min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,242
- 167,381
Tujadili tu tujifunze piaJamaa ni empty head, ni kupoteza muda kubishana nae.
Tujadili tu tujifunze piaJamaa ni empty head, ni kupoteza muda kubishana nae.
Kichwa cha panzi.Uislamu kwanza ni dini ya juzi imekuja watu wanaiona ,imekuja imekuta Kuna historia ,vitabu ,n.k
Leo hii hakuna ushahidi hata wakuokoteza unaoonesha paliwahi kuwepo dini au Iman ya Uislamu
Dini nyingine za kale historia zao zipo
Iweje hii Islam dini ya juzi tu hapa ikose historia ya ukweli kama kweli ilikuwepo?
Unatangaza tu una maji ya upako au mafuta ya kukanyaga wanakuja wenyewe.Walokole ukitaka kuwagaia maji ya upako unawapataje?
Hitla aliua wayahudi kabila yani wale wenye vina saba iwe ni wakristo ama wayahudi wa dini au wasio amini mpaka watawa ila wayahudi wa kidini tu hakuwaua.Unatangaza tu una maji ya upako au mafuta ya kukanyaga wanakuja wenyewe.
Maalim Yoda.
View attachment 3394441View attachment 3394442
Kuna UPOTOSHAJI au naweza kusema ni kukosa Elimu pia kukaririshwa na kumezeshwa uongo , kuwa "Quds ni sawa na Yerusalemu"
Huu uongo umekuwa ukirudiwa mara nyingi, lakini kwa mujibu wa historia, maandiko ya dini na vyanzo vya lugha, kauli hii inahitaji kupitiwa kwa umakini zaidi.
Nilipokuwa muislamu nilipenda sana kutafiti historia ,AKIOLOJIA na kusoma vitabu vingi, nilianza kugundua Uislamu umejitungia na kuzusha vitu vingi, nikagunduan uislamu uliamua kujitengenezea historia yake yenyewe kwa kupingana na historia iliyoikuta .Hapo nilizidi kutafiti zaidi ...
Leo tutachambua kwa undani tofauti kati ya "Quds" na Yerusalemu, kwa kutumia ushahidi wa kihistoria, maandiko ya dini, tafsiri za lugha, na nukuu kutoka kwa wataalamu na vyanzo vya kale.
Yerusalemu (Jerusalem) Katika Biblia na Historia ya Wayahudi
Yerusalemu ni jiji takatifu la kale lililotajwa mara nyingi sana katika Agano la Kale na Agano Jipya la Biblia. Ni jiji ambalo lilipewa kipaumbele cha kipekee na Mungu kwa taifa la Israeli.
Zaburi 132:13-14
"Kwa maana Bwana ameitakasa Sayuni, ameichagua awe kao lake. Hapa ndipo nitakapo kaa milele, maana nimeichagua."
1 Wafalme 11:36
"Na kwa mwanawe nitampa kabila moja, ili Daudi mtumishi wangu awe na taa daima mbele za uso wangu huko Yerusalemu, mji niliouchagua ili niweke jina langu hapo."
Katika historia, Yerusalemu ni mji uliojengwa na Mfalme Daudi na ukawa makao ya Hekalu la kwanza na la pili, ambao ulikuwa kitovu cha ibada kwa Wayahudi.
Asili ya Neno "Quds" – Tafsiri ya Kiarabu si Jina la Kale
Neno "Al-Quds" kwa Kiarabu linamaanisha “utakatifu” au “mji mtakatifu”. Hili si jina la awali la Yerusalemu, bali ni jina lililoanza kutumika baada ya Uislamu kuenea karne ya 7 A.D., hasa baada ya Waarabu kuuteka mji huo kutoka kwa Bizanti.
Prof. Moshe Sharon, mtaalamu wa historia ya Kiislamu kutoka Chuo Kikuu cha Hebrew, alisema:
Hii ina maana kuwa jina la awali la mji huo hata kwa Waarabu lilikuwa Iliya, si Quds. "Al-Quds" ni jina la baadaye la kisiasa na kidini lililopewa maana ya kiroho, si kihistoria.
Qur’an Haitaji Neno “Quds” Wala Yerusalemu Kwa Jina
Kitu cha kushangaza ni kwamba Qur’an haijawahi kutaja Yerusalemu kwa jina – wala “Quds” wala “Jerusalem”. Hili linaibua maswali makubwa kuhusu msingi wa madai ya kuwa "Quds" ni sehemu ya msingi wa imani ya Kiislamu.
Surah Al-Isra 17:1 inasema
"Subhana al-ladhi asra bi'abdihi laylan mina al-Masjid al-Haram ila al-Masjid al-Aqsa..."
(“Ametakasika Yule aliyemchukua mtumishi wake usiku kutoka Msikiti Mtakatifu [Mecca] hadi Msikiti wa Mbali...”)
Hapa haijatamkwa Yerusalemu.
Neno "Msikiti wa Mbali (Al-Aqsa)" halimaanishi Yerusalemu moja kwa moja. Tafsiri hiyo ilikuja baadaye kwa mujibu wa tafsiri ya wanazuoni wa Kiislamu, lakini haipo moja kwa moja katika Qur’an.,Unaanza kuona sasa kuwa Kuna utapeli mkubwa sana kwenye uislamu
Yerusalemu Ilikuwa Tayari ni Mji wa Kiyahudi Karne Nyingi Kabla ya Uislamu
Mji wa Yerusalemu ulikuwa tayari umejengwa, umeabudiwa na kuenziwa na Wayahudi maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa Uislamu.
Historia ya Wayahudi:
- Mwaka wa 1000 kabla ya Kristo (B.C), Mfalme Daudi aliteka Yerusalemu na kuufanya mji wa kifalme (2 Samweli 5:6-7).
- Mwanawe Sulemani alijenga Hekalu kuu (1 Wafalme 6).
- Yerusalemu ukabomolewa na Wababiloni (586 B.C) na kujengwa tena na Ezra na Nehemia.
Hii inaonesha kuwa Yerusalemu ilikuwa tayari na utambulisho wake wa Ki-Yahudi karne nyingi kabla ya jina la "Quds" kuibuka.
"Quds" ni Tafsiri ya Kiroho, Siyo Jina Halisi la Jiji
Katika maandiko ya Kiislamu ya baadaye, neno “Al-Quds” linatumika kama mji mtakatifu, lakini si jina la kale la kijiografia. Ni tafsiri ya maana (sanctity), si jina lenye historia halisi ya mji.
Jina la kweli la kihistoria la mji huo katika
- Kiebrania: Yerushalayim (ירושלים)
- Kigiriki na Kirumi: Hierosolyma / Aelia Capitolina
- Biblia: Yerusalemu
- Kiarabu cha kale kabla ya Uislamu: Iliya
Mwisho nikagundua kuwa Yerusalemu sio Quds,ila Waislamu walifanya UPOTOSHAJI ili wajinasibishe na Wayahudi,kumbuka yote unayoyaona waislamu wakisema kuhusu manabii wa kiyahudi na kujinasibisha nayo ni uongo ,mfano Muhammad ni uzao wa Ishamael ni uongo ,hii ni mada nimewahi kuileta humu...
Kwahiyo
✔️ Yerusalemu ni mji wa kihistoria, wa Biblia, wa Wayahudi na Wakristo, wenye utambulisho wake tangu kale.
✔️ Quds ni jina la Kiarabu lililoibuka karne nyingi baadaye tafsiri ya “mji mtakatifu”, sio jina halisi la kale.
✔️ Qur’an haijawahi kulitaja jina la Yerusalemu.
✔️ Historia, lugha, na maandiko yote yanathibitisha kuwa "Quds" si sawa na Yerusalemu, bali ni tafsiri ya kiimani iliyopachikwa baadaye.
Kwa hiyo, ukiona waislamu wanasema “Quds” ni Yerusalemu, wanapotosha historia na kuchanganya maana ya kiroho na ukweli wa kijiografia.
Kama kweli tunataka kuheshimu ukweli wa historia, lazima tukubali kuwa Yerusalemu ni mji wa Biblia na Wayahudi, na Quds ni tafsiri ya kiroho ya baadaye ndani ya Uislamu.
Ukitaka kuujua uislamu ulivyo ,uweke kwenye historia iliyoikuta.
Ndio maana tunasisitiza waislamu tafuteni elimu ona sasa unavyodanganya mbele ya halaikiQuran 17:1
SUBHANA, Ametakasika aliye mchukua mja wake usiku mmoja kutoka Msikiti Mtukufu mpaka Msikiti wa Mbali, ambao tumevibariki vilivyo uzunguka, ili tumuonyeshe baadhi ya Ishara zetu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia na Mwenye kuona.
Andiko linasema
Mtume alipelekwa huko Kwa lengo la kuonyeshwa baadhi ya Ishara za Allah
Ishara zenyewe ni
Msikiti uliyojengwa na nabii Ibrahim
Hapo Kuna kaburi la nabii Ibrahim, Isaka na Yakobo na Sara
Quran hawezi kutaja jina Jerusalem Kwa sababu wakati Ibrahim ananunu hilo eneo lilikuwa haliitwi Jerusalem
Wewe unapolizungumzia hilo eneo utaanzia Kwa Yesu Kwa sababu hapo ndio mlipoanza kipotezwa hivyo lazima utaje Jerusalem
Lakini uislam ukilizungumzia hilo eneo unaanzia Kwa Ibrahim wakati wa Ibrahim hakukuwa na jina Jerusalem
Muislam akisema huo mji ni wa waislam hana maana kuwa Kwa sababu wanaishi wa Palestine ila maana yake ni kwamba
Hilo ni eneo takatifu ambalo Allah alimuamuru Nabii Ibrahim akajenge makao ya bwana hapo na Ibrahim alikuwa Muislam
Na ndio maana wakati Mtume Muhammad anaambiwa afanye ibada ya kumsujudia Mungu aliambiwa aelekee huko Baadae ndio akaambiwa aelekee Maka
Msikiti wa Al Aqusa ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Isaka
Msikiti wa Maka ulijengwa na nabii Ibrahim akiwa na mwanawe Ishmael
Sasa wewe unarukia rukia tu mambo ambayo hata hayakuhusu
Tukirudi kuhusu wakazi
Kwanza tambua Ibrahim sio mzaliwa wa hapo Yeye ni muhamiaji na ndio maana alinunu kipande Cha aridhi Kwa ajili ya kumzika mkewe na kujenga huo msikiti
JE aliuziwa na akina nani?
Wakati Mungu anawambia waisrael ingieni katika mji huu mkaishi humo wao wakasema hatuwezi kuingia Kwa sababu Kuna watu huko
JE hao watu ni akina nani?
Kuna sehemu nimeona hapo unakubali kuwa Philistine walikuwepo kitambo sana na Gaza ndio kwao
Ila Baada ukasema hao Philistine sio wapalestine wakati ndio hao hao ishu ni kuwa hao Waroma walishindwa kulitamka hilo jina ndio wakawaita Palestine
Pia ukae ukijua Yahudi ni kabila Moja tu katika makabila 12 ya Israel
Pia ukae ukijua Isaka alikuwa na watoto wawili Yakobo na Esau
Waisrael ni watoto wa Yakobo
JE watoto wa Esau wapo wapi?
Mnalishwa matango poli kuwa uzao wa Esau uliisha kisa tu waliukataa ukristo na kukubali uislam
Nahitimisha kama ifuatavyo
Wapalestine ndio uzao wa Esau wanafanana sana na kuongea kiarabu Kwa sababu Esau alioa mtoto Binti kutoka uzao wa babayeke mkubwa ambaye ni Ishmael
Nyinyi wagalatia mmesha zoea kudanganywa na mtadanganywa Hadi mnaingia kaburini
kwa unyenyekevu Mkubwa sana naomba kukupuuza naona wewe ni mnazi wa diniWaisraeli waislam wamevamia kutokea wapi? Na Waisraeli wakristo wamevamia kutokea wapi ? Hivi unajisikiliza kweli?
Sina dini yoyote wala siamini mambo ya Mungu.kwa unyenyekevu Mkubwa sana naomba kukupuuza naona wewe ni mnazi wa dini
huyu jamaa bhana!Kwa hiyo waisraeli waislam wao hawana haki ndani ya Yerusalemu?
Je wama waislam na wamachame wakristo wapi asili yao ni machame?
Wafia dini hawataki kutoka nje ya boxTujadili tu tujifunze pia
Sasa kaka iv uoni kma uwo ni muujiza mkubwa na ushahid tosha kwamba uislam sio dini ya kutungwa kma hizo nyingine maana hizo nyingine zimetungwa na watu mpaka kuna hiyo manuscript zakeWafia dini hawataki kutoka nje ya box
Muislamu yeyote akiuweka uislamu kwenye historia atakuta madudu mengi sana
Sababu uislamu ni dini ya juzi imekuja watu wanaiona ,imekuja tayari Dunia imeendelea sana ,Kuna historia,vitabu , AKIOLOJIA inayovumbuliwa inazidi kuuweka uchi uislamu
How comes , uislamu unakosa manuscript zake ,ili Hali dini kama Buddhism,shindi , taoism Zina manuscript zake na zipo kabla hata ya Ukristo na Uyahudi
Hongera kwa kumvua nguo huyu muongoWapo waislam wa Israel na wapo waislam wapalestina , wapo wayahudi wa Israel na wapo wazayuni wakiyahudi na kikistro kwa uchache na wote wapo jerusalem .
Wapalestina wakiislamu na kikristo wanataka jerusalem mashariki ambapo ndipo asili yao. Na sio waisraeli waislam.
Kipi kiarabu hapo?
Umeenda shule kweli mkuu? Unaweza ukatidhibitishia hilo kutoka kwenye historia?Iv mkuu unaposikia hekalu la Nabii Suleiman unaelewa nini!? Hilo hekalu lilijengwa na Nabii Suleiman hapo Jerusalem upande wanahabudu wayahud na upande wanahabudu waislam hilo hekalu moja
Ukisikia mtu kasema masjd alasqa ndiio hilo hekalu mkuu lipo hapo Jerusalem wayahud wanasema lao na waislam wanasema lao tangu enzi na enzi hata yesu aliswali hapo
Nb hakuna mkristo anagusa
Inaonesha jinsi huna elimu ndugu, hujui hata manuscript ni nini ?Sasa kaka iv uoni kma uwo ni muujiza mkubwa na ushahid tosha kwamba uislam sio dini ya kutungwa kma hizo nyingine maana hizo nyingine zimetungwa na watu mpaka kuna hiyo manuscript zake
Lakin mpaka watafit wameshindwa kujua Qur'an iliandikwaje maana hakuna kosa mulee
Usipotoka nje ya box huwezi ona kosa mkuu.Wala hatukushangai!Sasa kaka iv uoni kma uwo ni muujiza mkubwa na ushahid tosha kwamba uislam sio dini ya kutungwa kma hizo nyingine maana hizo nyingine zimetungwa na watu mpaka kuna hiyo manuscript zake
Lakin mpaka watafit wameshindwa kujua Qur'an iliandikwaje maana hakuna kosa mulee