KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

Basi tukubali hali halisi kwamba wingi wa vyanzo unaweza kutusaidia kuelewa simulizi za kihistoria, lakini hauwezi kubadilisha asili ya simulizi hizo kuwa ni dini ya kweli.

Ukristo, Uislamu au dini yoyote zote zimeandikwa kwa kalamu ya mwanadamu, zikiwa na mapungufu na utata kwa muktadha wake.

Kama zingetoka kwa Mungu wa ukweli, mjuzi wa yote asiyekosea zisingekuwa na utata, mabishano na makosa ya kihistoria hata leo.
Nakubali kuwa wingi wa vyanzo vya historia huru haiwezi kubadilisha asili ya simulizi au kufanya jambo fulani kuwa la kweli au dini kuwa ndiyo ya kweli lakini hata mahakamani kuwa na mashahidi wengi na vithibitisho vingi kunaupa ushahidi wako uzito na mashiko zaidi kuliko kuwa na mashahidi wachache na vidhibiti vichache. sio guarantee kwama utashinda kesi lakini kesi nyingi huwa ushindi unapatikana kwa namna hiyo.
 
View attachment 3394441View attachment 3394442

Kuna UPOTOSHAJI au naweza kusema ni kukosa Elimu pia kukaririshwa na kumezeshwa uongo , kuwa "Quds ni sawa na Yerusalemu"

Huu uongo umekuwa ukirudiwa mara nyingi, lakini kwa mujibu wa historia, maandiko ya dini na vyanzo vya lugha, kauli hii inahitaji kupitiwa kwa umakini zaidi.

Nilipokuwa muislamu nilipenda sana kutafiti historia ,AKIOLOJIA na kusoma vitabu vingi, nilianza kugundua Uislamu umejitungia na kuzusha vitu vingi, nikagunduan uislamu uliamua kujitengenezea historia yake yenyewe kwa kupingana na historia iliyoikuta .Hapo nilizidi kutafiti zaidi ...

Leo tutachambua kwa undani tofauti kati ya "Quds" na Yerusalemu, kwa kutumia ushahidi wa kihistoria, maandiko ya dini, tafsiri za lugha, na nukuu kutoka kwa wataalamu na vyanzo vya kale.

Yerusalemu (Jerusalem) Katika Biblia na Historia ya Wayahudi


Yerusalemu ni jiji takatifu la kale lililotajwa mara nyingi sana katika Agano la Kale na Agano Jipya la Biblia. Ni jiji ambalo lilipewa kipaumbele cha kipekee na Mungu kwa taifa la Israeli.


Zaburi 132:13-14
"Kwa maana Bwana ameitakasa Sayuni, ameichagua awe kao lake. Hapa ndipo nitakapo kaa milele, maana nimeichagua."


1 Wafalme 11:36
"Na kwa mwanawe nitampa kabila moja, ili Daudi mtumishi wangu awe na taa daima mbele za uso wangu huko Yerusalemu, mji niliouchagua ili niweke jina langu hapo."


Katika historia, Yerusalemu ni mji uliojengwa na Mfalme Daudi na ukawa makao ya Hekalu la kwanza na la pili, ambao ulikuwa kitovu cha ibada kwa Wayahudi.


Asili ya Neno "Quds" – Tafsiri ya Kiarabu si Jina la Kale


Neno "Al-Quds" kwa Kiarabu linamaanisha “utakatifu” au “mji mtakatifu”. Hili si jina la awali la Yerusalemu, bali ni jina lililoanza kutumika baada ya Uislamu kuenea karne ya 7 A.D., hasa baada ya Waarabu kuuteka mji huo kutoka kwa Bizanti.

Prof. Moshe Sharon, mtaalamu wa historia ya Kiislamu kutoka Chuo Kikuu cha Hebrew, alisema:




Hii ina maana kuwa jina la awali la mji huo hata kwa Waarabu lilikuwa Iliya, si Quds. "Al-Quds" ni jina la baadaye la kisiasa na kidini lililopewa maana ya kiroho, si kihistoria.

Qur’an Haitaji Neno “Quds” Wala Yerusalemu Kwa Jina


Kitu cha kushangaza ni kwamba Qur’an haijawahi kutaja Yerusalemu kwa jina – wala “Quds” wala “Jerusalem”. Hili linaibua maswali makubwa kuhusu msingi wa madai ya kuwa "Quds" ni sehemu ya msingi wa imani ya Kiislamu.

Surah Al-Isra 17:1 inasema

"Subhana al-ladhi asra bi'abdihi laylan mina al-Masjid al-Haram ila al-Masjid al-Aqsa..."
(“Ametakasika Yule aliyemchukua mtumishi wake usiku kutoka Msikiti Mtakatifu [Mecca] hadi Msikiti wa Mbali...”)


Hapa haijatamkwa Yerusalemu.

Neno "Msikiti wa Mbali (Al-Aqsa)" halimaanishi Yerusalemu moja kwa moja. Tafsiri hiyo ilikuja baadaye kwa mujibu wa tafsiri ya wanazuoni wa Kiislamu, lakini haipo moja kwa moja katika Qur’an.,Unaanza kuona sasa kuwa Kuna utapeli mkubwa sana kwenye uislamu


Yerusalemu Ilikuwa Tayari ni Mji wa Kiyahudi Karne Nyingi Kabla ya Uislamu


Mji wa Yerusalemu ulikuwa tayari umejengwa, umeabudiwa na kuenziwa na Wayahudi maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa Uislamu.


Historia ya Wayahudi:

  • Mwaka wa 1000 kabla ya Kristo (B.C), Mfalme Daudi aliteka Yerusalemu na kuufanya mji wa kifalme (2 Samweli 5:6-7).
  • Mwanawe Sulemani alijenga Hekalu kuu (1 Wafalme 6).
  • Yerusalemu ukabomolewa na Wababiloni (586 B.C) na kujengwa tena na Ezra na Nehemia.

Hii inaonesha kuwa Yerusalemu ilikuwa tayari na utambulisho wake wa Ki-Yahudi karne nyingi kabla ya jina la "Quds" kuibuka.


"Quds" ni Tafsiri ya Kiroho, Siyo Jina Halisi la Jiji


Katika maandiko ya Kiislamu ya baadaye, neno “Al-Quds” linatumika kama mji mtakatifu, lakini si jina la kale la kijiografia. Ni tafsiri ya maana (sanctity), si jina lenye historia halisi ya mji.

Jina la kweli la kihistoria la mji huo katika

  • Kiebrania: Yerushalayim (ירושלים)
  • Kigiriki na Kirumi: Hierosolyma / Aelia Capitolina
  • Biblia: Yerusalemu
  • Kiarabu cha kale kabla ya Uislamu: Iliya

Mwisho nikagundua kuwa Yerusalemu sio Quds,ila Waislamu walifanya UPOTOSHAJI ili wajinasibishe na Wayahudi,kumbuka yote unayoyaona waislamu wakisema kuhusu manabii wa kiyahudi na kujinasibisha nayo ni uongo ,mfano Muhammad ni uzao wa Ishamael ni uongo ,hii ni mada nimewahi kuileta humu...


Kwahiyo

✔️ Yerusalemu ni mji wa kihistoria, wa Biblia, wa Wayahudi na Wakristo, wenye utambulisho wake tangu kale.
✔️ Quds ni jina la Kiarabu lililoibuka karne nyingi baadaye tafsiri ya “mji mtakatifu”, sio jina halisi la kale.
✔️ Qur’an haijawahi kulitaja jina la Yerusalemu.
✔️ Historia, lugha, na maandiko yote yanathibitisha kuwa "Quds" si sawa na Yerusalemu, bali ni tafsiri ya kiimani iliyopachikwa baadaye.


Kwa hiyo, ukiona waislamu wanasema “Quds” ni Yerusalemu, wanapotosha historia na kuchanganya maana ya kiroho na ukweli wa kijiografia.

Kama kweli tunataka kuheshimu ukweli wa historia, lazima tukubali kuwa Yerusalemu ni mji wa Biblia na Wayahudi, na Quds ni tafsiri ya kiroho ya baadaye ndani ya Uislamu.


Ukitaka kuujua uislamu ulivyo ,uweke kwenye historia iliyoikuta.

Sheikh wangu upo vizuri sana katika kutoa Ilimu hii adimu.
 
Swali la kijinga sana hata mtoto mdogo anajua kuwa wakristo na waislamu ni wavamizi kwa mji wa Yerusalemu. Ottoman empire ilikuwa inafanya ethnic clearance na ndo maana utakuta demographically idadi ya wakristu Yerusalemu ni ndogo but all in all wenye mji wao ni wayahudi
Nimeuliza waisraeli Waislamu na wapalestina wakristo,

Ngoja nikuulize kama la kwanza b wamachame Waislamu na wamachame wakristo wapi wana asili ya machame?
 
Nipe tofauti ya waisraeli na wayahudi

Je unafahamu wapo waisraeli waislam ndani ya jeshi la Israel?

Kwa nini kichwa cha mada yako kiseme waislam wanaitaka jerusalem angali wapo waisraeli waislam wanasema pia jerusalem ni mji wao na wayahudi hawapingi hilo?

Hivi unasoma kwa kina kweli au unakurupuka tu kujibu🤔
Huna hoja!
 
Jibu ni simple tu

Jerusalem ni mji mtakatifu wa Wayahudi tangu zamani
Kwa hiyo waisraeli waislam wao hawana haki ndani ya Yerusalemu?

Je wama waislam na wamachame wakristo wapi asili yao ni machame?
 
Nimeuliza waisraeli Waislamu na wapalestina wakristo,

Ngoja nikuulize kama la kwanza b wamachame Waislamu na wamachame wakristo wapi wana asili ya machame?
Ushaambiwa kuwa waislam na wakristo wote ni wavamizi pale.
 
Ushaambiwa kuwa waislam na wakristo wote ni wavamizi pale.
Waisraeli waislam wamevamia kutokea wapi? Na Waisraeli wakristo wamevamia kutokea wapi ? Hivi unajisikiliza kweli?
 
Ukristo, Uislamu au dini yoyote zote zimeandikwa kwa kalamu ya mwanadamu, zikiwa na mapungufu na utata kwa muktadha wake.

Kama zingetoka kwa Mungu wa ukweli, mjuzi wa yote asiyekosea zisingekuwa na utata, mabishano na makosa ya kihistoria hata leo.
Ukristo unakubali kwamba maandiko yake(Biblia) yaliandikwa na wanadamu tu ila "waliongozwa" na roho mtakatifu, Wakristo wengine wanaamini kwamba hata kuna baadhi ya watu walijaribu kupotosha na kuingiza idea zao katika maandiko original, Kwa upande mwingine wa Waislamu mimi mpaka leo sijui wanasimamia wapi kuhusu kitabu chao cha Quran, kwamba kilishushwa kama kilivyo au mtume alikuwa anahadithia watu wakaandika kitabu chote kizima au maswahaba walihifadhi hadithi za mtume wakaandika alipoondoka, kinacholeta mjadala zaidi ni huko kusema hicho kitabu hakijawahi kupata mabadiliko yoyote kabisa kwa karne zote na miaka yote!
 
Hakuna jibu la moja kwa moja la nani yupo sahihi, kwani Yerusalemu ni mji mtakatifu kwa dini zote tatu—Uislamu, Uyahudi na Ukristo. Waisraeli Waislamu, Wapalestina Wakristo, na Wayahudi wote wana uhusiano wa kihistoria na wa kiroho na mji huo. Mzozo si wa imani tu bali pia wa kisiasa, hivyo kila upande una madai ya msingi kwa mtazamo wao.
Ikawaje kichwa cha mada kikawa hivyo na kwanini ulidai mtoa mada yupo shaihi kwa hiko kichwa?
 
MAISLAM MAONGO👐
Hii safari inanufanya niamini pepo ya Allah ipo juu ya anga la Yerusalem. Mtu atoke Kote huko Madina sijui Makkah hadi Yerusalem ile aende kuonana na Allah? Kwani hakuweza kuonana naye juu ya anga la Madina au Makkah?

Sielewi kabisa haya mambo
Hii comments yako imeniongezea kitu cha ziada sana.

Mfn; space shuttle program ya Marekani uchagua maeneo kama Cape Canaveral, Florida et cku- lunch space zao kwasababu ya significant advantage due to the Earth's rotation,Kuna good weather etc.
so, wanatafuta maeneo favorable ili kufanikisha safari zao

Sasa, ilikuaje Muhammad nae aitaji vitu kama hivi ili kufanikiwha safari yake illhali alikuwa anasafiri spiritually!.

Hii inatofauti gani na ile Muvi ya kibongo; mzimu unaangalia magari kabla ya kuvuka barabara!.

Muhammad Umetupiga.
 
Nakubali kuwa wingi wa vyanzo vya historia huru haiwezi kubadilisha asili ya simulizi au kufanya jambo fulani kuwa la kweli au dini kuwa ndiyo ya kweli lakini hata mahakamani kuwa na mashahidi wengi na vithibitisho vingi kunaupa ushahidi wako uzito na mashiko zaidi kuliko kuwa na mashahidi wachache na vidhibiti vichache. sio guarantee kwama utashinda kesi lakini kesi nyingi huwa ushindi unapatikana kwa namna hiyo.
Mkuu mi naona unataka twende kwenye sheria - I can switch anyway.

Evidence Act, Section 143
- "No particular number of witnesses shall in any case be required for the proof of any fact.”

Kwa kiswahili ni kwamba - Hakuna idadi maalum ya mashahidi itakayohitajika kuthibitisha jambo lolote.

Mahakama haishindwi wala kushinda kesi kwa kuangalia tu wingi wa mashahidi.

Kinachotazamwa ni uzito na ubora wa ushahidi uliotolewa, si idadi ya waliosema.
Ingekua hivyo Lissu angeshanyongwa kwa sababu hana mashahidi wengi kupita upande wa Jamhuri.

Labda utatukumbusha ni kesi ipi hiyo ambayo wingi wa mashahidi wengi walitumika kama kigezo cha hukumu na siyo proof of fact?
 
Hakuna jibu la moja kwa moja la nani yupo sahihi, kwani Yerusalemu ni mji mtakatifu kwa dini zote tatu—Uislamu, Uyahudi na Ukristo. Waisraeli Waislamu, Wapalestina Wakristo, na Wayahudi wote wana uhusiano wa kihistoria na wa kiroho na mji huo. Mzozo si wa imani tu bali pia wa kisiasa, hivyo kila upande una madai ya msingi kwa mtazamo wao.
Waislamu hawakuwa na hawana haki ya kihistoria na huo mji, Wakristo pia hawana haki ya kihistoria na Yerusalem. Makundi yote haya mawili haki zao na huo mji ni za kiroho tu, Wayahudi ndio wenye haki za kihistoria na Yerusalem.
 
Waislamu hawakuwa na hawana haki ya kihistoria na huo mji, Wakristo pia hawana haki ya kihistoria na Yerusalem. Makundi yote haya mawili haki zao na huo mji ni za kiroho tu, Wayahudi ndio wenye haki za kihistoria na Yerusalem.
Je wayahudi wakristo na wayahudi waislam je ?
 
Back
Top Bottom