Kwanini waarabu huwa hawatatui migogoro yao?

Status
Not open for further replies.
Hii NDIO MNAYO VAA wakati wa kufunga ndoa. Huyo ni Aunty Muddy and Aunty Bakkar, wamesha fanya yao kutokana na utamaduni wenu. ASU SIO
10527541_600569770062583_1018751308920181115_n.jpg

DADA LISA unesahau ile picha ya kamanda wa majeshi iliotokea kwenye sehemu nyeti za mbwa!?
Au nikuwekee hapa uione?
 
Mtemi isike aka kahtaan ni "mtwana" wa waarabu, ataua mpaka ndugu zake ukiwagusia waarabu na anataka kutujumuisha katika dhambi nzito ya uuaji akijaribu kutuaminisha "waafrika ndivyo tulivyo" ingawa hii ni hulka yake binafsi.

Kuna msemo unasema "nyani haoni Kundule"!

We unaenda kuwatazama WAARABU matajiri ambao wameshona neema za Mungu mpaka wanafanya fujo
Wakati majira zetu WANYARWANDA Wamechinjana hapo kama Kuku na hakuna MTU MWEUSI HATTA MMOJA kaenda kuwasaidia.
Na istoshe wale waliokimbia na kuingia nchi zetu kujihifadhi TUMEWAKAMATA NA KUWARUDISHA Kwao WAKAFE MBELE!

He! unaweza kushona neema mpaka ufanye fujo?? majnun?

Anadai kuuana ni mila yake,

Waafrika ndio wabaya kuliko kiumbe yyt Duniani.
Kuuwana ni mila zetu tumerithi na hizo hatuziachi hata yesu akirudi kesho.

Anamaanisha na historia inatuthibitishia kwa ufupi:

Mtemi isike alitawala kuanzia mwaka 1885, yeye alikuwa mtoto wa Mtemi Kiyungi kama alivyokuwa Kalonga ambaye aliwaua nduguze wa tumbo la Fundikira ili tumbo la Kiyungi litawale kwa nafasi bila kuingiliwa na tumbo la Fundikira. Kalonga kwa mara nyingine tena alimshawishi kaka yake Isike wawaue tumbo la Fundikira ili wajihakikishie utawala utabaki katika tumbo lao la Kiyungi.

Mtemi Isike alikubali ndipo akapanga mipango na wazee (wanikulu) wamwite Nyanso Binti Fundikira toka kwake Ndevelwa na akifika Ikulu ya Itetemya wamuue, wakachimba shimo na wakachomeka mikuki na miti yenye ncha kali ndani yake kisha wakaliwekea fito nyembamba kwa juu na kulifunika kwa majani wakaweka kiti juu yake ili atakapokuja Nyanso wamkaribishe akae katika kiti hicho atumbukia shimoni ili mikuki imchome mpaka afe.

Muuaji mkubwa huyu, usiwaseme waarabu nabtal akiwa karibu yako.
 
Mtemi isike aka kahtaan ni "mtwana" wa waarabu, ataua mpaka ndugu zake ukiwagusia waarabu na anataka kutujumuisha katika dhambi nzito ya uuaji akijaribu kutuaminisha "waafrika ndivyo tulivyo" ingawa hii ni hulka yake binafsi.

He! unaweza kushona neema mpaka ufanye fujo?? majnun?

Anadai kuuana ni mila yake,

Anamaanisha na historia inatuthibitishia kwa ufupi:

Mtemi isike alitawala kuanzia mwaka 1885, yeye alikuwa mtoto wa Mtemi Kiyungi kama alivyokuwa Kalonga ambaye aliwaua nduguze wa tumbo la Fundikira ili tumbo la Kiyungi litawale kwa nafasi bila kuingiliwa na tumbo la Fundikira. Kalonga kwa mara nyingine tena alimshawishi kaka yake Isike wawaue tumbo la Fundikira ili wajihakikishie utawala utabaki katika tumbo lao la Kiyungi.

Mtemi Isike alikubali ndipo akapanga mipango na wazee (wanikulu) wamwite Nyanso Binti Fundikira toka kwake Ndevelwa na akifika Ikulu ya Itetemya wamuue, wakachimba shimo na wakachomeka mikuki na miti yenye ncha kali ndani yake kisha wakaliwekea fito nyembamba kwa juu na kulifunika kwa majani wakaweka kiti juu yake ili atakapokuja Nyanso wamkaribishe akae katika kiti hicho atumbukia shimoni ili mikuki imchome mpaka afe.

Muuaji mkubwa huyu, usiwaseme waarabu nabtal akiwa karibu yako.

Wacha rusha roho we MaxShimba.
Mwanamme kuvaa HIJABU ni dalili mbaya sana kijana.

Hivi mamako mzazi akikuona unavaa hivyo si atakuachia razi?

Hivi makafiri kwaninj wanakuwa hawana aibu?
Hivi we umeshaolewa au bado unatafuta mchungaji wa kuchuna.
 
Last edited by a moderator:

Umechemsha! 🙂 🙂

Hata Muhammad nae alikuwa anasahau aya na alowafundisha ndo wanamkumbusha 🙂 Ndo ukawa mwanzo wa kughushi (tahreef)

[SUP]"Allah's Apostle heard a man reciting the Qur'an at night, and said, "May Allah bestow His Mercy on him, as he has reminded me of such-and-such Verses of such-and-such Suras, which I was caused to forget."" - Sahih Bukhari 6:61:558[/SUP]
 
Forgetful is a human nature.

Na Muhammad swalalahu alaihi wasallam was JUST A HUMAN BEING.

Sio nyie mnadanganya watu kuwa yesu ni mungu wakati aloenda haja kubwa na ndogo.

Yaani we mungu wako anakunya!

Nyie watu hatari sana kuharibikiwa.
 
sasa Allah ambae ni jinn chakula chake wakijua? 🙂
 
Last edited by a moderator:
Ynetnews
@ynetnews 21s
More than 50 Israeli
reservists refuse to serve -
ift.tt/1ngkh1g
 
Usijifanye kuandika KISWAHILI kuficha LAANA.

BIBLIA INASEMA

Yesu mwenyewe ALIKATAA KUFA KIFO CHA LAANA.

MATHAYO 26: 42

Akaenda tena mara ya pili, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwa haiwezekani kikombe hiki kiniepuke nisipokunywa, mapenzi yako yatimizwe.-

Lkn yule mkuda yehw akampigilia misumari bila hiari yake!

Shetani sana yule.
Ask Allah to teach a better language @Khataan
 
Kwanini swali rahisi namna hii lkn linakuwa Gumu kujibu?

Basi na mimi nijifanye sijui kuwa wewe ndio Lisa!

Nakuuliza je! LISA ana bwana?
 
bado anatafuta.

Huyu MaxShimba aka Schiendler kabadili ngozi za kila aina na zote zimelegea.
Safari hii kaingia na Sura YA MWANAMKE WA KIISLAMU Aliyevaa HIJABU!
Halafu anadai kuwa Eti na wao MAKAFIRI Huwa Wanavaa Hijabu!

Sasa mwaname kuwa Tabia za namna hii si HATARI kweli?
Au vipi.
 
Heheheh! safari hii? Lisa Valentine nimekukamua ngama nakutoa kamasi. Hapa umegota kahtaan 🙂 Kasubiri iftar 🙂
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom