HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Kanzi data inakaa mwaka mmoja, hao wa 2022 maana yake tokea mwaka huo tangazo la kuitwa kazini halikutoka kwa upande wao.......hata mimi kuna placement naisubiri toka 2022 haijatoka!
2023 kuna mkeka Mh.Jenista Mhagama alikuwa anataka kusafisha Database yote ya 2022....mambo yaka badilika naona nw wanatimiza .....
Hongera sana Utumishi ndo jobless tunataka vitendo....
 
Naona leo katibu hajafika ofisini...tumuombee kesho atie saini
 
Back
Top Bottom