Kwanini waarabu huwa hawatatui migogoro yao?

Kwanini waarabu huwa hawatatui migogoro yao?

Status
Not open for further replies.
Waafrika ndio wabaya kuliko kiumbe yyt Duniani.
Kuuwana ni mila zetu tumerithi na hizo hatuziachi hata yesu akirudi kesho.

Na wewe kwa akili zako za tembo unadhani nimemtaja yesu wa msalabani wa kigalatia!

Basi we ndo mbulula kweli kweli

Ooops! Mtemi kaumbuka! wenzio washaona we ni "artadd 'an dinihi", kuua soo unatafuta pa kutokea wasije wakakupopoa mawe wenzio 🙂 unalo!
 
ni kweli jamaa wanapitia wakati mgumu sana lakini tuangalie kinachowamaliza nini? Ni tembo wanapambana na waarabu kama nyasi ndio wanaoathirika!

Kutokana na wao kuwa ni chanzo kikuu cha nishati ya mafuta wamejikuta wakigawanywa ili wasiweze kuwa na msimamo mmoja katika dunia hii na athari zinawaelekea zaidi kwa kuwa tembo (mataifa makubwa) wamekuwa wakipambana kujimilikisha nishati hiyo na wao waarabu kama nyasi ndio wanaoathika. Zamani kulikuwa na shirikisho la nchi zinazozalisha mafuta na lilikuwa linapanga bei ya mafuta lakini sasa hata vikao vyao sidhani kama vinakalika na wababe wanaamua kujipandishia bei na kila mmoja anatii.

Mambo yalianzia iraq kwa kuvamiwa na mmarekani na washirika wake nani angesema lolote hapo?

Libya ni mmarekani huyo huyo nani angesema lolote?

Syria inaathiriwa na mapambano ya marekani na urusi kwa marekani kutaka kuutoa utawala uliopo ili ipachike inaoutaka ili waweze kupeleka bomba la gesi ulaya kwa nia ya kudhibiti kiburi cha urusi! Urusi nae hataki utawala uliopo utoke ili bomba lisijengwe, umeona mchezo uliopo hapo?? Huyu anasaidia waasi huyu anasaidia serikali, ni mchezo mchafu saana ila ndiyo hivyo!

Iraq ya sasa nisiisemee maana naona kama kuna mengi sana nyuma ya pazia bado naendelea kufukunyua!

Afghansclodtan, marekani iliitumia kuitwanga russia alipomaliza yake ili kupoteza ushahidi kawavamia kawatwanga kawatawanya tawanya!

Kifupi hawa jama hawana nafasi ya kukaa pamoja tena kwa sababu wale wanaooneka kama threat kwa nchi kubwa basi huangamizwa haraka sana! Kila mmoja yupo busy kwa sasa kupambana na matatizo yao!

Hata afrika ninapoiangalia congo, nahisi kunasiku tz kuna ***** ***** zitaanza na siajabu kagame ndiye anatumiwa na nchi kubwa kufanya mambo ukanda huu
kuna mahali una analysis vizuri lakini kuna sehemu unaharibu.. anyway|
Mbona afrika tunahujumiwa kama wengine wanavyohujumiwa lakini hali ni tofauti?Kuna kitu kuhusu culture hapa mkuu
Unge-disclose mapema mkuu..
 
Ooops! Mtemi kaumbuka! wenzio washaona we ni "artadd 'an dinihi", kuua soo unatafuta pa kutokea wasije wakakupopoa mawe wenzio 🙂 unalo!

Yesu wa msalabani ANA LAANA.
Na hilo.sikusema mimi.

Biblia inasema YESU WENU KAALANIWA.

Sasa nauliza MWENYE LAANA YA MUNGU Ataingia PEPONI?
 
kwa experience yangu binafsi ya kuishi na watu wa Palesine an Israel, niligundua kuwa hawa ni watu wagumu sana ku-compromise.Yani kwao maisha ni their way or the highway. If it wasn't for me a humble Tanzanian, most of the time nothing would have gotten done.As i was the one who had to compromise on their behalf.
So, when it comes to conflict resolution, you will never find a solution.the whole world has conflicts, but those that are good at resolving them are the ones that appear peaceful.EUROPE took a long time to learn the virtue of compromise.Chinese are very good at compromising, to get what they want.Africans are mostly submissive, we hardly have any strong opinion of things. Americans are a mixed bunch,it all depends on who is incharge, u meet a hot headed texan like BUSH, you get IRAQ and AFGHANISTAN, u find a neutralized American like OBAMA, u get drones.
ha ha ha ha
 
Yesu wa msalabani ANA LAANA.
Na hilo.sikusema mimi.

