Kwanini Walimu hawazeeki kama wanafunzi wanaowafundisha?

Kwanini Walimu hawazeeki kama wanafunzi wanaowafundisha?

Mkuu utafiti wako ni [emoji817] true kabisaa,mwez uliopita ,nikaona nilejee home huko kjjn kwetu,nikamsabahi bi mkubwa, ebwana eee,nikashangaa napigwa bega kwa nyuma,nikageuka ,kumbe alikuwa mwl.mkuu wangu wa primary enzi hizo,bado yuko vile vile,na amestaafu muda Sasa Kama miaka kumi na plus iliyopita.
 
Walimu sehemu kubwa ya maisha mwili na akili vinatumika katika wastani unaofaa kiafya!

Vurugu za wanafunzi, kuandaa masomo, usahihishaji, upangaji wa matokeo husababisha akili iwe ACTIVE.

Michezo, kusimama darasani, kuandika ubaoni, kuchapa fimbo na mengine hufanya viungo na mwili kwa ujumla kuwa ACTIVE.

MUNGU WABARIKI WALIMU!
 
Mkuu fuatilia vizuri, watu wanaoongea sanaa hawazeeki...hawaweki kitu moyoni
Sure stress mbaya sana sasa hawa maticha mda wote wapo active kuanzia kuongea kwenyewe na pia kazi yao zoezi tosha kwanza hawakai chini mara amsha amsha za wanafunzi ila kina sie mtu umejikalia kitako kwny kompyuta asubuhi had jion then unawasha kigari chako unaenda home mara folen kwann usipate BP na mawazo...

Mda unawasha kigari chako huku ticha gari hana anakula mguu tyr zoezi
 
Naam
 
Ualimu ni kazi isiyo na stress sana na hata kama ukiwaza watoto wanakuliwaza kwa pilika zao

Waalimu siku nzima ni harakati tu kwa hiyo hayo ni mazoezi tosha ambao mwili unahitaji

Mwalimu wangu wa kindergarten wakati anatuchezesha baba yangu mdogo alifundishwa na huyo huyo mwalimu
Mungu amuweke pema ila alikula chumvi nyingi
 
Kwahiyo wote hamjui kama chaki ina madini ya chokaa na chokaa hufanya rejuvanation ya cells?

Mwalimu mkuu wa kipindi nipo shule ya msingi, Mwalimu Marandu, nilikutana naye karimjee, yeye kanisahau, nikamuamkia, nikamkumbusha na incident iliyotuweka zaidi ya saa moja. Akanikumbuka.

Mimi nipo chuo mwaka wa tatu yeye yupo chuo mwaka wa Kwanza.
 
Walimu wengi wanakula mbogamboga na chai ya rangi kavu sababu mshahara mdogo. hivyo Hawana mafuta mengi mwilini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu kuwa serious chai ya rangi kavu
 
Back
Top Bottom