KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

Usichojua sio wayahudi wote hawamuani Yesu, maana hata Kuna wakristo pia hawamuamini Yesu ,hii ni hoja dhaifu
Wayahudi wote yesu sio mungu wala sio nabii ila Waisraeli waislam wanamwamini yesu kama nabii na Waisraeli wakristo kama mwana wa mungu.

Na wapalestina Waislamu wana amini yesu ni nabii

Na wapalestina wakristo wana amini ni mwana wa mungu.
 
Kuna kitu hukijui ,na nadhani unachanganya

Wayahudi si taifa linalotegemea rangi, lugha au kabila, bali ni watu wa agano la Mungu kupitia uzao wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Wapo Wayahudi waliokulia katika nchi za Kiarabu kama Iraq, Yemen au Morocco –wanaitwa Arab Jews au Mizrahi, lakini hilo haliwafanyi wao kuwa Waarabu wa asili.

Ni sawa na Mzungu anayeishi Zanzibar na kuzungumza Kiswahili hiyo haimfanyi kuwa Mswahili kinasaba.

Wayahudi hawa walikimbia nchi za Kiarabu baada ya mateso makubwa mwaka 1948 na leo wanaishi Israel.

Hivyo basi, hoja ya kusema "kuna Wayahudi Waarabu" haina nguvu ya kuondoa ukweli kwamba Jerusalem ni ya kihistoria na kiimani kwa Wayahudi, kabla hata Uislamu haujakuwepo.
Asknenazi ni Wayahudi wa ulaya walikuja , kabla yao lile eneo Wayahudi walikuwepo maelfu ya miaka , kajifunze tena
 
Usichojua sio wayahudi wote hawamuani Yesu, maana hata Kuna wakristo pia hawamuamini Yesu ,hii ni hoja dhaifu

Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?

2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?

4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
Usinipe hadithi za biblia , Wayahudi wapo wanafikika unaweza piga nao stories tu wakakupa historia yao.
 
Wayahudi wote yesu sio mungu wala sio nabii ila Waisraeli waislam wanamwamini yesu kama nabii na Waisraeli wakristo kama mwana wa mungu.

Na wapalestina Waislamu wana amini yesu ni nabii

Na wapalestina wakristo wana amini ni mwana wa mungu.
Acha uongo ndugu ,Wayahudi wote ,hii kauli ni uzushi

Kwanza Mitume ,manabii wote walikuwa wayahudi

Leo pale Israel,hata kule MAREKANI Kuna wayahudi wengi tu wanamuamini Yesu ,

Unawajua Messianic Jews?

Halafu Waislamu hawamuamini Yesu, wanamuamini Issa

Profile ya Yesu ni tofauti na ya Issa ,

Issa hakufa na kufufuka ,unawezaje kusema ndiye Yesu
 
Usinipe hadithi za biblia , Wayahudi wapo wanafikika unaweza piga nao stories tu wakakupa historia yao.
Lazima nikupige kote ,unapoleta story za Islam unadai wanamuamini Yesu,

Mimi nakupiga na biblia unakataa unanichagulia silaha?

Wayahudi wapo ,nakuuliza unawajua Messianic Jews?

Mitume wa Yesu na wengi waliopokea injili na hata manabii walikuwa wayahudi wote hao walimuamini Yesu

Ndio maana nimekupa hii Aya ,

Warumi 3
1 Basi Myahudi ana ziada gani? Na kutahiriwa kwafaa nini?

2 Kwafaa sana kwa kila njia. Kwanza kwa kuwa wamekabidhiwa mausia ya Mungu.

3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi yao hawakuamini? Je! Kutokuamini kwao kutaubatili uaminifu wa Mungu?

4 Hasha! Mungu aonekane kuwa amini na kila mtu mwongo; kama ilivyoandikwa, Ili ujulike kuwa una haki katika maneno yako, Ukashinde uingiapo katika hukumu.
 
Acha uongo ndugu ,Wayahudi wote ,hii kauli ni uzushi

Kwanza Mitume ,manabii wote walikuwa wayahudi

Leo pale Israel,hata kule MAREKANI Kuna wayahudi wengi tu wanamuamini Yesu ,

Unawajua Messianic Jews?

Halafu Waislamu hawamuamini Yesu, wanamuamini Issa

Profile ya Yesu ni tofauti na ya Issa ,

Issa hakufa na kufufuka ,unawezaje kusema ndiye Yesu
Wewe kumbe hata biblia yako haujui naomba niishie hapa kasome tena ukimudi ni tag
 
Asknenazi ni Wayahudi wa ulaya walikuja , kabla yao lile eneo Wayahudi walikuwepo maelfu ya miaka , kajifunze tena
Hujui historia ya wayahudi na nasaba zao,
Kabla ya Ashkenazi, Wayahudi (hasa wa ukoo wa Kikoheni na Walawi) walikuwepo katika ardhi ya Israel kwa maelfu ya miaka tangu nyakati za Biblia. Walikuwapo katika Yerusalemu, Hebron, Bethlehemu, n.k., kabla ya ukoloni wa Kirumi kuwatawanya (diaspora) karne ya 1 BK.

Kuhusu Mizrahi au Sephardic Jews waliotoka Arabuni, hawa waliendelea kubeba utambulisho wa Kiyahudi licha ya kuishi nje ya Israel kwa muda mrefu. Kurudi kwa Wayahudi wote Ashkenazi, Mizrahi, Sephardic ni urejesho wa taifa lao la kale, si uvamizi.

Kwa hiyo kusema "Ashkenazi walikuja" haina maana ya kwamba Wayahudi hawakuwa na haki ya kihistoria kwa ardhi hiyo walikuwa na bado wanao.

Jifunze historia ya Second Temple, Herod's Temple, na Masada uone kuwa madai yao hayakuanza na Ulaya bali yana mizizi ya kale kabisa.
 
Ile ni ya mtu yeyote aliyezaliwa katika nchi hiyo.
Kwa mujibu wa nini?

Yerusalemu ni zaidi ya tu eneo la kuzaliwa ni mji wa agano, una umuhimu wa kipekee kwa Wayahudi wa vizazi vyote, hata waliotawanywa kwa maelfu ya miaka.

Kwa mfano, hata kama Mwarabu au Mkristo amezaliwa hapo, hiyo haiondoi kwamba Yerusalemu ilikuwa mji mkuu wa kifalme wa Waisraeli tangu enzi za Daudi na Sulemani. Wayahudi waliendelea kuuita “mji wao mtakatifu” hata walipotawanywa na Warumi mwaka 70 BK. Huu si mji tu wa uraia ni kiini cha utambulisho wa taifa la Kiyahudi.

Kwa hiyo, kuzaliwa tu Yerusalemu hakumfanyi mtu kuwa mrithi wa kihistoria au kiimani wa mji huo. Ni kama mtoto wa mgeni aliyezaliwa Vatican hawezi kuwa Papa kwa misingi hiyo tu. Yerusalemu ina mizizi ambayo si kila aliyezaliwa hapo anaweza kuirithi kihaki.
 
Uislamu kwanza ni dini ya juzi imekuja watu wanaiona ,imekuja imekuta Kuna historia ,vitabu ,n.k

Leo hii hakuna ushahidi hata wakuokoteza unaoonesha paliwahi kuwepo dini au Iman ya Uislamu

Dini nyingine za kale historia zao zipo

Iweje hii Islam dini ya juzi tu hapa ikose historia ya ukweli kama kweli ilikuwepo?
Unasema hakuna ushahidi wa historia ya Uislamu wa juzi tu ila dini nyingine historia zao zipo.

Kama historia za dini zote ziliandikwa na mashujaa wa wakati wao kama ilivyo andikwa historia ya Shujaa Nyerere dhidi ya Idd Amini au Nelson Mandela dhidi ya Apartheid.

Una uhakika gani kwamba historia unayoisoma siyo hadithi tu ya shujaa wa dini yako enzi zake pia?

Je, kweli tunaishi kwa historia, au tunabishania simulizi za mashujaa wa kale?
 
Nipe tofauti ya uyahudi na Israel?
Umehama hoja yako Tena,hapo tutakuja tu ,

Maliza kiporo, aliyekwambia Uislamu unamuamini Yesu ni nani?

Yesu ndiye ISSA?
 
Umechambua vizuri sana! Huwa kwenye mijadala nawauliza ni wapi katika Quran,Palestina imetajwa? Hakuna anayeweza kujibu!
Ukiwaonyesha kwenye Quran aya zinazothibitisha ile nchi wanayokaa Wayahudi ni Nchi Takatifu waliyopewa na Mwenyezi Mungu,Q5:20-21
Hawawezi kujibu!
 
Kuna vitabu na vyanzo vingi secular na huru kuhusu historia ya dini ya ukristo, kuna vyanzo vichache sana huru na secular kuhusu historia ya uislamu.
 
Umehama hoja yako Tena,hapo tutakuja tu ,

Maliza kiporo, aliyekwambia Uislamu unamuamini Yesu ni nani?

Yesu ndiye ISSA?
Mada yako inasema waislam wanaitaka jerusalem? Unafahamu wapo waislam waisraeli? Na kwa mujibu wa biblia yako unafahamu Musa , samweli ayubu , sauli na nk sio wayahudi?
 
