Crispin Nyoni
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 413
- 90
Nimakuwa nikifuatilia kwa karibu waimbaji nyimbo za injili naona hawazeeki.Mfano Don More, Rose Muhando,mwaitege, mwaipaya, Nicholina Msungu nk.Kwa nini hawazeeki?Ninavyowaona ni kuwa hawazeeki.Kwa nini?Au kuna vyakula maalumu wanakula?