HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Sasa kama unajua sitoi riziki kwanini wewe ambaye hutoi riziki pia unatamka laana? Eti mdogo wangu nini tatizo?

Angalia post yako namba #20085

"Itoshe kusema mkitaka mchukie mtajua Wenyewe Kwa Roho zenu mbaya walai mtakesha mkifanyaga interview mpk uzeeni Sizani km ubinafsi ni dhana nzuri kwenye Mambo ya Msingi toe msaada Kwa wanaohitaji msaada kutoka kwenu uwenda Neema zenu zipo Juu yako?!"

I rest the case here ila jifunze kuheshimu privacy za watu kama kasema hata share wewe heshimu acha kuwa mbinafsi kuridhisha nafsi yako.

Asubuhi njema na kazi njema.
We subir PDF Acha makasiriko kuna Vitu sio vya Siri waziwazi Yule Mzee n Mbinafsi.
 
Makasiriko nitolee wa JF kiukwel huo ni Uwongo nitajasirika km TBL & SBL vikifungwa lkn sio Kwa Maneno yenu
🤣🤣🤣🤣 Et niangalie ID yng Baraka nitaipatia wap?

We Utoi Riziki ya Mtu hata Siku Moja ?

Imani yng Mi inatosha kuamini katika nafasi ya Uhai nayoendelea kuipata kila Siku iitwayo Leo maana wote wanaofanikiwa kuwa Hai Jua linapochomoza Bhs Riziki zao zipo Piah.
yaah mkuu,
 
Hv wajuvi wa mambo mule ndan kwa wakandaji ukishindwa kukamilisha point 5 c unaliwa kichwa kuna possibility ya kutoboa kwel kwa scenario hio
Wakulungwa wetu humu wanatushauri tujibu Ila sio kuacha kabisa swali..

Kama umeharibu point kadhaa naona fine.
Kuhusu kukandwa itategemea na marks zako na maswali yote siamini kama swali moja ndio linaweza kuamua kufeli au kufaulu kwa Interview yako
 
Back
Top Bottom