Kwanini waarabu huwa hawatatui migogoro yao?

Kwanini waarabu huwa hawatatui migogoro yao?

Status
Not open for further replies.
Huyu MaxShimba aka Schiendler kabadili ngozi za kila aina na zote zimelegea.
Safari hii kaingia na Sura YA MWANAMKE WA KIISLAMU Aliyevaa HIJABU!
Halafu anadai kuwa Eti na wao MAKAFIRI Huwa Wanavaa Hijabu!

Sasa mwaname kuwa Tabia za namna hii si HATARI kweli?
Au vipi.

Hhahahahah! mbona unaweweseka? We mwanaume? hebu nionyeshe hicho kinachokufanya udhani we mwanaume 🙂
 
Serikali ya Kenya ina habari zako. Kuolewa Tanzania ili kujificha wala hujafanya lolote. Eyes on your moves 🙂

we kweli hauko sawa,jitahidi utibiwe asee,kuna nati zimelegea kichwani mwako,muone doctor wa mifugo kabla hali haijawa mbaya.
 
mh,mchungaji badilisha hiyo ID bana,huoni aibu?
Naona Makafir mmeshindwa mada sasa mmebakia kuonyesha ule tamaduni wenu wa low self esteem. Mnasema vitu ambavyo havina ushaidi zaidi ya kuonyesha paranoia.

Wacha mfundishwe adabu na Mtaalamu Lisa,
 
we kweli hauko sawa,jitahidi utibiwe asee,kuna nati zimelegea kichwani mwako,muone doctor wa mifugo kabla hali haijawa mbaya.

Ngamia au Punda? Wenzio wanakula iftar sasa hivi au we hujafunga? Basi hata kumuandalia mumeo nayo tabu? emr'aa qasul shaddah! Remember "eyes on your moves though" every and each step.
 
Ngamia au Punda? Wenzio wanakula iftar sasa hivi au we hujafunga? Basi hata kumuandalia mumeo nayo tabu? Remember "eyes on your moves though" every and each step.

hayo matusi ya kishamba sana max yaani hayana mvuto
 
and now while we are at it lets do some updating though it may catapult this thread into trash can.
Three Israel paratroops killed
in Gaza Wednesday
The IDF lost three paratroopers
in an explosion in the Gaza
Strip Wednesday. They are: Lt.
Paz Eliahu, 22, from Evron; 1st
Sgt. Shachar Dover, 20, from
Ginegar; and Lee Matt, 19, from
Eilat. Seven of their comrades
were wounded, three
seriously, and evacuated under
fire. Israel has lost a total of 32
fallen officers and men in the
Gaza Operation.
 
amka wewe! aliyekwambia hayo majeshi yanayotumwa huko sudani, kongo, somalia ni kwa ajili ya kutatua matatizo ya waafrika ni nani? Ulisha sikia kitu kinaitwa proxy war?

kama bado ni kwamba majeshi yote ya nchi zetu za kiafrika yanayotumwa kwenda kupigana vita nchi nyingine pamoja na ya kwetu (tz) yanafadhiliwa kwa 100% na wageni aidha wamarekani, waulaya wasia au hata waarabu kwa maana nyingine tunakwenda kupigana vita ya watu wengine, kwa mfano kongo marekani ndio wametulipa fedha ili kwenda kulinda maslahi yao huko na kuendelea kuiba malighafi za kongo, kenya wako somalia siyo kwa ajili ya kusaidia somalia la hasha, wako huko kwa kuwa marekani na wazungu wamewalipa fedha ili kufanya hiyo proxy war, vita inayoendela sudani kusini inafadhiliwa na marekani na uchina wote wakiwa na lengo hilo hilo kuiba mafuta ya sudani kusini...

Hivyo kufikiria kwamba sisi waafrika tuna afadhali kuliko waarabu ni kujidanganya kuliko pitiliza, usisahau sisi (umoja wa afrika) ndio tulikubali ufaransa na umoja wa ulaya wavamie ivory coat, mali, afrika ya kati n.k

leo umekuwa objective,
 
hayo matusi ya kishamba sana max yaani hayana mvuto

I am not max or Schiendler or any you said. I am Lisa Valentine, Well, thought you can stand them coz you jumped on it! (Hamna tusi hapo) now stop whining and rush to the kitchen.
 
I am not max or Schiendler or any you said. I am Lisa Valentine, Well, thought you can stand them coz you jumped on it! (Hamna tusi hapo) now stop whining and rush to the kitchen.

a woman doesnt talk that way sir,stop kidding.
 
Exactly, sisi waafrica tunajitahidi. Iko mifano mingi ya Waafrica kutuma majeshi yao, mfano Sudan, Somalia, Congo, Comoro nk
je uko amani huko ? mbona waafrika kwa migogoro ya ndani ndio tumeoza - kila kona kuna matatizo
 
Waarabu ni watu walitakiwa wawe mbali sana kimaendeleo na teknolojia pia lakini wameshindwa kabisa kujisimamia wazungu wakawaweka mfukoni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom