binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,108
- 34,402
Last edited by a moderator:
Af nlikua sijui kama na wewe ni madame, tupo wengi duuh tutaunda kagroup ka whatsapp kupeana mbinu za kuuza visheti lolMbona mi hujaniita? ?? Cc. Kim nana
Mbona mi hujaniita? ?? Cc. Kim nana
Af nlikua sijui kama na wewe ni madame, tupo wengi duuh tutaunda kagroup ka whatsapp kupeana mbinu za kuuza visheti lol
Hii mada imenikumbusha mbali juzi nimekutana Mwl. Aliyemfubdisha bibi yangu bado yuko vilevile aisee maajabu kweli





vipi bado uyo teacher yupo?MIKOPO NA MAISHA MAGUMUHabari wanajukwaa,
Kuna ka usemi nilikua nakasikia tangu nikiwa shule O-level ila nilikua siamini eti walimu hawazeeki haraka. Kwa kweli nimekuja kushuhudia na kuchunguza juu ya hilo na kuona ni kweli kwa 100% maana juzi kama bahati nimekuta na mwalimu wangu ambaye alinifundisha vidudu(chekechea) sikuweza kuamini kwani haikunipa tabu kumtambua nilivyomuona mara moja niliweza kumfahamu.
Kiukweli yupo vilevile na bado anafundsha na ameweza kufungua center yake mwenyewe sio huyo tu na wengine wengi kuanzia primary mpaka secondary sijajua kiiman kwamba mwenyezi Mungu amewabarki ama vipi au niikwanini inakuwa hivyo.
NAWASILISHA
Wanapoenda chuma mboga nimemkumbuka mwl. WileMfumo wa maisha pia unachangia hawana hela za anasa na wanatumia muda mwingi kwenye kuandaa madesa na tuitions etc.
Anyway walimu wangu walevi wa gongo nishawazika sana tu pamoja na wale vicheche.
Hahahahha wanaishi maisha halisi sana bila ma anasa ya ma biaNikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.
Ina contradict vipi mzee unless uwe upo kwenye maisha ya kula majalalani😅!!!Kumbe starehe zinazeesha mapema kuliko maisha magumu? Mbona kama hii kitu ina-contradict aisee?
Mtuache na dagaa wetu chuku chuku.Ina contradict vipi mzee unless uwe upo kwenye maisha ya kula majalalani!!!
Walimu wanakula maisha ya mboga na madagaa chukuchuku tofauti na manyama na mavyakula ya mafuta mafuta (healthy foods). Wanalima lima bustani zao (Mazoezi) wanaenda shule kwa mguu ama baiskeli (mazoezi). Wanasimama most of the school hours wakifundisha (mazoezi). Wanakokotoa mahesabu na kusahihisha madaftari na mitihani (mazoezi). Hayo ni machache tu kwa hao walimu!
Tukiangalia kwa wenye unafuu wa maisha hapa nawagusa maboss boss! Asubuhi chai nzito kisha kazini ni kwa gari, 8 hours yupo kakalia kiti ni kupiga simu na kuchezea laptop! Muda pekee anatembea ni kwenda toilet na kutoka ofisini kwenda lunch! Hapo utaona ni kushindilia supu mchana ma vyakula yenye mafuta au manyama choma na ugali! Kisha jioni ndani ya gari tena mpaka bar ya jirani na home kugida mabia kisha home kula mawali ya mke na kualala.
Hii aina ya lifestyle inakuhakikishia kisukari na BP ya mapema sana




Mie huwa ninafanya balance of trade 😂😂😂 wabejah sana maticha woteMtuache na dagaa wetu chuku chuku.
Ila umetunanga na kutusifia humo humo kenge wewe![]()
Hapo ulisahau vituko vya wanafunzi, ukiacha maujinga yao ila most of the times wanafurahisha sana. Yaani kikitoka kituko kimoja kinakuja kingine basi ni muda mwingi ni kufurahi tu.Mie huwa ninafanya balance of tradewabejah sana maticha wote

Hasa walimu wa hisabati huwa hawazeeki kenge Wale..




Huwezi kukutana na walimu wachache kati ya walimu wote waliokufundisha ukaishia kufanya conclusion kuwa walimu wote hawazeeki?Habari wanajukwaa,
Kuna ka usemi nilikua nakasikia tangu nikiwa shule O-level ila nilikua siamini eti walimu hawazeeki haraka. Kwa kweli nimekuja kushuhudia na kuchunguza juu ya hilo na kuona ni kweli kwa 100% maana juzi kama bahati nimekuta na mwalimu wangu ambaye alinifundisha vidudu(chekechea) sikuweza kuamini kwani haikunipa tabu kumtambua nilivyomuona mara moja niliweza kumfahamu.
Kiukweli yupo vilevile na bado anafundsha na ameweza kufungua center yake mwenyewe sio huyo tu na wengine wengi kuanzia primary mpaka secondary sijajua kiiman kwamba mwenyezi Mungu amewabarki ama vipi au niikwanini inakuwa hivyo.
NAWASILISHA