Kwa ufupi wanazeeka ila mojawapo ya sababu inayofanya waonekane hawazeeki ni kuwa muda mwingi huwa hawaazi mambo yenye fyongo au yaletayo stress na mawazo yaovyo ovyo, but wao huwaza kutunga nyimbo nk.
Lakini pia hapo kwenye kutunga kuna muda ukikutana au kukaa na mwimbaji ndipo utagundua hiki;
Crispin Nyoni kuwa ana daftali au kitabu (sometimes) ambacho uandika kile anachowaza, au unaweza kumuona anaimba all time ambapo mojawapo ya kupoteza matatizo kichwani ni kuimba.
Mfano mzuri unaweza kunitafuta
TODAYS alafu ukisie umri wangu na wako. Lakini pia kuna mtindo wa maisha kwa mtu anayeimba huna budi kuufuata agharabu.
*Hapo ni kwa ufupi tu.