HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
inauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.

mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Pole mkuu ila usikate tamaa mie nilifanya saili kama 7 hapo mixer zingine DSM zingine Dodoma na zote nilikuwa nazungusha nilikuja kutoboa saili ya 8 ndio nikafika oral na kwa kada yangu sijakaa hata miezi 3 nikaitwa nikachukue barua ya ajira so pambana mkuu
 
inauma wadau kukaa benchi mda mrefu..nimeenda saili 2 utumishi zote wamenikanda.

mark nayoipata ni 42 kwenye saili zote dah mpaka naona gundu sasa..ila nataka kujaribu tena nna receive 2
Nilishawahi kupata 49.5, hapo muombe Mungu bahati tuu ulipo sio mbali na ushindi,niliisaka nafasi yangu kwa miaka sio chini ya 8 nikaipata namshukuru Mungu.
 
Vp jobless wenzang mmeamkaje uko?leo vp kuna kadalili ka mkeka mkeka?au tusubir may tu
 
Back
Top Bottom