chumanile
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 298
- 335
Habari wakuu JamiiForums?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, tokea nimalize Shule ya Msingi yapata miaka 21 kwa sasa nimekua Kijana haswa.
> Pamoja na kua Kijana nashanga kuwaona Walimu wangu walio nifundisha Kindergarten, Primary, bado wamekua vijana mno.
> Sielewi kwa nini Walimu hawazeheki mapema kuliko Wanafunzi wanao wafundisha?
Kuna siri gani Walimu wanayoitumia mpaka kuwa na miili isiyo choka?