Umechambua vizuri sana! Huwa kwenye mijadala nawauliza ni wapi katika Quran,Palestina imetajwa? Hakuna anayeweza kujibu!
Ukiwaonyesha kwenye Quran aya zinazothibitisha ile nchi wanayokaa Wayahudi ni Nchi Takatifu waliyopewa na Mwenyezi Mungu,Q5:20-21
Hawawezi kujibu!
Vipi kuhusu hadithi ? maana hata swala tano hazijatajwa katika Quran ila zinazingatiwa!
 
Kwa mujibu wa nini?

Yerusalemu ni zaidi ya tu eneo la kuzaliwa ni mji wa agano, una umuhimu wa kipekee kwa Wayahudi wa vizazi vyote, hata waliotawanywa kwa maelfu ya miaka.

Kwa mfano, hata kama Mwarabu au Mkristo amezaliwa hapo, hiyo haiondoi kwamba Yerusalemu ilikuwa mji mkuu wa kifalme wa Waisraeli tangu enzi za Daudi na Sulemani. Wayahudi waliendelea kuuita “mji wao mtakatifu” hata walipotawanywa na Warumi mwaka 70 BK. Huu si mji tu wa uraia ni kiini cha utambulisho wa taifa la Kiyahudi.

Kwa hiyo, kuzaliwa tu Yerusalemu hakumfanyi mtu kuwa mrithi wa kihistoria au kiimani wa mji huo. Ni kama mtoto wa mgeni aliyezaliwa Vatican hawezi kuwa Papa kwa misingi hiyo tu. Yerusalemu ina mizizi ambayo si kila aliyezaliwa hapo anaweza kuirithi kihaki.

Ezekiel 21:30

“Sasa rudisha upanga alani mwake! Nitawahukumu mahali palepale mlipoumbwa, katika nchi mlipozaliwa."
 
Unasema hakuna ushahidi wa historia ya Uislamu wa juzi tu ila dini nyingine historia zao zipo.

Kama historia za dini zote ziliandikwa na mashujaa wa wakati wao kama ilivyo andikwa historia ya Shujaa Nyerere dhidi ya Idd Amini au Nelson Mandela dhidi ya Apartheid.

Una uhakika gani kwamba historia unayoisoma siyo hadithi tu ya shujaa wa dini yako enzi zake pia?

Je, kweli tunaishi kwa historia, au tunabishania simulizi za mashujaa wa kale?
Uislamu unakosa Sifa za kujitetea ,

Kuanzia historia ,AKIOLOJIA na maandiko

Nikweli historia huandikwa na watu wa wakati wao lakini historia si hadithi tu, bali ni mchanganyiko wa maandiko, ushahidi wa akiolojia, maandiko ya watu wa mataifa tofauti, na kumbukumbu za kisayansi zinazoweza kupimika. Na hapo ndipo Uislamu unaposhindwa kujitetea.,hapo ndipo uislamu unapokuja kuonekana ni UTAPELI

Nakupa mifano uone nisemacho

Uislamu unadai kuwa Qur'an haikubadilishwa na imetoka mbinguni moja kwa moja. Lakini hadi sasa hakuna hata nakala ya kale ya Qur’an kutoka enzi za Muhammad iliyopo iliyo kamili na isiyobadilika. Maandishi yaliyopatikana huko Sana’a (Yemen), yaliyoaminika kuwa ya zamani, yana tofauti nyingi na Qur'an ya leo. Akiolojia inathibitisha mabadiliko hayo,

Mfano mwingine

Uislamu unadai Al-Aqsa ilikuwepo enzi ya Muhammad, mwaka 621 A.D. wakati wa safari ya Isra na Miraj. Lakini ushahidi wa kihistoria unaonesha kuwa msikiti huo haukuwepo kabisa kwa wakati huo ujenzi wake ulifanywa takribani miaka 70 baada ya Muhammad kufariki. Hii inaweka shaka kubwa kwenye simulizi za safari hiyo, kwa kuwa haikuwepo hata kijiwe chake.

NJOO KWA UPANDE WA DINI NYINGINE

Ukristo na Uyahudi vina maandiko ya kale yanayolingana na uchimbaji wa akiolojia, mfano

Maandishi ya Bahari ya Chumvi (Dead Sea Scrolls) yanafanana kwa karibu kabisa na maandiko ya Biblia ya leo yakiwa yameandikwa mamia ya miaka kabla ya Yesu kuzaliwa.

Vilevile, miji kama Yeriko, Bethlehemu, na hekalu la Sulemani, vimegunduliwa kwa vifaa na vithibitisho vya akiolojia.

Kwa hiyo kaka, Uislamu unakosa nguvu ya kujitetea katika maeneo ya historia, akiolojia na maandiko ya kale. Ni vigumu kusema una uhakika na kitu ambacho hata msingi wake wa kihistoria hauwezi kudhihirika nje ya simulizi za mdomo za wafuasi wake.
 
Back
Top Bottom