Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

Uzur wa Data uwa hazijifichi. Yaan mtu anaeoa wake mpaka wa nne azidiwe na mweye ka mke kamoja Tena anaetumia uzazi wa mpango. Sikilizia baada ya Miaka 20 kitakachotokea Ulaya.

Ingekuwa wakristo ni wengi Basi Dr Slaa angeshinda urais mwaka 2010
By 2018 kwa sensa inayofanywa na makanisa yenyewe ili kujua waumini wao ni wangapi na ni very easy kujua.

Wakatoliki na Walutheri walikuwa zaidi ya 20 million na Mbatia alisema hili hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzur wa Data uwa hazijifichi. Yaan mtu anaeoa wake mpaka wa nne azidiwe na mweye ka mke kamoja Tena anaetumia uzazi wa mpango.
Ni sawa na mwendawazimu mmoja aseme Belgium ni ndogo mara elfu kumi inawezaje kuizidi uchumi Tanzania? 😝
.
Binti mdogo tu wa miaka 28 anakuwa tayari na watoto watatu hadi wanne na kashaolewa na wanaume si chini ya wanne (ana vyuo vinne).
.
Binti wa Kikristo mwenye umri huo anakuwa shule anapiga kitabu akizaa ni watoto wawili hadi wanne kamaliza.
Sisi wanaume ndio tunakuwa na idadi kubwa ya watoto.
.
Naomba unitajie idadi ya waumini wa msikiti wa Manzese au kokote ukujuapo msikiti mmoja tu nami nitakutajia waumini wa Kanisa wa eneo hilo idadi yao.

Sikilizia baada ya Miaka 20 kitakachotokea Ulaya.
Imani haba tu hiyo, waislamu wengi wa ulaya wanakuwa atheist.
.
Wanakomaa na dini wee, kodi ni kubwa maana wao ni wageni (japo kuna free services wanapata kama maradhi na vyakula) wakristo wao wanapiga tu shule wanavumbua mavitu. (Umewahi kujiuliza kwanini jamii za Kikristo ni zenye akili na uvumbuzi zaidi?)

Haiwezekani ulaya kuwa ya kiislamu kutatokea vita ya kidini kama ile ya Crusaders against Moslems!

1. U.K inaendeshwa kwa misingi ya kanisa la Anglican hadi bunge lina misalaba.
2. Russia inaendeshwa kwa misingi ya Orthodox hadi majengo yao ya serikali Moscow yana misalaba.
3. Norway pia.
4. Spain pia.
5. Germany inaongozwa kwa misingi ya Kilutheri vyama vyenyewe vya siasa ni vya Kikristo.
6. France ndio balaa.

Bahati nzuri sana watu wa huku abroad ikiwemo America they don't care kuhusu dini ya mtu kabisa na hiki ndicho kinawashawishi waislamu wengi kuja.

Unauwezo wa kuongoza unakuwa kiongozi dini yako haiwahusu ukitaka kukosana na watu weupe ni makelele ya adhana na zungumzia Sharia vinginevyo utaishi nao kwa amani sana.

Ingekuwa wakristo ni wengi Basi Dr Slaa angeshinda urais mwaka 2010

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba kiongozi wa Tanzania huwa anachaguliwa kwa kuangalia dini yake? Have some sense wewe
 
Huna ujualo ndugu yangu kuhusu jihadi alizopigana mtume wala waliomfuata baada ya kuondoka.

Mtume na waliomfuata wote walipiga vita vya kujihami..katka historia hakuna mahali inayoonesha uislam uliingia mahali kwa vita.

Uliposema turejee mtume hapo ndo ulipokosea coz vita vyote alivyopigana mtume ni vita vya kujihami baada ya kuvamiwa.

Kama unarejeo tofauti...tafadhali naomba kufahamu.
Historia ni Mwalimu mzuri,Nina Kitabu cha Historia ya Muhammad,ktk kitabu hicho kinaonyesha jinsi huyu jamaa alivyopigana vita vya jihad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHAULA RICH una upungufu mkubwa wa busara. Ona sasa mpka una mtusi mwenzako

binafsi nimependelea saana mjadala na DeWitt J kuliko wewe CHAULA RICH.
Mwenzako kwanza hana ushabiki kama wewe...mwenzako anazungumza anachokifaham kwa kupitia vyanzo kuntu. Ana hoja zinazo sound...

Mwenzangu na mie CHAULA RICH pole saana mijadala ya dini sio saizi yako.
Kudath Omar,Kwasababu nimegusa kwenye kidonda ndio maana unasema kuwa sina busara.Hiyo mimi hainitishi,Sasa kuonyesha kuwa Mimi ni noma nitashusha rungu jingine,ili unione Zero brain.Yaani sijali ,wewe endelea kubwekaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudath Omar,Kwasababu nimegusa kwenye kidonda ndio maana unasema kuwa sina busara.Hiyo mimi hainitishi,Sasa kuonyesha kuwa Mimi ni noma nitashusha rungu jingine,ili unione Zero brain.Yaani sijali ,wewe endelea kubwekaaa

😅😅😅😅😅😅 yaani mwenzako ndo npo mbaaaali kabisa na fikra hizo sijui za vidonda sijui nini...
We kama una rungu shusha tu..mm sio mfia dini kihvyo jamaa hahahaahahaa.
We shusha tu hilo rungu mm yangu yananiendewa wala hainishighulishi, katika vitu ambavyo havinishughulishi ni mtu kuniambia et naidhalilisha dini yako...😅😅😅😅 hii sio dini yangu mzee, mwenye dini yake i.e ALLAH atailinda na kihistoria ipo hvyo.
 
Kudath Omar,Kwasababu nimegusa kwenye kidonda ndio maana unasema kuwa sina busara.Hiyo mimi hainitishi,Sasa kuonyesha kuwa Mimi ni noma nitashusha rungu jingine,ili unione Zero brain.Yaani sijali ,wewe endelea kubwekaa
Sasa embu niambie kidonda ulichokigusa hapo...yaani point gani haswa uliyoigusa inayodhoofisha UISLAM
 
Historia ni Mwalimu mzuri,Nina Kitabu cha Historia ya Muhammad,ktk kitabu hicho kinaonyesha jinsi huyu jamaa alivyopigana vita vya jihad.

Eenhh kinasemaje hicho kitabu..najua kitabu ambacho unacho wewe mie nina vitabu vya historia ya mtume volume kwa volume ndo maana ninachokwambia nakielewa mara mia zaidi yako ooh NO mara 1000
 
Na nilikuwa nawasubiri mlete hicho kisa cha banu quraydhaa 😅😅😅😅 nasubiri pia @DeWitt aanzishe uzi wa hicho kisa...
 
Maweeee!
65% ya Watanzania ni Wakristo. Uko dunia gani wewe?

Waislamu ni rahisi kuwafanyia sensa kuliko unavyofikiri, mna maeneo yenu mmejazana (sitayataja) ukifika hadi unaboeka yani unahisi uko Somalia.

Mwanza inakadiriwa kuwa na watu million 2 na point alafu laki sita ni wakatoliki tu sasa jiulize madhehebu mengine yana wangapi na imani yako ina wangapi
Hizo percentage waislam huzikosea kwa kujilinganisha na katoliki pekee, wanayasahau madhehebu mengine ya kikristo.

Kitimoto inadorora kwasababu huenda kuna waislam wanakamua mkuu wa meza. Ndo maana wakifunga biashara inayumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2014 Jimbo la Kigoma Iina eneo la kilomita za mraba 45 066 kukiwa na idadi ya watu milioni
2, ambao kati yao 515 701 ni Wakatoliki.

Ndugu Shaibu Kigoma kwenye maulamaa kuna wakatoliki laki tano je Lutheran, Anglican, AICT na makanisa ya ki-pentecostal?
Huwa wanahesabu katoliki peke yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2014 Jimbo la Kigoma Iina eneo la kilomita za mraba 45 066 kukiwa na idadi ya watu milioni
2, ambao kati yao 515 701 ni Wakatoliki.

Ndugu Shaibu Kigoma kwenye maulamaa kuna wakatoliki laki tano je Lutheran, Anglican, AICT na makanisa ya ki-pentecostal?
Ungefanya sensa ya watu wote sasa tungekuelewa
 
By 2018 kwa sensa inayofanywa na makanisa yenyewe ili kujua waumini wao ni wangapi na ni very easy kujua.

Wakatoliki na Walutheri walikuwa zaidi ya 20 million na Mbatia alisema hili hadharani.
Wingi wenu uko wapi sasa ?
 
Back
Top Bottom