Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 969
Za leo,
Nimechunguza kwa undani na kwa makini katika swala la ndoa. Kwanini wajane ni wengi sana wanaume hutangulia kufa tatizo huwa mawazo mengi ya kulea familia au kutarajiana katika ndoa, au umri umeenda na anaona kashakuwa mtu mzima na hajajiwekezea, hesabu za haraka haraka katika ukoo wetu naowafahamu wapo wajane kama 28.
Ila naomba kujibiwa mwanamke akifiwa na mumewe huitwa mjane je, Mwanaume akifiwa na mkewe huitwa nani?