pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Nadhani kwa vile wana sehemu ya kumalizia hasira
basi kama ni hivyo, basi hakuna utofauti kwa waalimu.Kuzeeka ni hatua ya mwisho ya mwili,kukua.baada ya mwili hutoa ishara umechoka kufanya kazi.ndipo utaona mvi kichwani,ngozi hujivuta,nk.akili inataka mwili autaki...jua kwisha habari.nazani UMEELEWA.ISLETS
Wanakuwa sawa, yaani mwalimu na mwanafunzi wake utafikiri ni rika mojakwa mfano na wanafunzi wao wakiwa walimu je ..inakuwaje
Kwanza kukubali tu kuwa mwalimu inaonesha kabisa ni mtu wakuridhika na alichonacho stress hapati na akizipata anazipeleka kwa wanafunziHakuna kitu kizuri kama u boss mwalimu ni boss hunyenyekewa na kuheshimiwa na wanafunzi na hufurahia sana hali hiyo.. no stress! That's the reason why they don't age
1.Kwasababu ya kuwa na amani na furaha muda wote wawapo na wanafunzi.Jamani Mimi huwa najiuliza Nini kipo ndani ya ukuaji wa walimu? Nimefatilia walimu hawazeeki nikiwaona walimu wangu wa primary wapo vilevile pia hata wakistaafu hawafi mapema Kama wafanyakazi wengine hivi ni kwanini
Walimu muda wote wanakutana na watu wenye matumaini, ambao hawajakata tamaa.Jamani Mimi huwa najiuliza Nini kipo ndani ya ukuaji wa walimu? Nimefatilia walimu hawazeeki nikiwaona walimu wangu wa primary wapo vilevile pia hata wakistaafu hawafi mapema Kama wafanyakazi wengine hivi ni kwanini
Wanaongea sana kwa siku.Jamani Mimi huwa najiuliza Nini kipo ndani ya ukuaji wa walimu? Nimefatilia walimu hawazeeki nikiwaona walimu wangu wa primary wapo vilevile pia hata wakistaafu hawafi mapema Kama wafanyakazi wengine hivi ni kwanini
Mmmh mbona mafukara wengi wanakula mbogamboga tena wanazeeka mapema?Walimu wengi wanakula mbogamboga na chai ya rangi kavu sababu mshahara mdogo. hivyo Hawana mafuta mengi mwilini
Mwalimu ana uhakika wa kupata mshahara hata kama kidogo kuliko mafukara wengi wanaohangaika bila ya kuwa na uhakika wa keshoMmmh mbona mafukara wengi wanakula mbogamboga tena wanazeeka mapema?