanamuziki mkongwe mzee Zoro ametupia pensi kama sharo wa umri wa miaka 30 hivi.
Kuna njemba Mona niliisijia inisema ukitaka kufa mapema kuwa m/ music,.
 
huu uzi ni wa kitambo kweli 😁
Dah! Hata sikujua ndio umenisanua apa... kuchek naona uzi umenizidi umri humu JF 😄😄😄.
 
Mfumo wa maisha pia unachangia hawana hela za anasa na wanatumia muda mwingi kwenye kuandaa madesa na tuitions etc.

Anyway walimu wangu walevi wa gongo nishawazika sana tu pamoja na wale vicheche.
ukinywa gongo lazima uzeeke mapema
 
ULICHOSEMA NI KWELI KABISA MKUU : Maana hata mimi namfahamu mwl aliyewafundisha mama zangu wadogo,mpaka leo ni kijana tu.Ajabu amekuja kuolewa na mwanafunzi wake.Ukimtazama jamaa(mumewe) yeye anazeeka lakini mwl bado anadunda.NADHANI KUJIEPUSHA NA TABIA ZA UHUNI NDIO SIRI.
wamepishana miaka mingapi?
 
Huwezi kukutana na walimu wachache kati ya walimu wote waliokufundisha ukaishia kufanya conclusion kuwa walimu wote hawazeeki?
Kwani walimu wana kitu gani special zaidi ya binadamu wengine kinachofanya wasizeeke?
Ndo mana nikaleta hapa jukwaani kwa kifupi sio mtizamo wangu Peke yangu ni wengi tu wameliona hilo.
 
Hapo ulisahau vituko vya wanafunzi, ukiacha maujinga yao ila most of the times wanafurahisha sana. Yaani kikitoka kituko kimoja kinakuja kingine basi ni muda mwingi ni kufurahi tu. Lakini pia sisi hatujifungii kila mtu ofisini kwake na stress zake, tunakaa ofisi moja karibia walimu wote, basi hapo ni story za hapa na pale za kuelekezana jinsi ya kuunga dagaa wetu huku unasahihisha madaftari. Na kushifikishana vituko vya watoto basi ni kucheka tuu muda wote.

Lakini pia walimu wengi tunaishi maisha yetu halisi, hakuna kufake sijui ninunue wigi la milioni sijui. Nikisuka nywele za elfu 5 nimejiridhikiaa na kitenge changu mpauko
Hadi nimekupenda mwalimu khaa...
 
Hapo ulisahau vituko vya wanafunzi, ukiacha maujinga yao ila most of the times wanafurahisha sana. Yaani kikitoka kituko kimoja kinakuja kingine basi ni muda mwingi ni kufurahi tu. Lakini pia sisi hatujifungii kila mtu ofisini kwake na stress zake, tunakaa ofisi moja karibia walimu wote, basi hapo ni story za hapa na pale za kuelekezana jinsi ya kuunga dagaa wetu huku unasahihisha madaftari. Na kushirikishana vituko vya watoto basi ni kucheka tuu muda wote.

Lakini pia walimu wengi tunaishi maisha yetu halisi, hakuna kufake sijui ninunue wigi la milioni sijui. Nikisuka nywele za elfu 5 nimejiridhikiaa na kitenge changu mpauko
Natafuta mwalimu wa kuoa na kujenga nae maisha, mwalimu. Unesema hamfake maisha, very veery important. Najua moja ya stori zenu ofisini ni pamoja na mahusiano
 
Kazi ya kitume ile

Nenda kwa wale wavaa uniform wapiga virungu kachunguze jinsi walivyo na laana
 
Natafuta mwalimu wa kuoa na kujenga nae maisha, mwalimu. Unesema hamfake maisha, very veery important. Najua moja ya stori zenu ofisini ni pamoja na mahusiano
Kila lenye heri mkuu, Mungu akusaidie sio tu upate mwalimu bali mke mwema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom