Kwanini wafanyakazi wenzangu wanaepuka kukaa nami kwenye basi la kazini?

Kama unawasalimia na kuwachangamkia ukiwa kazini.. mengine yasikupe shida.
 
Potelea mbali na tabia zako ila hakikisha kwenye matatizo na majanga ya wengine unakuwa mstari wa mbele kujitoa.
 
Back
Top Bottom