ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,562
- 2,172
Natamani unipe kidogo maana ya hii alien mkuu, na ABC japo kwa uchache za huyu jamaa aliyefanya utafiti wake kwa DNA aligundua nini na nini kilimpata???na ndyo ukwel huu..kuna kijana mmoja wa kiafrika aliwahi kutafit hata hili jambo kuhusiana na DNA za mtu mweupe, baada ya kupata ukwel na kuuweka wazi unajuwa nn kilimpata?.
haya mambo ni siri sana na wanaoyajua ni wachache japo yanawekwa wazi, still watu wanabisha sababu ya kudanganywa na hizi dini kuwa watu wote ni sawa, lkn nyuma ya pazia hakuna na hakutowai kuwa usawa kati ya mtu mweupe na hao jamii za fallen angels