KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

KWANINI WAISLAMU WANAITAMANI YERUSALEMU YA WAYAHUDI?

Uislamu unakosa Sifa za kujitetea ,

Kuanzia historia ,AKIOLOJIA na maandiko

Nikweli historia huandikwa na watu wa wakati wao lakini historia si hadithi tu, bali ni mchanganyiko wa maandiko, ushahidi wa akiolojia, maandiko ya watu wa mataifa tofauti, na kumbukumbu za kisayansi zinazoweza kupimika. Na hapo ndipo Uislamu unaposhindwa kujitetea.,hapo ndipo uislamu unapokuja kuonekana ni UTAPELI

Nakupa mifano uone nisemacho

Uislamu unadai kuwa Qur'an haikubadilishwa na imetoka mbinguni moja kwa moja. Lakini hadi sasa hakuna hata nakala ya kale ya Qur’an kutoka enzi za Muhammad iliyopo iliyo kamili na isiyobadilika. Maandishi yaliyopatikana huko Sana’a (Yemen), yaliyoaminika kuwa ya zamani, yana tofauti nyingi na Qur'an ya leo. Akiolojia inathibitisha mabadiliko hayo,

Mfano mwingine

Uislamu unadai Al-Aqsa ilikuwepo enzi ya Muhammad, mwaka 621 A.D. wakati wa safari ya Isra na Miraj. Lakini ushahidi wa kihistoria unaonesha kuwa msikiti huo haukuwepo kabisa kwa wakati huo ujenzi wake ulifanywa takribani miaka 70 baada ya Muhammad kufariki. Hii inaweka shaka kubwa kwenye simulizi za safari hiyo, kwa kuwa haikuwepo hata kijiwe chake.

NJOO KWA UPANDE WA DINI NYINGINE

Ukristo na Uyahudi vina maandiko ya kale yanayolingana na uchimbaji wa akiolojia, mfano

Maandishi ya Bahari ya Chumvi (Dead Sea Scrolls) yanafanana kwa karibu kabisa na maandiko ya Biblia ya leo yakiwa yameandikwa mamia ya miaka kabla ya Yesu kuzaliwa.

Vilevile, miji kama Yeriko, Bethlehemu, na hekalu la Sulemani, vimegunduliwa kwa vifaa na vithibitisho vya akiolojia.

Kwa hiyo kaka, Uislamu unakosa nguvu ya kujitetea katika maeneo ya historia, akiolojia na maandiko ya kale. Ni vigumu kusema una uhakika na kitu ambacho hata msingi wake wa kihistoria hauwezi kudhihirika nje ya simulizi za mdomo za wafuasi wake.
Kuna maandiko mengi pia yanayohusu Ukristo kupitia rekodi za utawala wa Kirumi kabla hata ya Constantine na pia huko Persia.
 
Umechambua vizuri sana! Huwa kwenye mijadala nawauliza ni wapi katika Quran,Palestina imetajwa? Hakuna anayeweza kujibu!
Ukiwaonyesha kwenye Quran aya zinazothibitisha ile nchi wanayokaa Wayahudi ni Nchi Takatifu waliyopewa na Mwenyezi Mungu,Q5:20-21
Hawawezi kujibu!
Jina Palestine lilianza kutumika lini?
 
Mada yako inasema waislam wanaitaka jerusalem? Unafahamu wapo waislam waisraeli? Na kwa mujibu wa biblia yako unafahamu Musa , samweli ayubu , sauli na nk sio wayahudi?
Sio muda utakimbilia kusema hutaki maandiko ya Biblia ,hukawii kabisa ,huna msimamo kabisa

kwamba Musa, Samweli, Ayubu, Sauli, n.k. “sio Wayahudi” hii ni tafsiri isiyo sahihi.

Kihistoria na kibiblia, neno "Myahudi" (Yehudi) lilianza kutumika rasmi baada ya kipindi cha mfalme Sulemani, hasa baada ya kugawanyika kwa taifa la Israeli kuwa milki ya Yuda na Israeli.

Hivyo, ni kweli Musa, Ayubu n.k. waliishi kabla ya jina "Wayahudi" kutumika rasmi lakini bado walikuwa sehemu ya taifa teule la Mungu kutoka kwa Ibrahimu, Isaka na Yakobo. Musa alikuwa Mlawi lakini bado sehemu ya wana wa Israeli, taifa ambalo baadaye likaitwa la Kiyahudi.

Hivyo kusema “sio Wayahudi” ni kurukaruka tu bila kuchambua mizizi ya Biblia.
 
Nipe tofauti ya waisraeli na wayahudi

Je unafahamu wapo waisraeli waislam ndani ya jeshi la Israel?

Kwa nini kichwa cha mada yako kiseme waislam wanaitaka jerusalem angali wapo waisraeli waislam wanasema pia jerusalem ni mji wao na wayahudi hawapingi hilo?

Hivi unasoma kwa kina kweli au unakurupuka tu kujibu🤔
 
Jina Palestine lilianza kutumika lini?
Labda nichangie na Mimi ,

Jina "Palestine" lilianza kutumika rasmi na Warumi mnamo mwaka 135 BK (Baada ya Kristo), baada ya Wayahudi kuasi Dola ya Roma katika Vita vya Bar Kokhba.

Warumi waliamua kuifuta kabisa jina la "Yuda" (Judea) na kuiita eneo hilo "Syria Palaestina" kwa makusudi ya kuwadhalilisha Wayahudi na kufuta utambulisho wao wa kihistoria.

Walilichukua jina hilo kutoka kwa Wafilisti (Philistines) watu wa pwani ya Gaza waliokuwa maadui wa kale wa Waisraeli, ingawa kwa wakati huo Wafilisti wa asili walikuwa tayari hawapo tena.

Kwa hiyo, "Palestine" si jina la kale la taifa, bali ni jina la kikoloni lililoanzishwa na Warumi karne ya pili BK. Kabla ya hapo, ardhi hiyo ilijulikana kama Kanaani, kisha Israeli, na milki ya Yuda na Israeli, kulingana na nyakati za Biblia.

Hii ni historia ipo wazi ,ndio maana waislamu ukiwapa Aya za Quran zinazowatambua Israel ndio wenye Ardhi ,wanabaki wanakodoa macho tu ,

Jina Palestina kwenye Quran halipo maana ni lakutengenzwa juzi tu hapa
 
Phillistine ipo canaan kabla wayahudi
 
Wewe unashangaza sana , nakuuliza swali jingine tena halafu uone unavyojikoroga , waisraeli waislam wao wanaitambuaje Palestine?
 
Vipi kuhusu hadithi ? maana hata swala tano hazijatajwa katika Quran ila zinazingatiwa!
Hadith zilitungwa baada ya Wanazuoni wa kiislamu kugundua Quran ina mapungufu! Si kwamba ni yale aliyosema mtume au Nabii wao!
Kwa mfano Muhamaad aliambiwa athibitishe unabii wake kwa miujiza! Alishindwa na akakiri yeye alikuwa mtu tu wa kawaida Q17:91-94,Q46:9
Wanazuoni waliopoona hivyo wakatunga uongo huu! Mfano,
1.Mtume alinywesha watu kwa Maji yaliyotoka kwenye vidole vyake.😀😀
2.Kubwa ilikuwa hii,kwamba mtume alipasua Mwezi vipande viwili.
Na hadithi nyingi za Uongo ambazo mpaka leo Waislam wanaziamini mpaka leo.
Changamoto ya Waislamu achilia mbali kwamba wengi hawakusoma hawaijui dini yao kabisa kwa sababu wanakarishwa dini yo kwa Lugha ya Kiarabu ambayo wengi hawaijui.
 
Nipe tofauti ya waisraeli na wayahudi

Je unafahamu wapo waisraeli waislam ndani ya jeshi la Israel?

Kwa nini kichwa cha mada yako kiseme waislam wanaitaka jerusalem angali wapo waisraeli waislam wanasema pia jerusalem ni mji wao na wayahudi hawapingi hilo?

Hivi unasoma kwa kina kweli au unakurupuka tu kujibu🤔
Wewe ndio unakurupuka ,na hausomi kwa kutafakari , nitakujibu kadri niwezavyo

kwanza tuweke sawa

"Mwisraeli" ni jina la uraia mtu yeyote aliyezaliwa au aliepata uraia ndani ya taifa la kisasa la Israel, iwe ni Myahudi, Mwislamu, Mkristo au hata msioamini kabisa kuhusu Mungu kama wewe japo unaonekana ni Kobazi au ulikuwa kobazi,

"Myahudi" ni mtu wa taifa la kale la Kiyahudi, uzao wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo (Israeli), na mfuasi wa dini ya Kiyahudi. Si kila Mwisraeli ni Myahudi, na si kila Myahudi ni Mwisraeli (kwa sababu wengine wanaishi diaspora Marekani, Ufaransa, n.k.).

Kwa hiyo ni kweli kabisa wapo Waisraeli Waislam, na wengine wako ndani ya jeshi la Israel (IDF) wakihudumu kama askari, madaktari na hata wabunge. Hili halina ubishi.

Lakini sasa ngoja nirudi kwenye msingi wa mada

“Waislam wanaitaka Jerusalem.”

Sasa, hii mada haikuzaliwa kwa ubaguzi bali kwa muktadha wa kisiasa na kidai la ardhi. Wanaodai kuwa Jerusalem ni mji wa Kiislamu ni Wapalestina (hasa kundi la Hamas, Fatah, n.k.) na washirika wao wa Kiislam wa mataifa mengine kama Iran, Pakistan n.k. si Waisraeli Waislam walio ndani ya mfumo wa kisheria wa Israel.

Waisraeli Waislam wanaoishi ndani ya taifa hilo hawapingani na haki ya Wayahudi kwa Jerusalem, bali wanaishi kwa amani, wakifaidika na uhuru wa kuabudu kuanzia Msikiti wa Al-Aqsa hadi makanisa na sinagogi.

Hakuna rekodi ya Waisraeli Waislam kuongoza maandamano ya kuiita Jerusalem "mji wa Kiislamu" dhidi ya Wayahudi. Hilo linafanywa na mataifa au vikundi vya Kiislam vinavyopinga kuwepo kwa taifa la Israeli kabisa.

Kwa hiyo kaka, sijasema kila Mwislamu anaitaka Jerusalem bali hoja ni kuwa Uislamu wa kisiasa (Islamist ideology) unatumia madai hayo kupinga mizizi ya Kiyahudi katika mji huo mtakatifu.,hata huku waislamu wa buza wanadandia hiyo hoja
 
Kuna vitabu na vyanzo vingi secular na huru kuhusu historia ya dini ya ukristo, kuna vyanzo vichache sana huru na secular kuhusu historia ya uislamu.
Uko sahihi kwamba vyanzo vingi vya kihistoria vinavyodaiwa kwamba ni secular na huru ni vingi kwa upande wa Ukristo kuliko vya Uislamu.

Lakini hoja yako inaangukia kwenye kosa la mantiki Logical fallacy ya ad populum.

Yaani kuthibitisha kitu ni sahihi kwa sababu wengi wamesema au wamesimulia. kitaalamu wingi wa mashahidi wa hadithi moja hauibadilishi hadithi hiyo kuwa ni ya ukweli bali unaonyesha tu nguvu ya upande ulioshinda kuiandika kwa wingi.
Na kinachoitwa chanzo huru mara nyingi si huru kweli, bali huwa ni kisasi cha upande mwingine.

Vyanzo vya historia ya Ukristo ulivyoviita Secular vilitengenezwa katika karne za Ulaya na wakristo wenyewe ambavyo vilikuwa na uhuru wa kuikosoa dini yao wenyewe kabla ya uislamu.

Ukisoma historia ya ubishi juu utatu wa Mungu wa kikristo enzi za Nicea mpaka kipindi cha Costantine ni moja ya vitu vilivyochochea historia ya kikristo kuandikwa kwa mapana lakini hilo halifanyi huo ukristo ndiyo uwe kweli.

Uislamu haukuandika historia yake kwa mitazamo tofauti kwa sababu mfumo wake wa ndani haukuruhusu kuibuka kwa vikundi vingi vya kiislamu kama ilivyo vya kikristo ambavyo vingeweza kuchochea historia iandikwe kwa mapana.

Kwa hiyo hoja sahihi si kuuliza wapi au wengi wana vyanzo vingi vya historia?
Bali ni hoja ipi yenye mashiko hata ukiiondoa kwenye mazingira ya idadi?
 
Hadith zilitungwa baada ya Wanazuoni wa kiislamu kugundua Quran ina mapungufu! Si kwamba ni yale aliyosema mtume au Nabii wao!
Kwa mfano Muhamaad aliambiwa athibitishe unabii wake kwa miujiza! Alishindwa na akakiri yeye alikuwa mtu tu wa kawaida Q17:91-94,Q46:9
Wanazuoni waliopoona hivyo wakatunga uongo huu! Mfano,
1.Mtume alinywesha watu kwa Maji yaliyotoka kwenye vidole vyake.😀😀
2.Kubwa ilikuwa hii,kwamba mtume alipasua Mwezi vipande viwili.
Na hadithi nyingi za Uongo ambazo mpaka leo Waislam wanaziamini mpaka leo.
Changamoto ya Waislamu achilia mbali kwamba wengi hawakusoma hawaijui dini yao kabisa kwa sababu wanakarishwa dini yo kwa Lugha ya Kiarabu ambayo wengi hawaijui.
Covax adriz Mohamed Abubakar et al sikuwahi kujua hadithi zilitungwa kujazia Quran!
 
Phillistine ipo canaan kabla wayahudi
Wala hujakosea Wafilisti walikuwepo katika eneo la Kanaani kabla ya Waisraeli kuingia, wakitawala maeneo ya pwani kama Gaza. Hii inaonyesha kuwa eneo hilo lilikuwa na makabila tofauti kabla ya kuanzishwa kwa taifa la Kiyahudi., lakini kumbuka Wapalestina sio Wafilisti usichanganye mafaili

Katika Qur’an, Waisraeli walipewa ahadi ya ardhi takatifu na Mwenyezi Mungu. Kama ilivyoandikwa katika Surah Al-Ma’idah (5:20-21)

"Enyi watu wangu! Ingieni katika ardhi takatifu ambayo Mwenyezi Mungu amekwajalia; msirudi nyuma mkawa wa wapotevu."

Pia Surah Al-Isra (17:104) inasema
"Ingieni katika ardhi hii; na atakayeingia ndani yake kwa amri yangu atakuwa salama."

Hii inaonyesha wazi kuwa Waisraeli walihimizwa na kupewa haki ya kuishi katika ardhi hiyo

Je Kuna Aya kuhusu Wapalestina?
 
Nipe tofauti ya waisraeli na wayahudi

Je unafahamu wapo waisraeli waislam ndani ya jeshi la Israel?

Kwa nini kichwa cha mada yako kiseme waislam wanaitaka jerusalem angali wapo waisraeli waislam wanasema pia jerusalem ni mji wao na wayahudi hawapingi hilo?

Hivi unasoma kwa kina kweli au unakurupuka tu kujibu🤔
Wayahudi ni watu wa taifa la Kiyahudi na dini ya Kiyahudi. Waisraeli ni raia wa nchi ya Israel, wanaweza kuwa Wayahudi, Waislamu au Wakristo.

Wapo Waisraeli Waislamu ,lakini hoja ni ya kisiasa na kihistoria, mzozo wa Yerusalemu hauhusu uraia pekee, bali ni madai ya kidini na kihistoria ya Waislamu duniani, si ya Waisraeli Waislamu wachache ndani ya jeshi.
Hivyo kichwa cha mada kiko sahihi kwa muktadha wa mzozo mpana zaidi.
 
Kati ya wapalestina wakristo na waisraeli waislam wapi wapo sahihi kuidai jerusalem?
 
Back
Top Bottom