Kwanini wafanyakazi wenzangu wanaepuka kukaa nami kwenye basi la kazini?

Mkuu nafikiri hiyo ni faida kwako, maana umeshasema wewe siyo mtu wa interaction na watu, especially wale ambao hamjazoeana, kwa hiyo sioni lolote la kukera hapo na watu wa aina yako wapo wengi tu, hivyo usijali.
 
...Yaani wewe ndio uko nao huko ushindwe kujua kwa mini wanakutenga utuulize sisi ambao hatujapata kuwaona??

OK, fuatilia makwapa yako usije ukawa na Kikwapa...fuatilia mdomo wako usije ukawa unatoa harufu...fuatilia uvaaji wako wa Boxer, hasa kama wewe ni mmoja wa wale wanaovaa boxer kwa siku TANO kabla ya kubadili nyingine....yote hata yanaweza kufanya office mates kukuepuka.. Wakati wewe unajifariji kwamba ni kwa sababu wanakuona...aloof!! Fuatilia hilo neno !!!
 
wewe ni bosi apo kazin? kama ni bos kaa ukijua huwatendei sawa ma subordinates wako apo kazin
 
the problem is not your appearance..

the problem is not that you have been bewitched..

I think...

I think the problem is your attitude..

I think you seem like a serius dude.
 
Ulipotoka wamewaambia hapo kwamba wewe ni TISS.ukipuuza comment yangu basi haina jinsi.
 
Mkuu ukitengwa ujue unaundiwa tume ya uchunguzi, sasa wameamua kupisha uchunguzi
 
Umeandika kua hujadili vitu vyepesi vyepesi sasa hiki ulichotuletea hapa kina uzito gani.

Hao wafanyakazi wenzio watakua wanakuona MCHAWI na hakuna mtu asie mchawi anapenda kukaa karibu na wachawi

Acha vitabia vyako vya kichawi utakuja kunishukuru.
 
SABABU NI HIZI,

1) Unaweza ukawa ni mchafu, Yaani unatoa harufu kali mdomoni, Masikioni, Kwapani , Soksi zako, n.k.JITAHIDI KUWA MSAFI NA USIPAKE MAFUTA AU PAFYUMU YENYE HARUFU KALI Wengine hawapendi manukato yenye harufu kali.

2)Kama ni kibonge punguza mwili wako, Tafsri yake kwenye kiti unachukua eneo pana , Hivyo mwenzako anakuwa amekalia tako MOJA tu. Hivyo mtu hawezi kuja kukaa na wewe Ili akalie tako MOJA.

3) UKIMYA wako wa kutokutaka Kuongea na Watu nayo huenda Ni sababu. Watu hawapendi kukaa na mtu asiyeongea
Safari itakuwa ndefu sana. Watu wanapenda stori ,utani n.k.Sada kama wewe umenuna tu kama umegombana na mtu muda wote ndiyo maana wanakukwepa ukae PEKE YAKO Ili ujinunie mwenyewe.

Onesha tabasamu, kuwa mkarimu. Usiriazines ni DALILI za uchoyo na roho mbaya.Hivyo badilika
 
Sasa wewe unaweweseka na nini ikiwa wewe mwenyewe wajitambua si muongeaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…