Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Kwanini walimu hawazeeki mapema?

Nikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.

Sio Mwl Tumbo tu. hata Mwl Mulenga nilimuona hazeeki. Mie mamvi kibao lakini Mwl Farida mulenga yuko mkakamavu. Mungu wape maisha yenye neema waalimu wetu wote.
 
Waalim wanafanya mazoez makubwa sana mfano kusimama muda mrefu,Hawana maisha ya gharama sana hawaishi luxury life na viungo vyao vipo active sana
 
Lile zoezi LA kusimama class kila siku na kutembea tembea ukiunganisha zile route in kilometers kadhaa ndio maana hawazeeki mapema. Mazoezi mengi

Ukweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu
Halafu hatuna stress za ntakula nini, tunakopesheka yani...nimeshuhudia huku nabebembelezwa kukopa nyama kiroho safi...tunaaminika sa we jaribu kukopa uone unavyopigwa cha mbavu.

Halafu hamna stress za kukutana na boss kila siku ofisini yani...unafanya kazi unavyopenda wakaguzi wanakuja Mara moja kwa mwakaaa...

Pia ni lifetime job, yani uumwe, uvunjike, upooze mshahara uko pale pale na kibarua hakipo mashakanii...

Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....

nimemaliza...
 
Nikuwa mwalimu anafanya mazoezi pale anapokuwa amesimama darasani anafundisha,akitembetembea darasani,toka pembe hii kwenda pembe nyingine,toka darasa hili kwenda lile,ukijumuisha anakuwa anatembea umbali mrefu kwa siku,lakini pia anapata muda wakutojiusisha na vitu vyakuchosha mwili.
 
Ukweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu
Halafu hatuna stress za ntakula nini, tunakopesheka yani...nimeshuhudia huku nabebembelezwa kukopa nyama kiroho safi...tunaaminika sa we jaribu kukopa uone unavyopigwa cha mbavu.

Halafu hamna stress za kukutana na boss kila siku ofisini yani...unafanya kazi unavyopenda wakaguzi wanakuja Mara moja kwa mwakaaa...

Pia ni lifetime job, yani uumwe, uvunjike, upooze mshahara uko pale pale na kibarua hakipo mashakanii...

Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....

nimemaliza...

haha kweli kabisa
 
hhhahahahahahaha...umenchekesha hadi machozi wallah!
Live long 'ticha!'...(km kweli lkn)
 
Nikweli kabisa walimu hawazeeki mapema,,nimeanza shule nina mwaka 1994 nikamkuta mwalimu tumbo ni mkuu shule ya msingi nyanza na hadi leo ni mwalimu mkuu pale nyanza na bado anadundika tu.

Lol hadi nmecheka wewe ni primary school mate wangu, kweli yule mwalimu hazeeki yupo vile vile hadi leo ulinyelusya tumbo
 
Sio Mwl Tumbo tu. hata Mwl Mulenga nilimuona hazeeki. Mie mamvi kibao lakini Mwl Farida mulenga yuko mkakamavu. Mungu wape maisha yenye neema waalimu wetu wote.

Mwalimu alikua mpashkuna yule nakumbuka nlikua darasa la nne anatufundisha kiswahili
akitoa zoezi anapita kwa kila mmoja anasahisha huku anaimba taarabu
 
Ukweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu
Halafu hatuna stress za ntakula nini, tunakopesheka yani...nimeshuhudia huku nabebembelezwa kukopa nyama kiroho safi...tunaaminika sa we jaribu kukopa uone unavyopigwa cha mbavu.

Halafu hamna stress za kukutana na boss kila siku ofisini yani...unafanya kazi unavyopenda wakaguzi wanakuja Mara moja kwa mwakaaa...

Pia ni lifetime job, yani uumwe, uvunjike, upooze mshahara uko pale pale na kibarua hakipo mashakanii...

Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....

nimemaliza...
Kwakweli ni kazi isio na stress
mie kwa wiki kazini naenda mara mbili tu kwenye vipindi siku zingine zote nafanya mambo mengine
siachi ualimu hata iweje
 
Ukweli ni kwamba tunajua kuridhika, hakuna mashindano ya kijinga ofisini...Huyo Mkuu wa shule ana Boda Boda, mratibu Elimu ana baskeli...me nikakimbilie mkopo wa gari kisa cha kujitia stress nini? Akuu
Halafu hatuna stress za ntakula nini, tunakopesheka yani...nimeshuhudia huku nabebembelezwa kukopa nyama kiroho safi...tunaaminika sa we jaribu kukopa uone unavyopigwa cha mbavu.

Halafu hamna stress za kukutana na boss kila siku ofisini yani...unafanya kazi unavyopenda wakaguzi wanakuja Mara moja kwa mwakaaa...

Pia ni lifetime job, yani uumwe, uvunjike, upooze mshahara uko pale pale na kibarua hakipo mashakanii...

Kubwaa kuliko watoto wenu wanatupa raha, yani tukisahisha mitihani tunacheeeka hadi makunyanzi yanaondokaaa...wanajua kuandika pumba Wallahi.....

nimemaliza...
Wewe lazima utakuwa mwalimu wa .com
 
Nimeipenda hii ya wakat wa kumark
 
Mtoa mada .'walimu hawazeeki' unamaanisha ni kina nani wanaozeeka,? mama yangu ana 81 yrs ni mzee na alikuwa mwalimu, au una maana nyingine au wewe ni hii product mpya ya crush program
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom