bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
True juzi kati nimekutana na mwalimu wangu wa primary huwez amin tukapeana mambo tukagonga nikamkumbusha shule akajibu aaah nimehama niko shule nyingine akaniuliza ulikua unafanya kazi wap maeneo yale hakumbuki kua alinifundisha nikiwa darasa la 3 yy anadhan nilikua mkubwa nafanya kazi maeneo hayo nilishangaa sana!
Though kwa muonekano nikisimama nae unaona kabisa kama ni watu wa rika moja ndo mana salam ya mambo ilikua justifiable kabisa in the end wala sikumkumbusha kua alinifundisha!!!!
Though kwa muonekano nikisimama nae unaona kabisa kama ni watu wa rika moja ndo mana salam ya mambo ilikua justifiable kabisa in the end wala sikumkumbusha kua alinifundisha!!!!