Kwanini waimbaji wa nyimbo za injili hawazeeki?

Kwanini waimbaji wa nyimbo za injili hawazeeki?

Kumtumikia Mungu kuna faida kaka.Niambie ni mwanamziki gani wa mziki wa kidunia ie bongofleva si mlevi au mwasherati?wao Wana fanya kazi ya Mungu aliye hai wakati wengine wakifanya kazi ya shetani.

Umenena mkuu!!!.
 
Mt.Augustino wa Hippo aliwahi kusema kuwa,"Anayeimba vizuri kumsifu na kumtukuza Mungu anasali mara mbili",hivyo kupitia utume wao wa nyimbo wanapata faida nyingi sana ikiwemo ya kutozeeka mapema kwani huondokana na msongo wa mawazo ambao huzeesha sana.
 
Hapo umenena, Bwana Yesu Asifiwe, kumwimbia Bwana ni kusali mara mbili.
 
Back
Top Bottom