Biblia inasema YESU WENU KAALANIWA.

Sasa nauliza MWENYE LAANA YA MUNGU Ataingia PEPONI?

"Kuuwana ni mila zetu tumerithi na hizo hatuziachi hata yesu akirudi kesho." Nukuu from Mtemi isike.

Umesema Kuuwana ni mila zenu mmerithi na hizo hamziachi hata yesu akirudi kesho.? It make sense somehow!
 
Lisa aka MaxShimba utumbo unaoandika kila mara haufichi uso wako hata kidogo.

We unaabudu kiumbe ALIYELAANIWA! hio kweli ni akili?

Au unakataa YESU kwa mujibu wa BIBLIA HAKULAANIWA? AKAFA LA LAANA?
 
Last edited by a moderator:
Ooops! Mtemi kaumbuka! wenzio washaona we ni "artadd 'an dinihi", kuua soo unatafuta pa kutokea wasije wakakupopoa mawe wenzio 🙂 unalo!

Yaani we kiumbe unapata tabu sana aisee.
Unaingia na jina la LISA. Halafu unaweka picha ya Mwanamke wa KIISLAMU aliyevaa Hijabu.
Unaandika utumbo halafu unaingia kwa jina la Schiendler halafu unajigongea "like"!

Tehe tehe tehe tehe!

Sasa taabu yote hii yanini? Hivi ni kipi hasa unachopata!
Mbona nguvu hizi ungeziingiza kwenye kujenga nchi saa hii tungekuwa mbali sana?

Yaani wagalatia akili zao ka tembo!
Yesu wangu weee!
 
Last edited by a moderator:
mgogoro umeshindwa kutatuliwa na wahusika na wahusika kukosa utamaduni wa kutatua migogoro hiyo si tiketi ya kuhamisha hoja.
Hoja ni waarabu kushindwa na kukosa utamaduni wa kutatua migogoro yao! Comparing inaruhusiwa ila mpaka uambiwe kufanya hivyo! Pale unapolinganisha kwa kutafuta mwanya wa kutokea si sahihi. Unaweza ku compare na ku contrast baada ya kujibu hoja ya msingi!
 
Yaani we kiumbe unapata tabu sana aisee.
Unaingia na jina la LISA. Halafu unaweka picha ya Mwanamke wa KIISLAMU aliyevaa Hijabu.
Unaandika utumbo halafu unaingia kwa jina la Schiendler halafu unajigongea "like"!
Tehe tehe tehe tehe!

Sasa taabu yote hii yanini? Hivi ni kipi hasa unachopata!
Mbona nguvu hizi ungeziingiza kwenye kujenga nchi saa hii tungekuwa mbali sana?

Yaani wagalatia akili zao ka tembo!
Yesu wangu weee!

Show me the patent for head scarves to Muslims 🙂 🙂 mmezikuta hizi msione tu our focus on spiritual rather than material is your advantage kujimilikisha.

By the way Kahtaan was banned and his/her words are comming out from mtemi isike. Wow are you guys same individual? or isike have received kahtaan's ayaz? 🙂

See the same resemblance below:

Unaingia na jina la LISA. Halafu unaweka picha ya Mwanamke wa KIISLAMU aliyevaa Hijabu. Unaandika utumbo halafu unaingia kwa jina la Schiendler halafu unajigongea "like"!

Then,

Mgalatia @macshimba kwanza kabla ya kuanza kukujibu na huo utumbo wako ulioweka hapo. Kwanini leo umeamua kuwa MWANAMKE!? Tena wa Kiislamu aliyevaa Hijabu Mwenye jina la Kikafiri?

Again on different topic,

Mgalatia max! Ukishaona maji ya shingo kwa wagalatia! Unabadili jina na kujanza utumbo mtupu usio husiana na Uzi.

Kwanza kila ukibanwa unachanganyikiwa na trauma ya maxshimba!! It don't bother me at all but it is strange to see you fear someone like that. Jibu hoja acha kulia lia kutafuta sympathy 🙂

Pili, what is thing with you and utumbo? You mention it so often, Are you doing some rituals with involves utumbo? (ngama thing u know) .. I can see your fear.

Ohh and you mention tembo? that is kahtaan's senseless understanding of the idiom.

Yaani wagalatia akili zao ka tembo!
Yesu wangu weee!

lets see what kahtaan said very same words on topic "Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania"

Mgalatia always akili yake ni kama tembo!

hijab ni neno LA KIARABU! kwa kiingereza ni "HEAD SCALF"

And then, tembo again

Halafu mlivokuwa na akili za tembo bado mnapeleka watoto wenu kwa hao hao Mapadri na wale wabakaji eti Wakasamehewe madhambi na Kuombewa!

Ooops, isike umeumbuka tena 🙂 you are the "banned" kahtaan. ooohohoho!

But what does that mean when someone refers to you as elephant?

Elephants are amongst the world's most intelligent species. "To have a memory like an elephant" means to be very good at remembering things because Elephants are believed to have good memories. But if he/she refers to you as a "donkey" that might be he means total idiot. Same goes to "misukule"-brainless human creatures as Nkwesa Makambo would have put it.
 
Udini pembeni...maishani nimekuwa karibu na wapalestina wawili...yani ni watata sana...wanapenda conflict hata pasipo na conflict na ni wabinafsi hajabu; ...sijuhi kama ni wote wako hivi au hawa nilokutana nao mie...kila siku wanalalamika tuuuuuu mpaka watu wamewazoea (hawalalamikii Israel, mambo ya maisha ya kila siku)...

Labda maisha/mazingira yamewafundisha kuwa resistant wa kila kitu...

kwa experience yangu binafsi ya kuishi na watu wa Palesine an Israel, niligundua kuwa hawa ni watu wagumu sana ku-compromise.Yani kwao maisha ni their way or the highway. If it wasn't for me a humble Tanzanian, most of the time nothing would have gotten done.As i was the one who had to compromise on their behalf.
So, when it comes to conflict resolution, you will never find a solution.the whole world has conflicts, but those that are good at resolving them are the ones that appear peaceful.EUROPE took a long time to learn the virtue of compromise.Chinese are very good at compromising, to get what they want.Africans are mostly submissive, we hardly have any strong opinion of things. Americans are a mixed bunch,it all depends on who is incharge, u meet a hot headed texan like BUSH, you get IRAQ and AFGHANISTAN, u find a neutralized American like OBAMA, u get drones.
 
Udini pembeni...maishani nimekuwa karibu na wapalestina wawili...yani ni watata sana...wanapenda conflict hata pasipo na conflict na ni wabinafsi hajabu; ...sijuhi kama ni wote wako hivi au hawa nilokutana nao mie...kila siku wanalalamika tuuuuuu mpaka watu wamewazoea (hawalalamikii Israel, mambo ya maisha ya kila siku)...

Labda maisha/mazingira yamewafundisha kuwa resistant wa kila kitu...

Hahahaaa, wewe kweli umeishi nao hawa jamaa, Israelis are almost a Cabon copy, Sababu kubwa hawapatani nadhani ni kuwa wanafanana sana tabia. Kama ulivyosema, ni watata sana.
 
Where is the condemnation and international outrage at the killing of innocent women and children by ISIS militants just for being Christian?

Nassar F. Nasralha added 3 new photos.
The bright achievements of the Muslims the followers of the religion of peace, love and kindness......!!
Short while ago the ISIS in Mosul (Nineveh) massacred with cool blood these innocent Christian women and Children for nothing just because they are Christians....
Where is the international community from all of that...??? Where is the western and American media from all of that...??? Where is Obama, Kerry, Ashton, Ban Ki Moon and Navi Pilay from all of that.....?? is this not a war crime against the humanity....?? They are only busy in accusing and condemning Israel for defending itself against the Islamic terrorism....
GO IDF AND CRUSH THE MUSLIM TERRORISTS AND SHOW THEM NO MERCY...!!

Roho za paka na kutokubali kujishusha kwa dhana ya kuonekana wadhaifu na hawa wenzetu huwa wanahisi mda wote wanaonewa tu
 
Show me the patent for head scarves to Muslims 🙂 🙂 mmezikuta hizi msione tu our focus on spiritual rather than material is your advantage kujimilikisha.

By the way Kahtaan was banned and his/her words are comming out from mtemi isike. Wow are you guys same individual? or isike have received kahtaan's ayaz? 🙂

See the same resemblance below:

Then,

Again on different topic,

Kwanza kila ukibanwa unachanganyikiwa na trauma ya maxshimba!! It don't bother me at all but it is strange to see you fear someone like that. Jibu hoja acha kulia lia kutafuta sympathy 🙂

Pili, what is thing with you and utumbo? You mention it so often, Are you doing some rituals with involves utumbo? (ngama thing u know) .. I can see your fear.

Ohh and you mention tembo? that is kahtaan's senseless understanding of the idiom.

lets see what kahtaan said very same words on topic "Uvaaji wa hijab kwa wanafunzi wa sekondari Tanzania"

And then, tembo again

Ooops, isike umeumbuka tena 🙂 you are the "banned" kahtaan. ooohohoho!

But what does that mean when someone refers to you as elephant?

Elephants are amongst the world's most intelligent species. "To have a memory like an elephant" means to be very good at remembering things because Elephants are believed to have good memories. But if he/she refers to you as a “donkey” that might be he means total idiot. Same goes to “misukule”-brainless human creatures as Nkwesa Makambo would have put it.

We MaxShimba wacha uhuni hapa.
Unajigongea like kama mtoto mdogo asie na aibu.
Grow up wewe. Hebu nionyeshe hio hijabu kama imo kwenye biblia.

Umeshawahi kuona KAFIRI kavaa km hio avatar yako.?

Dume zima linajiita LISA.
 
Last edited by a moderator:
Yesu wa msalabani ANA LAANA.
Na hilo.sikusema mimi.

Biblia inasema YESU WENU KAALANIWA.

Sasa nauliza MWENYE LAANA YA MUNGU Ataingia PEPONI?

Astaghfirullah, yaani hata kusoma lugha nyepesi za Biblia umeshindwa kama Jibril na mtume wake Mwamedi. Huu ni msiba kwenu.

Labda nitumia lugha ya Wadhugu maana hata Muhammad alijiita Mzungu.

Galatians 3:13 Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us: for it is written, Cursed is every one that hangeth on a tree:

Kamuulize Imam wako nini maaya ya maeno kwenye black bold.

In Hadith no.63,vol 1, it says: "When a man arrived at the mosque, he asked, "who amongst you is Muhammad?" The companions of the prophet replied "THIS WHITE MAN RECLINING ON HIS ARM".​
In Hadith no.122, vol 2 and in vol 2 Hadith no. 141, when Muhammad raised his arms in prayer, it tells us that 'The WHITENESS of his armpits became visible". The Hadith vol 1, no. 367 tells us that Anas, one of Muhammad's trusted companions "saw the WHITENESS of the penis of Allah's prophet".

Sasa Muulize Nabii wako hivi. Alikuwa anafanya nini mpaka vijana wake wakaona Libido ya Nabii wa Allah?
​
 
We MaxShimba wacha uhuni hapa.
Unajigongea like kama mtoto mdogo asie na aibu.
Grow up wewe. Hebu nionyeshe hio hijabu kama imo kwenye biblia.

Umeshawahi kuona KAFIRI kavaa km hio avatar yako.?

Dume zima linajiita LISA.

Hii NDIO MNAYO VAA wakati wa kufunga ndoa. Huyo ni Aunty Muddy and Aunty Bakkar, wamesha fanya yao kutokana na utamaduni wenu. ASU SIO
10527541_600569770062583_1018751308920181115_n.jpg
 
Hivi mnapata hasara gani mkiacha ku discuss dini za watu...acheni kusambaza chuki za kidini...zikiingia kwenye damu ya wa Tz hatutakaa tuwe na amani....kuweni sensitive na mnayoandika hasa ikiwa kuhusu dini iso yako...
 
We MaxShimba wacha uhuni hapa.
Unajigongea like kama mtoto mdogo asie na aibu.
Grow up wewe. Hebu nionyeshe hio hijabu kama imo kwenye biblia.

Umeshawahi kuona KAFIRI kavaa km hio avatar yako.?

Dume zima linajiita LISA.

Mtoto mdogo asiye na aibu una maana Aisha? Kaona mambo mazito yule akiwa na miaka 8 tu. 🙂

hadha hu m'uqhishil.
 
Astaghfirullah, yaani hata kusoma lugha nyepesi za Biblia umeshindwa kama Jibril na mtume wake Mwamedi. Huu ni msiba kwenu.

Labda nitumia lugha ya Wadhugu maana hata Muhammad alijiita Mzungu.

Galatians 3:13 Christ hath redeemed us from the curse of the law, being made a curse for us: for it is written, Cursed is every one that hangeth on a tree:
[/SIZE][/FONT][/INDENT]

Usijifanye kuandika KISWAHILI kuficha LAANA.

BIBLIA INASEMA

Yesu mwenyewe ALIKATAA KUFA KIFO CHA LAANA.

MATHAYO 26: 42

Akaenda tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe.-

Lkn yule mkuda yehw akampigilia misumari bila hiari yake!

Shetani sana yule.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom