KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

kabla sijaja na kobazi zangu kuleta ubishi , je wewe ni myahudi?

hii mada tutazungumza sisi waislamu na wao mayahudi.....wewe kalale kwanza.

kwanza wapakwa mafuta mmeanza kuwapenda lini hawa ndugu zetu wa kiyahudi?
Unafahamu japo kuwa uyahudi Dini ila pia kabila ? Unajua wapo wayahudi waislamu pia?
 
Je wayahudi wakristo na wayahudi waislam je ?
Sielewi swali lako linamaanisha nini kwa sababu ugomvi mkubwa wa Yerusalem unatokana na eneo ulipo msikiti wa Al Aqsa ambapo Wayahudi wanadai ndipo lilipokuwepo hekalu lao kuu lilibomolewa na Warumi, sasa Wayahudi Wakristo, Atheists n.k wanaingiaje hapo kwenye huo mzozo wakati wao hata hawaitaji hilo hekalu?! Wayahudi Waislamu sijui maoni yao kuhusu mgogoro wa Yerusalem kuweza kuwazungumzia. Mzozo wa Yerusalem ni wa pande mbili tu, sio tatu, nne n.k pande nyingine zinasimama nyuma hizi pande mbili tu kwa sababu ya interests mbalimbali za kitamaduni, historia, siasa na uchumi.
 
Ikawaje kichwa cha mada kikawa hivyo na kwanini ulidai mtoa mada yupo shaihi kwa hiko kichwa?
Kichwa cha mada kimeelekezwa kwa muktadha wa mzozo wa kidini na kisiasa kati ya Uislamu na Uyahudi juu ya Yerusalemu, si kwa kuangalia uraia ndani ya Israel.

Hivyo, kusema Waislam wanaitaka Yerusalemu ni sahihi kwa mantiki ya madai ya Umma wa Kiislam duniani, si kwa kuchanganya na Waislamu wachache waliopo ndani ya taifa la Israeli.
 
Unafahamu japo kuwa uyahudi Dini ila pia kabila ? Unajua wapo wayahudi waislamu pia?
hapo kwen wayahudi waislamu unanichanganya,,,,,,,nafahamu wapo wa israel waislamu,,,,,uyahudi ni dini ya kujitegemea,,,,,,,israel ni uzao wenye uyahudi na waislamu na madini menghine
 
Sielewi swali lako linamaanisha nini kwa sababu ugomvi mkubwa wa Yerusalem unatokana na eneo ulipo msikiti wa Al Aqsa ambapo Wayahudi wanadai ndipo lilipokuwepo hekalu lao kuu lilibomolewa na Warumi, sasa Wayahudi Wakristo, Atheists n.k wanaingiaje hapo kwenye huo mzozo wakati wao hata hawaitaji hilo hekalu?! Wayahudi Waislamu sijui maoni yao kuhusu mgogoro wa Yerusalem kuweza kuwazungumzia.
Umenielewa vizuri sana
 
Kichwa cha mada kimeelekezwa kwa muktadha wa mzozo wa kidini na kisiasa kati ya Uislamu na Uyahudi juu ya Yerusalemu, si kwa kuangalia uraia ndani ya Israel.

Hivyo, kusema Waislam wanaitaka Yerusalemu ni sahihi kwa mantiki ya madai ya Umma wa Kiislam duniani, si kwa kuchanganya na Waislamu wachache waliopo ndani ya taifa la Israeli.
Ndio mawazo huru kama haya nilikua nataka
 
hapo kwen wayahudi waislamu unanichanganya,,,,,,,nafahamu wapo wa israel waislamu,,,,,uyahudi ni dini ya kujitegemea,,,,,,,israel ni uzao wenye uyahudi na waislamu na madini menghine
Wayahudi pia ni kabila ijapo kuwa ni dini ila wapo wahudi hata wasio amini Mungu
 
Ukristo unakubali kwamba maandiko yake(Biblia) yaliandikwa na wanadamu tu ila "waliongozwa" na roho mtakatifu,
Walijuaje kwamba ni roho mtakatifu na siyo fikra zao binafsi?

Hivi unajua kwanini watu wa zamani walikua na uwezo mkubwa wa kufikiri?
Hata bomu la nyuklia limebeba jina la Einstein, ambaye alitumia muda mwingi wa utulivu, tafakari na maswali bila kelele za dunia.

Leo, kelele zimezidi mawazo. Na ndiyo maana tunakosa mawazo makubwa kama
Hayo.

Kwasasa hivi kuanzisha falsafa ni ngumu kwasababu kuna destructions - AI, Simu, Tv, Michezo, Muziki, na mambo kede kede, utapata wapi muda wa Kuthink deep unless uamue kuwa kiumbe cha tofauti cha ulimwengu wa aina hii kama alivyoimba Dizasta Vina.

Unajua mkuu kipindi hicho most of time unakua wewe na mazingira tu, huna simu, huna Tv, unajuna na watu wa jamii yako tu, huna hata usafiri 😇.

Ndiyo maana falsafa nyingi zimetengenezwa kipindi cha kale cha kina Socrates, Buddha, Confucius, Lao Tzu, Marcus Aurelius, Jesus, Constantine, Mohhamed etc

Kazi yetu siyo kuunda kitu kipya tena ila kuchambua yaliyofikiriwa na ukisoma unasema daah! Jamaa alikuwa GT.
Lakini kumbuka hutakiwa kuamnini kila unachokisoma unless kina proof of fact.
Wakristo wengine wanaamini kwamba hata kuna baadhi ya watu walijaribu kupotosha na kuingiza idea zao katika maandiko original, Kwa upande mwingine wa Waislamu mimi mpaka leo sijui wanasimamia wapi kuhusu kitabu chao cha Quran, kwamba kilishushwa kama kilivyo au mtume alikuwa anahadithia watu wakaandika kitabu chote kizima au walihifadhi hadithi za mtume wakaandika alipoondoka, kinacholeta mjadala zaidi ni huko kusema hicho kitabu hakijawahi kupata mabadiliko yoyote kabisa kwa karne zote na miaka yote!
Maandiko ya vitabu vyote yanaakisi historia ya wanadamu wanaotafuta ukweli kama kuna nguvu ya juu zaidi, na historia hizo hazina ukamilifu wa kimaandishi, bali zina tabia ya kubadilika kama mwanadamu mwenye asili yakubadikika kulingana na mazingira.

Mfano waliona jamii haikubali tena kushurutishwa kufuata maadili wakaamua kumtengeneza Mkombozi yesu ili watu watii kwa moyo wa huruma na siyo nguvu.
 
Tena wazayuni ukiwaangalia vizuri ni wazungu pure wao pombe, ngono na starehe nyingine wala hawajadi ila wapo Wayahudi wa asili kidini hawana tofauti kubwa na waislamu.
hatari sana.........nimeona mahala wazayuni walishaga anzisha mtaala mashuleni hapo israel ya 1948 kwamba walipokuja 1948 walikuta jangwa hawakukuta mtu...zionist rubbish hahahaha......
 
View attachment 3394441View attachment 3394442

Kuna UPOTOSHAJI au naweza kusema ni kukosa Elimu pia kukaririshwa na kumezeshwa uongo , kuwa "Quds ni sawa na Yerusalemu"

Huu uongo umekuwa ukirudiwa mara nyingi, lakini kwa mujibu wa historia, maandiko ya dini na vyanzo vya lugha, kauli hii inahitaji kupitiwa kwa umakini zaidi.

Nilipokuwa muislamu nilipenda sana kutafiti historia ,AKIOLOJIA na kusoma vitabu vingi, nilianza kugundua Uislamu umejitungia na kuzusha vitu vingi, nikagunduan uislamu uliamua kujitengenezea historia yake yenyewe kwa kupingana na historia iliyoikuta .Hapo nilizidi kutafiti zaidi ...

Leo tutachambua kwa undani tofauti kati ya "Quds" na Yerusalemu, kwa kutumia ushahidi wa kihistoria, maandiko ya dini, tafsiri za lugha, na nukuu kutoka kwa wataalamu na vyanzo vya kale.

​

Yerusalemu (Jerusalem) Katika Biblia na Historia ya Wayahudi​


Yerusalemu ni jiji takatifu la kale lililotajwa mara nyingi sana katika Agano la Kale na Agano Jipya la Biblia. Ni jiji ambalo lilipewa kipaumbele cha kipekee na Mungu kwa taifa la Israeli.


Zaburi 132:13-14
"Kwa maana Bwana ameitakasa Sayuni, ameichagua awe kao lake. Hapa ndipo nitakapo kaa milele, maana nimeichagua."


1 Wafalme 11:36
"Na kwa mwanawe nitampa kabila moja, ili Daudi mtumishi wangu awe na taa daima mbele za uso wangu huko Yerusalemu, mji niliouchagua ili niweke jina langu hapo."


Katika historia, Yerusalemu ni mji uliojengwa na Mfalme Daudi na ukawa makao ya Hekalu la kwanza na la pili, ambao ulikuwa kitovu cha ibada kwa Wayahudi.


Asili ya Neno "Quds" – Tafsiri ya Kiarabu si Jina la Kale​


Neno "Al-Quds" kwa Kiarabu linamaanisha “utakatifu” au “mji mtakatifu”. Hili si jina la awali la Yerusalemu, bali ni jina lililoanza kutumika baada ya Uislamu kuenea karne ya 7 A.D., hasa baada ya Waarabu kuuteka mji huo kutoka kwa Bizanti.

Prof. Moshe Sharon, mtaalamu wa historia ya Kiislamu kutoka Chuo Kikuu cha Hebrew, alisema:




Hii ina maana kuwa jina la awali la mji huo hata kwa Waarabu lilikuwa Iliya, si Quds. "Al-Quds" ni jina la baadaye la kisiasa na kidini lililopewa maana ya kiroho, si kihistoria.

Qur’an Haitaji Neno “Quds” Wala Yerusalemu Kwa Jina​


Kitu cha kushangaza ni kwamba Qur’an haijawahi kutaja Yerusalemu kwa jina – wala “Quds” wala “Jerusalem”. Hili linaibua maswali makubwa kuhusu msingi wa madai ya kuwa "Quds" ni sehemu ya msingi wa imani ya Kiislamu.

Surah Al-Isra 17:1 inasema

"Subhana al-ladhi asra bi'abdihi laylan mina al-Masjid al-Haram ila al-Masjid al-Aqsa..."
(“Ametakasika Yule aliyemchukua mtumishi wake usiku kutoka Msikiti Mtakatifu [Mecca] hadi Msikiti wa Mbali...”)


Hapa haijatamkwa Yerusalemu.

Neno "Msikiti wa Mbali (Al-Aqsa)" halimaanishi Yerusalemu moja kwa moja. Tafsiri hiyo ilikuja baadaye kwa mujibu wa tafsiri ya wanazuoni wa Kiislamu, lakini haipo moja kwa moja katika Qur’an.,Unaanza kuona sasa kuwa Kuna utapeli mkubwa sana kwenye uislamu


Yerusalemu Ilikuwa Tayari ni Mji wa Kiyahudi Karne Nyingi Kabla ya Uislamu​


Mji wa Yerusalemu ulikuwa tayari umejengwa, umeabudiwa na kuenziwa na Wayahudi maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa Uislamu.


Historia ya Wayahudi:

  • Mwaka wa 1000 kabla ya Kristo (B.C), Mfalme Daudi aliteka Yerusalemu na kuufanya mji wa kifalme (2 Samweli 5:6-7).
  • Mwanawe Sulemani alijenga Hekalu kuu (1 Wafalme 6).
  • Yerusalemu ukabomolewa na Wababiloni (586 B.C) na kujengwa tena na Ezra na Nehemia.

Hii inaonesha kuwa Yerusalemu ilikuwa tayari na utambulisho wake wa Ki-Yahudi karne nyingi kabla ya jina la "Quds" kuibuka.


"Quds" ni Tafsiri ya Kiroho, Siyo Jina Halisi la Jiji​


Katika maandiko ya Kiislamu ya baadaye, neno “Al-Quds” linatumika kama mji mtakatifu, lakini si jina la kale la kijiografia. Ni tafsiri ya maana (sanctity), si jina lenye historia halisi ya mji.

Jina la kweli la kihistoria la mji huo katika

  • Kiebrania: Yerushalayim (ירושלים)
  • Kigiriki na Kirumi: Hierosolyma / Aelia Capitolina
  • Biblia: Yerusalemu
  • Kiarabu cha kale kabla ya Uislamu: Iliya

Mwisho nikagundua kuwa Yerusalemu sio Quds,ila Waislamu walifanya UPOTOSHAJI ili wajinasibishe na Wayahudi,kumbuka yote unayoyaona waislamu wakisema kuhusu manabii wa kiyahudi na kujinasibisha nayo ni uongo ,mfano Muhammad ni uzao wa Ishamael ni uongo ,hii ni mada nimewahi kuileta humu...​


Kwahiyo

✔️ Yerusalemu ni mji wa kihistoria, wa Biblia, wa Wayahudi na Wakristo, wenye utambulisho wake tangu kale.
✔️ Quds ni jina la Kiarabu lililoibuka karne nyingi baadaye tafsiri ya “mji mtakatifu”, sio jina halisi la kale.
✔️ Qur’an haijawahi kulitaja jina la Yerusalemu.
✔️ Historia, lugha, na maandiko yote yanathibitisha kuwa "Quds" si sawa na Yerusalemu, bali ni tafsiri ya kiimani iliyopachikwa baadaye.


Kwa hiyo, ukiona waislamu wanasema “Quds” ni Yerusalemu, wanapotosha historia na kuchanganya maana ya kiroho na ukweli wa kijiografia.

Kama kweli tunataka kuheshimu ukweli wa historia, lazima tukubali kuwa Yerusalemu ni mji wa Biblia na Wayahudi, na Quds ni tafsiri ya kiroho ya baadaye ndani ya Uislamu.


Ukitaka kuujua uislamu ulivyo ,uweke kwenye historia iliyoikuta.
Kakojoe ukalale.
 
Back
Top Bottom