Ndu wa kweru
JF-Expert Member
- Nov 18, 2021
- 445
- 1,115
Mkuu una pointi ila haya mambo kuna level tumeishia kuyafahamu,kuna level za juu zaidi hizo tunanyimwa kuzifahamu kwa sababu kadhaa,so katika kuelezea kila mtu anaelezea haya mambo kwa kiasi alichofanikiwa kukifahamu.hapa hoja naona watu waliotumika kwa karibu makanisani wengi wao huja kuwa mbali na kanisa,je sababu ni ipi?ni kutokana na kujua na kupata uelewa fulani kuhusu kanisa?Do you real know who is God besides holy books? Suppose wewe ni kipofu na kiziwi...huyo Mungu nawezaje kum access, je huyo Mungu wako ni kwa ajili ya wanaojua kusoma peke yao? Kwa sababu kama hujahadithiwa au kusoma mwenyewe nafasi yangu iko wapi ya kumjua Mungu ili nimpe heshima anayostahili, naomba majibu sahihi sio unanambia watapotea pasipo sheria....(warumi ngapi sijui)
Kama ni hivyo huyo Mungu wako hayupo Fair.
Umezungungumzia dini mbili kubwa kwa mtazamo wako., hebu tuangalie data!!
All christians duniani wapo kama 2.4 Bilions na Islam ni kama 1.2 Bilions katika bilioni 7 ya world population wamebaki wangapi wasio na hizi dini zako? Ni wengi hawana hizi dini, je wana dini gani? Kuna Hinduism, na Budhism
Katika dini hizi zote Buddhism kidogo ina ukweli kuliko zingine ( Nimesema ya ukweli kwa sababu ina compartiblity na Our Nature) tatizo lao ni moja tu nao wanaabudu Vitu walivyovitengeneza wenyewe na hiyo imeondoa value ya dini yenyewe sasa, because una pay respect kwa thing which are unknown (x).
Je watu wote hao ni wajinga kutokuwa kwenye dini za ki Mesopotamia?
Uyahudi ambako tunapata Story za Yesu, hawamtambui Yesu kama alikuwepo hata historia kwamba alikuwepo Yesu haipo, historia zilizopo ni za kutengeneza.
Ukristo una umri as it is said miaka 2000 na Islam ni 1500 miaka.
Swali na Unijibu?
Je Human Race ina umri gani, kabla ya dini hizi watu waliabudu nini, najua utaniambia mapangoni nk nk huwa sipendi majibu ya kitoto toto ujue!!