Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

inauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.

mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Pole mkuu ila usikate tamaa mie nilifanya saili kama 7 hapo mixer zingine DSM zingine Dodoma na zote nilikuwa nazungusha nilikuja kutoboa saili ya 8 ndio nikafika oral na kwa kada yangu sijakaa hata miezi 3 nikaitwa nikachukue barua ya ajira so pambana mkuu
 
Back
Top Bottom