MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,976
Akikujibu niambieKwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!
Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!
Hoja yako imejibiwa na paragraph hii;Kwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!
Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!
CCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyakeKwani wageni ni wapinzani peke yao, hakuna ccm mgeni uchaguzi huu?!
Mbona hawajaenguliwa ccm hata mmoja?!
Hoja yako imejibiwa ndani ya mada na paragraph hii;Umejuaje kama wa upinzani hawasimamiwi na wanasheria wao. Babutale nae anauzoefu wa kujaza fomu yule darasa la nne? acha kuropoka wewe.shida yenu kuwachokoza watu nakuanzisha machafuko yasiyokuwa na msingi..Mwaka huu mbona watawanyoosha.
Jibu liko kwenye comment #9Akikujibu niambie
acha uhuni ile fom ni ya kiswahili hata mtoti wa darasa la 3 akiamshwa saa 8 usiku anajaza ...narudia ile fom ni uhuni tuu wa ccm na vibaraka waoCCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyake
Hakuna jibu!!! Mna wanasheria wangapi CCM labda tuanzie hapo!!Jibu liko kwenye comment #9
Jibu limepatikana kwenye comment #9akikujibu hii unitag.
Zile fomu hata mtoto wa primary school anajaza bila tatizo lolote, labda kama hujaziona unasikia tu.CCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyake
Kama wagombea wenu wanasaidiwa vitu vidogo kama kujaza form na wanategemea kwenda bungeni hivi wataweza kweli kuchambua na kurecommend Sheria na hoja mbalimbali?CCM ilisambaza wanasheria nchi nzima kuwasaidia kujaza fomu .Upinzani kila mtu alikuwa akipambana kivyake
Nyie inamisheni tu huku mkijua Sheria hazina siasa!Anayewadanganya kuwa huu uchaguzi mtaenda nao katika uhuni huu mnaoonyesha mwambieni akaje upya. Nasema mwambieni akaje upya. Endeleeni na utoto wenu huo huo! Sisi kwa sasa tumeinamisha vichwa chini kama kobe. Muda ukifika tutavinyanyua
Mbona Magu anao wanasheria lukuki na amevurunda? Au ukweli uhujui?Hoja yako imejibiwa ndani ya mada na paragraph hii;
"Tofauti ya wagombea wa upinzani na CCM ni kuwa wagombea wa CCM wanasimamiwa na wanasheria wa chama chao katika kujaza fomu kwa usahihi wakati wale wa upinzani wanajaza peke yao."