Kwanini vijana wengi wa kitanzania wanalalamika maisha magumu!

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
Wakuu
husikeni na kichwa tajwa hapo juu hii hali inanishangaza
je wanashindwa kujiajiri au shida ni nini?
kwa ujumla tutoe mawazo ili baadae yatusaidie kupata solution ya hili tatizo because mimi naamini ukiamua kujiajiri hata bila mtaji wa kuanzia unaweza kwa kufanya huduma au vibarua then ukapata pesa ya kuanzia maisha so huwa nashindwa kuelewa ni kwanini vijana wengi wanalalamika sana
 
Tangu ukoloni watu walikuwa wakilalamika hivyohivyo tu so Hakuna LA maana wanalalamika ila maisha yanaendelea wajanja wanajichanganya wazembe wanabaki.
 
Wakuu
husikeni na kichwa tajwa hapo juu hii hali inanishangaza
je wanashindwa kujiajiri au shida ni nini?
kwa ujumla tutoe mawazo ili baadae yatusaidie kupata solution ya hili tatizo because mimi naamini ukiamua kujiajiri hata bila mtaji wa kuanzia unaweza kwa kufanya huduma au vibarua then ukapata pesa ya kuanzia maisha so huwa nashindwa kuelewa ni kwanini vijana wengi wanalalamika sana
Sio vijana tu hata wazee wanalalamika ni kwasababu tumezoea vitu vya bure kutoka serikalini yani mtu anaona kila kitu afanyiwe na serikali yeye kazi yake kufyatua watoto clinic, shule hospitali ni bure
 
Sio vijana tu hata wazee wanalalamika ni kwasababu tumezoea vitu vya mbure kutoka serikalini yani mtu anaona kila kitu afanyiwe na serikali yeye kazi yake kufyatua watoto clinic shule ni bure
😂😂😂
 
Sio vijana tu hata wazee waliostaafu hawanaga span life ndefu na hao huwaambiaga vijana wajiajiri.
 
Tatizoni ni ujuzi hakuna.Mfano; kijana aliyejifunza ushonaji,si rahisi kumuajiri.
 
watanzania maisha hayajawahi kuwa rahisi. hata ambaye unamuona mambo yake mazuri ukimuuliza pia atasema maisha magumu.
 
Watu wanajiajiri sana ila serikal nayo isaport bhana ..
MTU akiamzisha hata kituo cha kuosha magari boda utaona wakudai mapato hapo kweli...
SIS NI WATU WA KUBUNI TU LESENI ZA MAPATO NA SIO MIRADI ITAKAYOTUPATIA KODI.
 
Wakuu
husikeni na kichwa tajwa hapo juu hii hali inanishangaza
je wanashindwa kujiajiri au shida ni nini?
kwa ujumla tutoe mawazo ili baadae yatusaidie kupata solution ya hili tatizo because mimi naamini ukiamua kujiajiri hata bila mtaji wa kuanzia unaweza kwa kufanya huduma au vibarua then ukapata pesa ya kuanzia maisha so huwa nashindwa kuelewa ni kwanini vijana wengi wanalalamika sana
 
Wakuu
husikeni na kichwa tajwa hapo juu hii hali inanishangaza
je wanashindwa kujiajiri au shida ni nini?
kwa ujumla tutoe mawazo ili baadae yatusaidie kupata solution ya hili tatizo because mimi naamini ukiamua kujiajiri hata bila mtaji wa kuanzia unaweza kwa kufanya huduma au vibarua then ukapata pesa ya kuanzia maisha so huwa nashindwa kuelewa ni kwanini vijana wengi wanalalamika sana
Kwa mawazo yangu ni kwamba

1. Kukosa Plan B .
Vijana wengi hususan wasomi wenye shahada tulisoma miaka yote tukijua kuwa ukimaliza kusoma utaajiriwa kupata mshahara na kuendeleza maisha. Sasa kazi zimekua ngumu na hatuna tena mtazamo wa kifikra wa Plan B, tunaendelea kusema tu "Nimesoma na ajira hakuna" tunaishia hapo tu. Ndio unakua mwanzo wa kulalamika maisha magumu. Embu fikiria kijana anakosa hata pesa ya kununua vocha

2. Kutokuelewa maana ya MTAJI
Vijana wengi ukituuliza kwa nini hatujajiajiri??. Tutajibu kwa haraka "Sina mtaji" lakini tunashindwa kuelewa MTAJI sio mamilioni ya pesa, ila mtaji Ni
i) Nia yako ya dhati ya kufanya jbo

ii) Utayari wako wa kuthubutu kuanza jambo

iii)kuwatumia watu unaofahamiana nao

iv)Elimu uliyonayo. Ibadilishe hiyo elimu uliyonayo kua yenye kuongeza thamani moja kwa moja kwa jamii inayokuzunguka

3. Kushindwa kuwa wabunifu. Vijana wengi tumekwama hapo.
 
WALIO AJIRIWA KWA ZAIDI YA MIAKA 15 WASTAFU ILI NA VIJANA WAINGIE WAFANYE KAZI MIAKA 15 BAADA YA HAPO KILA MTU ATAKUA NA KIANZIO CHA KUJIAJIRI MTAANI. HUO NDO UZALENDO NA UPENDO.
UKWELI PLAN NI NYINGI TATIZO MITAJI.
 
Watu mkishiba bana mnaongea sana. Wewe mshukuru Mungu hapo ulipo na vile alivyokupa kila mtu na wakati wake. Usiwe mjuaji
lakini kitu ninachoongea ni cha kweli vijana wengi wamejaa visingizio tu
 
Kwa mawazo yangu ni kwamba
1. Kukosa Plan B .
Vijana wengi hususan wasomi wenye shahada tulisoma miaka yote tukijua kuwa ukimaliza kusoma utaajiriwa kupata mshahara na kuendeleza maisha. Sasa kazi zimekua ngumu na hatuna tena mtazamo wa kifikra wa Plan B, tunaendelea kusema tu "Nimesoma na ajira hakuna" tunaishia hapo tu. Ndio unakua mwanzo wa kulalamika maisha magumu. Embu fikiria kijana anakosa hata pesa ya kununua vocha
2. Kutokuelewa maana ya MTAJI
Vijana wengi ukituuliza kwa nini hatujajiajiri??. Tutajibu kwa haraka "Sina mtaji" lakini tunashindwa kuelewa MTAJI sio mamilioni ya pesa, ila mtaji Ni
i) Nia yako ya dhati ya kufanya jbo
ii) Utayari wako wa kuthubutu kuanza jambo
iii)kuwatumia watu unaofahamiana nao
iv)Elimu uliyonayo. Ibadilishe hiyo elimu uliyonayo kua yenye kuongeza thamani moja kwa moja kwa jamii inayokuzunguka
3. Kushindwa kuwa wabunifu. Vijana wengi tumekwama hapo.
Umesahau kimoja UTHUBUTU
 
Back
Top Bottom