Kwanini waarabu huwa hawatatui migogoro yao?

Status
Not open for further replies.

Gambamala

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
1,045
Reaction score
766
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa nchi za kiarabu zinapitia wakati mgumu sana wa machafuko.

Lakini sijawahi kuona nchi za kiarabu zinasaidiana kutatua matatizo ya wao kwa wao. Mfano yalitokea machafuko Libya, Yemen, Syria lakini sijawahi kuona kama kuna jeshi la nchi za kiarabu limepelekwa kule kulinda amani kama tunavyoona kwa majeshi ya umoja wa Africa na Ulaya (NATO).

Wao utaona wameitishana na kufanya vikao lakini baada ya hapo kimya, sanasana utaona wanaomba umoja wa mataifa waingilie, au Marekani, kama Saudi Arabia walivyoiomba marekani baada ya watu kuuawa kwa sumu Syria.

Kwanini huwa hawatatui migogoro yao wenyewe?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa nchi za kiarabu zinapitia wakati mgumu sana wa machafuko. Lakini sijawahi kuona nchi za kiarabu zinasaidiana kutatua matatizo ya wao kwa wao. Mfano yalitokea machafuko Libya, Yemen, Syria lakini sijawahi kuona kama kuna jeshi la nchi za kiarabu limepelekwa kule kulinda amani kama tunavyoona kwa majeshi ya umoja wa Africa na Ulaya (NATO). Wao utaona wameitishana na kufanya vikao lakini baada ya hapo kimya, sanasana utaona wanaomba umoja wa mataifa waingilie, au Marekani, kama Saudi Arabia walivyoiomba marekani baada ya watu kuuawa kwa sumu Syria. Kwanini huwa hawasaidiani?

Hawasaidiani ukilinganisha na nani? SiSi Waafrika, Wajapani, Wazungu, Wachina, ebu funguka vizuri!

Exactly, sisi waafrica tunajitahidi. Iko mifano mingi ya Waafrica kutuma majeshi yao, mfano Sudan, Somalia, Congo, Comoro nk

Amka wewe! Aliyekwambia hayo majeshi yanayotumwa huko Sudani, Kongo, Somalia ni kwa ajili ya kutatua Matatizo ya Waafrika ni nani? Ulisha sikia kitu kinaitwa proxy war?

Kama bado ni kwamba Majeshi yote ya nchi zetu za Kiafrika yanayotumwa kwenda kupigana Vita nchi nyingine pamoja na ya kwetu (TZ) yanafadhiliwa kwa 100% na Wageni aidha Wamarekani, Waulaya Wasia au hata Waarabu kwa maana nyingine tunakwenda kupigana vita ya Watu wengine, kwa mfano Kongo Marekani ndio wametulipa fedha ili kwenda kulinda maslahi yao huko na kuendelea kuiba Malighafi za Kongo, Kenya wako Somalia SIYO kwa ajili ya kusaidia Somalia La hasha, wako huko kwa kuwa Marekani na Wazungu wamewalipa fedha ili kufanya hiyo Proxy war, Vita inayoendela Sudani Kusini inafadhiliwa na Marekani na Uchina wote wakiwa na lengo hilo hilo kuiba Mafuta ya Sudani Kusini...

Hivyo kufikiria kwamba SiSi Waafrika tuna afadhali kuliko Waarabu ni kujidanganya kuliko pitiliza, usisahau sisi (Umoja wa Afrika) ndio tulikubali Ufaransa na Umoja wa Ulaya wavamie Ivory Coat, Mali, Afrika ya Kati n.k
 
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa nchi za kiarabu zinapitia wakati mgumu sana wa machafuko. Lakini sijawahi kuona nchi za kiarabu zinasaidiana kutatua matatizo ya wao kwa wao. Mfano yalitokea machafuko Libya, Yemen, Syria lakini sijawahi kuona kama kuna jeshi la nchi za kiarabu limepelekwa kule kulinda amani kama tunavyoona kwa majeshi ya umoja wa Africa na Ulaya (NATO). Wao utaona wameitishana na kufanya vikao lakini baada ya hapo kimya, sanasana utaona wanaomba umoja wa mataifa waingilie, au Marekani, kama Saudi Arabia walivyoiomba marekani baada ya watu kuuawa kwa sumu Syria. Kwanini huwa hawatatui migogoro yao wenyewe?
Nchi za kiarabu ni sehemu pia ya majeshi ya UN.
 
Ni kweli jamaa wanapitia wakati mgumu sana lakini tuangalie kinachowamaliza nini? Ni tembo wanapambana na Waarabu kama nyasi ndio wanaoathirika!

Kutokana na wao kuwa ni chanzo kikuu cha nishati ya mafuta wamejikuta wakigawanywa ili wasiweze kuwa na msimamo mmoja katika dunia hii na athari zinawaelekea zaidi kwa kuwa tembo (mataifa makubwa) wamekuwa wakipambana kujimilikisha nishati hiyo na wao Waarabu kama nyasi ndio wanaoathika. Zamani kulikuwa na shirikisho la nchi zinazozalisha mafuta na lilikuwa linapanga bei ya mafuta lakini sasa hata vikao vyao sidhani kama vinakalika na wababe wanaamua kujipandishia bei na kila mmoja anatii.

Mambo yalianzia Iraq kwa kuvamiwa na Mmarekani na washirika wake nani angesema lolote hapo?

Libya ni Mmarekani huyo huyo nani angesema lolote?

Syria inaathiriwa na mapambano ya Marekani na Urusi kwa Marekani kutaka kuutoa utawala uliopo ili ipachike inaoutaka ili waweze kupeleka bomba la gesi Ulaya kwa nia ya kudhibiti kiburi cha Urusi! Urusi nae hataki utawala uliopo utoke ili bomba lisijengwe, umeona mchezo uliopo hapo?? Huyu anasaidia waasi huyu anasaidia serikali, ni mchezo mchafu saana ila ndiyo hivyo!

Iraq ya sasa nisiisemee maana naona kama kuna mengi sana nyuma ya pazia bado naendelea kufukunyua!

Afghanstan, Marekani iliitumia kuitwanga Russia alipomaliza yake ili kupoteza ushahidi kawavamia kawatwanga kawatawanya tawanya!

Kifupi hawa jama hawana nafasi ya kukaa pamoja tena kwa sababu wale wanaooneka kama threat kwa nchi kubwa basi huangamizwa haraka sana! Kila mmoja yupo busy kwa sasa kupambana na matatizo yao!

Hata Afrika ninapoiangalia Congo, nahisi kunasiku TZ kuna ***** ***** zitaanza na siajabu Kagame ndiye anatumiwa na nchi kubwa kufanya mambo ukanda huu
 
Usisahau kwamba Majeshi yetu yalienda Kongo kwa maagizo ya wazungu (Marekani na Umoja wa Ulaya) hivyo kusema kwamba Kagame peke yake ndiyo anatumiwa na Watu wanje SIO KWELI, ukweli ni kwamba hata sisi t--------- PIA kwani hatuna uwezo kufadhili Jeshi letu kwenda Nchi nyingine kulete Amani, Kagame anatumia na SISI Pia kupitia Kikwete t--------- kuharibu Bara letu.

K
umbuka Kikwete alialikwa Ufaransa akapewa red carpet na kuruhuhu Ufaransa (Umoja wa Ulaya) kuvamia Mali,Niga, Afrika ya Kati, sasa kama unafikiri Ufaransa na Umoja wa Ulaya walipeleka majeshi kwa gharama ya walipa kodi wao huko Mali, Afrika ya Kati, Niga, n.k ni kwa sababu ya wao kupata thawabu kwa Mungu kwa kutenda mema basi na iwe hivyo...
 
Yaah! Nimemtolea mfano Kagame coz ndiye anaonekana kama anaimamia uasi eneo hili but nchi nyingi duniani husimamia uasi kwa maslahi yao.

Mfano mzuri ni kwamba sehemu yoyote yenye resources muhimu na nyingi hakuna amani hata kidogo kama ambavyo nchi za Kiarabu zinateseka na neema ya mafuta waliyonayo na Congo inavyoteseka na neema ya copper waliyonayo.
 
Kwa ufupi wamekubali US i divide and rule...nakubali US ina power na influence kwa nchi nyingine kama za Africa...lakini ikija kwa nchi za Kiarabu wana urafiki mkubwa na wa mashaka...US hawezi kuweka vikwazo Saudia hata apewe pressure vipi kwa kuwa anamuhitaji ili aweze ku control nchi nyingine za Kiharabu...kwa ufupi waharabu wanauzana/ wabinafsi sana...

Na hilo linawafanya waone bora walindwe na mzungu kuliko mwarabu mwenzao pindi kunapotokea machafuko...kwa sababu wanajuana vizuri unafiki wao...
 
Ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa nchi za kiarabu zinapitia wakati mgumu sana wa machafuko. Lakini sijawahi kuona nchi za kiarabu zinasaidiana kutatua matatizo ya wao kwa wao. Mfano yalitokea machafuko Libya, Yemen, Syria lakini sijawahi kuona kama kuna jeshi la nchi za kiarabu limepelekwa kule kulinda amani kama tunavyoona kwa majeshi ya umoja wa Africa na Ulaya (NATO). Wao utaona wameitishana na kufanya vikao lakini baada ya hapo kimya, sanasana utaona wanaomba umoja wa mataifa waingilie, au Marekani, kama Saudi Arabia walivyoiomba marekani baada ya watu kuuawa kwa sumu Syria. Kwanini huwa hawatatui migogoro yao wenyewe?

Mataifa ya kiarabu hayapendani, hakuna nchi zisizopendana duniani kama waraabu. ndio maana wakati fulani Gaddafi aliachana na waarabu wenzake na kuunganaa na waafrica. utashangaa mashambulizi yanayoendelea sasa ya gaza yanapingwa ulaya lakini waarabu wako kimya.
 
Kuna msemo unasema "nyani haoni Kundule"!

We unaenda kuwatazama WAARABU matajiri ambao wameshona neema za Mungu mpaka wanafanya fujo
Wakati majira zetu WANYARWANDA Wamechinjana hapo kama Kuku na hakuna MTU MWEUSI HATTA MMOJA kaenda kuwasaidia.
Na istoshe wale waliokimbia na kuingia nchi zetu kujihifadhi TUMEWAKAMATA NA KUWARUDISHA Kwao WAKAFE MBELE!

Halafu bila Kuona hata haya unataja NATO na OAU.

Yale machafuko yaliotikea BOSNIA na Raia ZAIDI ya laki kadhaa KUUWAWA na Serikali yao Na hivi sasa UKRAINE hio NATO Iko likizo?

Msiwe akili KUAMBIWA.
Mkakosa kutumia vichwa kufikiri, watoto wenu watakosa muongozo bora.
 
Mataifa ya kiarabu hayapendani, hakuna nchi zisizopendana duniani kama waraabu. ndio maana wakati fulani Gaddafi aliachana na waarabu wenzake na kuunganaa na waafrica. utashangaa mashambulizi yanayoendelea sasa ya gaza yanapingwa ulaya lakini waarabu wako kimya.

Bangi kitu kibaya sana.

We aliyekwambia Gadafi alikuwa na NCHI YA KIARABU ni nani?

Hivi we hata shule ya msingi umemaliza kweli?

LIBYA iko Arabuni?

Ghazza Inapigwa na kina nani kama sio hao MAKAFIRI wa Huko huko unakosema eti WANAPINGA!
Hujui usemalo, unahorojeka tu na kuwasifu Makafiri wauwaji kuwa ni Waungwana

Hii ndio athari ya Mfumo kristo.
Always mnawaona Wazungu ni bira hata km ni wauwaji.
 
Exactly, sisi waafrica tunajitahidi. Iko mifano mingi ya Waafrica kutuma majeshi yao, mfano Sudan, Somalia, Congo, Comoro nk

Mlikuwa wapi wakati wahutu wanachinja watutsi?

Basi bora uropoke tu!

Waafrika ndio wabaya kuliko kiumbe yyt Duniani.
Kuuwana ni mila zetu tumerithi na hizo hatuziachi hata yesu akirudi kesho.
 
Mtoa madaa umelala nadhani Tel Aviv jana au vipi, ukaona vipi Missile za Hamas zinavyo wamaliza wa Israel, kama wanavyo ficha Israel wameuliwa wangapi, Hamas anajua wazi waIsrael wamekufa wengi zaidi ya wa Palestin.

Tukirudi kwanini nimesema vile, wewe Mwafrika nchi zenu zinamatatizo ngapi, mbona hamjamaliza matatizo yenu hamalizi wenyewe kwa wenyewe, na nchi zenu nyingi ninjaa tu, wakati Mungu kawapeni utajiri kuliko nchi zote duniani, kwanini ujajiuliza hayo!

Tukirudi kwenye mada, hivi Oman ni nchi ya Europe au East Africa. mbona ilimaliza matatizo yake bila kuomba msaada wa nchi yoyote ile.
 
Bangi kitu kibaya sana.

We aliyekwambia Gadafi alikuwa na NCHI YA KIARABU ni nani?

Hivi we hata shule ya msingi umemaliza kweli?

LIBYA iko Arabuni?

Ghazza Inapigwa na kina nani kama sio hao MAKAFIRI wa Huko huko unakosema eti WANAPINGA!
Hujui usemalo, unahorojeka tu na kuwasifu Makafiri wauwaji kuwa ni Waungwana

Hii ndio athari ya Mfumo kristo.
Always mnawaona Wazungu ni bira hata km ni wauwaji.

Nadhani wewe unaugua ugonjwa wa Islamophobia, mbona sasa hivi nchi za Wakristu (kafir) ndio wanaoandamana kupinga mashambulizi ya Parestina?, wakati huo nchi za kiislam zimetulia?
 
Unaposema neno "Mwarabu" kwa maana nyingine ni nickname ya neno "Mwislam" mdio maana waabudu waarabu hapa wamekua juu
 
nilikuwa nashangaa ghafla nimeona neno kafiri, kumbe ni sababu hiyo?
 
Nadhani wewe unaugua ugonjwa wa Islamophobia, mbona sasa hivi nchi za Wakristu (kafir) ndio wanaoandamana kupinga mashambulizi ya Parestina?, wakati huo nchi za kiislam zimetulia?

We unafahamu idadi ya WAKRISTO wanaoishi GAZA?

Gaza ona wakazi 1.5 million, sasa hata kama kuna WAKRISTO 50,000 tu! Haitoshi kwa makanisa KUPIGA KELELE?

Au umeamua kuropoka tu!

We hufahamu kuwa Hata hao wanaoandamana nchi za magharibi NI WAISLAMU?

Halafu unafahamu maana ya "ISLAMOPHOBIA"? Au umeamua kuchomeka neno bila kujua hata maana yake.

Na hili ndio tatizo la kujadili watu wasio na Elimu au weledi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom