Gemini Are Forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 1,457
- 2,435
Nasoma comments, uzi kama unanihusu huu.
Tatizo la vijana wa sikuhizi mnatumika sana kisiasa kama hauongei na mtu wenzako wanahisi ni mmoja wapo ya wasiojulikanaMwanzoni sikuwa nachukulia serious hadi miezi ya hivi karibuni ilipotokea nimebadilisha makazi.
Kifupi mimi ni kijana, mtanashati, ila sio muongeaji sana kwa watu nisio na mazoea nao au katika mazingira mapya. Pia huwa sipendi kuzungumzia mambo mepesi mepesi kuhusu watu au vitu. Ni mara nyingi nimewahi kusikia kuwa watu husema Mimi ninaringa sana.
Sasa kuna kitu Kama nimekinotice siku za hivi karibuni. Nimehamia eneo lingine kikazi. Na asubuhi tunatumia Bus la kazini kwenda ofsini. Ila kuna kitu nimekiona na imekua Kama trend flani hivi. Nikiwa kwenye bus ambapo Kuna nafasi wazi tu ila watu wakiingia huwa as if wanakwepa kukaa seat niliyopo hadi seat yangu iwe last option. Hii imeibua maswali ndani yangu kwa nini iko hivyo wakati niko mazingira mapya !!
Je umewahi kukutana na hali hii? Na nini tafsiri yake?
Check harufu yako mdomoni ipo sawa?Mwanzoni sikuwa nachukulia serious hadi miezi ya hivi karibuni ilipotokea nimebadilisha makazi.
Kifupi mimi ni kijana, mtanashati, ila sio muongeaji sana kwa watu nisio na mazoea nao au katika mazingira mapya. Pia huwa sipendi kuzungumzia mambo mepesi mepesi kuhusu watu au vitu. Ni mara nyingi nimewahi kusikia kuwa watu husema Mimi ninaringa sana.
Sasa kuna kitu Kama nimekinotice siku za hivi karibuni. Nimehamia eneo lingine kikazi. Na asubuhi tunatumia Bus la kazini kwenda ofsini. Ila kuna kitu nimekiona na imekua Kama trend flani hivi. Nikiwa kwenye bus ambapo Kuna nafasi wazi tu ila watu wakiingia huwa as if wanakwepa kukaa seat niliyopo hadi seat yangu iwe last option. Hii imeibua maswali ndani yangu kwa nini iko hivyo wakati niko mazingira mapya !!
Je umewahi kukutana na hali hii? Na nini tafsiri yake?
Uko sahihi kikwapa na kunika mdomoFuatilia usafi wa Kikwapa, kinywa,mwili na miguu
Scientifically,Ubongo hupuuzia harufu na kuupa taarifa mwili kua hakuna hatari yeyote,yaani unaweza usihisi harufu yako kua unanuka ila mpaka mtu mwingine akuambie kua unanuka.Check harufu yako mdomoni ipo sawa?
Kwani kwa siku zote hizo umepungukiwa nini?Mwanzoni sikuwa nachukulia serious hadi miezi ya hivi karibuni ilipotokea nimebadilisha makazi.
Kifupi mimi ni kijana, mtanashati, ila sio muongeaji sana kwa watu nisio na mazoea nao au katika mazingira mapya. Pia huwa sipendi kuzungumzia mambo mepesi mepesi kuhusu watu au vitu. Ni mara nyingi nimewahi kusikia kuwa watu husema Mimi ninaringa sana.
Sasa kuna kitu kama nimeki-notice siku za hivi karibuni. Nimehamia eneo lingine kikazi. Na asubuhi tunatumia Bus la kazini kwenda ofsini. Ila kuna kitu nimekiona na imekua kama trend flani hivi. Nikiwa kwenye bus ambapo Kuna nafasi wazi tu ila watu wakiingia huwa as if wanakwepa kukaa seat niliyopo hadi seat yangu iwe last option. Hii imeibua maswali ndani yangu kwa nini iko hivyo wakati niko mazingira mapya!
Je, umewahi kukutana na hali hii? Na nini tafsiri yake?
Fanya kazi zako mkuu,tena kwa bidii Sana,maisha yawe mazuri,utabarikiwa Sana.Mwanzoni sikuwa nachukulia serious hadi miezi ya hivi karibuni ilipotokea nimebadilisha makazi.